DPP na CID waweka pingamizi kesi ya matumizi mabaya ya madaraka inayomkabili Paul Makonda

Ettore Bugatti

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
4,125
8,231
Habari ndio hii juu ya sakata ya kesi ya Makonda.

DPP na DCI wameweka mapingamizi manne katika maombi yaliyofunguliwa na Saed Kubenea, kupata kibali cha kumfungulia kesi ya matumizi mabaya ya madaraka, aliyekuwa RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Mapingamizi hayo ni, Kubenea kutokuwa na maslahi na maombi hayo.

Nchi ngumu hii, sasa tuamini Al Bashite ni untouchable katika utawala wa Baba na Mama.

Screenshot_20220325-174552.png
 
View attachment 2164158
Iko hiviii,kwanini watamlinda,hiyo akitia timu mahakamani na uwazi na haki ikiwepo huenda hiyo anastahili kufungwa miaka buku,pengine zaidi ya saa mbaya,na itakuwa ufunguo wa kushitakiawa Kwa wanaccm wote na viongozi wao,hivyo lazima wazuie aibu kama ya saa mbaya aliye jela hivi Sasa,kwani wengi wawateule na wenye mamlaka chino ya wanachukua chako mapema wataozea jale iwapo mahakama ingekuwa huru kiukweli kweli🤔
 
Kwani huyo saambaya kuna affiliates yoyote wa ccm ameshtakiwa..?
 
Back
Top Bottom