*WANAVYUO MWANZA WATOA KONGOLE KWA RAIS SAMIA

*WANAVYUO MWANZA WATOA KONGOLE KWA RAIS SAMIA

Jaji Tz

Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
33
Reaction score
19
Leo Jumamosi 26 Machi, 2022 Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa Mwanza wamempongeza Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Mwaka Mmoja Madarakani.

Kongamano hilo limeongozwa na Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka na kuhudhuriwa na viongozi Mbalimbali wa Chama na Serikali ngazi ya Wilaya na Mkoa, Makundi ya vijana wa bodaboda, makondakta, machinga na wananchi wengine.

#365zaSamia
#KaziKubwaImefanyika
#KaziIendelee.
IMG-20220326-WA0023.jpg
IMG-20220326-WA0032.jpg
IMG-20220326-WA0028.jpg
 
Leo Jumamosi 26 Machi, 2022 Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa Mwanza wamempongeza Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Mwaka Mmoja Madarakani.

Kongamano hilo limeongozwa na Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka na kuhudhuriwa na viongozi Mbalimbali wa Chama na Serikali ngazi ya Wilaya na Mkoa, Makundi ya vijana wa bodaboda, makondakta, machinga na wananchi wengine.

#365zaSamia
#KaziKubwaImefanyika
#KaziIendelee.View attachment 2165309View attachment 2165310View attachment 2165311
Hata Mfanya nini Mumsifu Vipi HAKUNA AJIRA Kafufueni Mashamba ya BABA ZENU vijijini
 
Amani iwe juu yenu.

Leo nimesikitishwa sana na hoja za wenyeviti vya uvccm wilaya za Kinondoni, Ubungo na kigamboni kwa hoja zao tatu zifuatazo:

1. Wanaccm hawa wanaipinga Katiba mpya kwa nguvu kubwa sana as if anayeitaka katiba ni mpinzani wao tu, bila kujua katiba ni Mali ya Mwananchi na sio chama fulani. Dunia ya sasa kupinga mabadiliko ya katiba ili kuendana na wakati wa sasa unahitaji kuwa na akili ngumu sana. KATIBA MPYA ILITAKIWA NDIO IWE AJENDA YAO TANGU NA MAPEMA SEMA WALICHELEWA SANA.

2. Wanaccm kutaka katiba mpya iwe kwanza kwenye ilani yao ya chama ndio wafanye mabadiliko au kuandika mpya inakupa picha ya uwezo wao wa akili. Leo nimeona AIBU mwenyekiti uvccm kusema katiba mpya haipo kwenye ilani yao ya chama INASIKITISHA SANA. NI VILE TU WANANCHI NAO HAWAJITAMBUI.

3. Kwa Dunia ya sasa kujinadi kwenye uchaguzi kwamba umejenga madarasa, barabara, hospitali na vituo vya afya inahitajika roho ngumu sana kwa kweli mana hivyo vitu hata wakoloni walifanya na bado tuliwaondoa. Tanzania ya sasa sio ya wajinga wa miaka ile ya 2010 kurudi nyuma.

USHAURI KWA CCM

1. Muache UCHAWA badala yake muwe wa kweli ili muendane na wakati na mahitaji ya sasa. Punguzeni watu wenye akili ndogo kwenye chama chenu maana wengi wenu ni empty set, mpo kutafuta fursa tu za uteuzi.

2. Ibebeni ajenda ya katiba mpya vinginevyo huwenda mambo yakawageukia mbeleni. Yule bwana mpaka kuamua kuiba uchaguzi wa 2020 aliona mbele kiza sio bure bure tu. Msaidieni Mama na vile sio MUONGO atapata tabu sana 2025.

3. RUDISHENI CHAMA MIKONONI MWA WAKULIMA NA WAFANYAKAZI.

Inakera mno kuwasikiliza wanaccm wallah....

Usiku mwema.
 
Back
Top Bottom