Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WANAVYUO MWANZA WATOA KONGOLE KWA RAIS SAMIA Leo Jumamosi 26 Machi, 2022 Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa Mwanza wamempongeza Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Mwaka Mmoja...
0 Reactions
5 Replies
896 Views
Linapokuja swala la uhifadhi wa Mazingira huwa namkubali sana mbunge wa Bumbuli Tanga kwa misimamo yake. Wakati ule akiwa Waziri wa Mazingira tuliona cheche zake kule kusini kwenye " lile " bwawa...
0 Reactions
5 Replies
618 Views
Tulikuwa kwenye vinyesi 25kg na mkojo wa lita 21 kwa ng'ombe kwa siku, kana kwamba mtoni ndiko chooni kwao. Sasa hivi tuko kwenye uozo: Tuko kimya siyo kuwa hatuoni. Tuelewane: "Vikwazo...
19 Reactions
73 Replies
4K Views
Tangu katikati ya mwezi March mwaka huu mpaka sasa tunaelekea Maya hatujasikia wale vijana machachari wa UVCCM waliokuwa wakitema cheche zao kama ilivyozoeleka katika miaka mitano ya utawala wa...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Mkataba kama wa NATO hufanya nchi wanachama wajione wamoja na huwa hawawezi kukwaruzana kijeshi. Kwa vile Jumuia ya Afrika ya Mashariki imepanuka na kuwa kubwa sana ikiwa na nchi zenye itikadi...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo linafanyika kumbukizi la miaka 100 ya Mwalimu Nyerere katika ukumbi wa Costech na linarushwa mubashara na ITV. Watu waliohudhuria ni wachache wakiwemo waziri mkuu mstaafu mzee Warioba na mzee...
7 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari Wakuu, Leo 09/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki:Yaliyojiri Mahakamani...
42 Reactions
157 Replies
28K Views
Ujerumani imeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 71, sawa na takribani Sh190.5 bilioni kwa ajili ya kutekeleza miradi kadhaa ikiwemo maji, uendelezaji wa maliasili na utalii, afya ya mama na...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya Ubelgiji kama nyongeza ya fedha zacawali zilizotolewa ambazo no Euro Milioni 8, hivyo kufanya jumla ya fedha zote kuwa Euro milioni 12 sawa na tshs 33 bilioni...
6 Reactions
54 Replies
6K Views
Tanzania imepokea msaada wa Euro milioni 25 sawa na shilingi bilioni 67.82 kutoka Serikali ya Ujerumani kupitia Benki yake ya Maendeleo ya KfW, kwa ajili ya mradi wa Uhifadhi endelevu wa Maliasili...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EC) imetoa Msaada wa Euro Miliono 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya Maendeleo Fedha zilizotolewa zinatarajiwa kutumika katika...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanaona ilani ya CcM inatekelezwa vyema na wao wanafurahia na kuuchuna kimoyomoyo maana maendeleo yanapatikana. Hakuna mgao wa umeme, miradi ya maji inazinduliwa kila kona, madarasa yamejengwa na...
0 Reactions
2 Replies
687 Views
Kuwa Chawa kwa lugha mpya ya kisiasa ni ile hali ya mtu kutegemea riziki yake kutoka kwa wanasiasa viongozi, na hasa viongozi wa serikali, Hii ni hali ya mtu kusifia hata uchafu wa...
13 Reactions
37 Replies
3K Views
Leo Jumamosi 26 Machi, 2022 Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa Mwanza wamempongeza Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Mwaka Mmoja Madarakani. Kongamano hilo limeongozwa na Katibu wa...
0 Reactions
2 Replies
490 Views
Kwenye uzi huu tujadili kauli zenye athari hasi za Rais Samia. Mimi naanza na kauli yake kwamba kutokana na vita ya Urusi na Ukraine anakosa namna ya kuzuia vitu visipande bei. Tangu atoe kauli...
1 Reactions
2 Replies
642 Views
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambayo tunaisambaza tena kwenu wadau , kwamba Askofu Bagonza leo Amekutana na Mwamba wa siasa za Tanzania na kuteta naye machache . Bado haijafahamika...
26 Reactions
57 Replies
4K Views
Nchi ngumu sana hii, Mheshimiwa Rais Mama Samia anasema hatatoa kwanza ajira kwanza ili awapandishe madaraja walioko kazini,duh ukijiuliza yupi mwenye uhitaji kati ya ambaye Hana ajira na ambaye...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri wa nishati January Makamba amesema eneo letu la bahari ndio lenye gesi nyingi kuzidi hiyo iliyoko kwenye visima vya kusini mwa nchi. Gesi hiyo tutakapoizalisha 90% ni kwa ajili ya kuexport...
15 Reactions
71 Replies
4K Views
Rais Biden amemnukuu Papa Yohane Paul Ii aliyesema " Msiogope" Rais Biden amezitaka nchi zote duniani kuzingatia Utawala wa Sheria na Chaguzi Huru na za Haki. Source: BBC cc: Mshana jr...
0 Reactions
25 Replies
1K Views
..Dah!! ..Sijui Afande Sirro amewalenga kina nani ktk kauli hii.
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…