Joshua justine
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 788
- 1,015
Hawa viongozi wa west wamekuwa wabinafsi sana kwa miaka mingi, wametunyonya sana kwenye ukoloni baadae wakaona hakuna namna ya kuweza kuendelea kututawala kwa maguvu wakatupa uhuru wa bendera huku wakitumia maendeleo yao kuendelea kuligeuza bara letu shamba la watumwa, tumezalisha sana malighafi na wametupangia bei watakavyo kwa hilo soko lao wanalodai ndio la dunia!
Wamesababisha machafuko Afrika sana , kila mahali , kisudi tu wachote malighafi zetu, wamerubuni viongozi wapumbavu kama kina Vasco da gama , na kuwageuza mamluki ili wajichotee mali ya Afrika walivyotaka na katika muda wote huo je wanaokufa kwa vita Afrika sio binadamu ? Watu wa mataifa mengine Afrika hawajawahi kutulia kwenye nyumba zao wamezeekea katika kambi za wakimbizi, katika maisha ya kukimbia kimbia. Wamesababisha vifo vya umasikini kwa maradhi kwa sababu ya huduma mbovu za Afya kwa kuiba kwao uchumi wetu, wameharibu vizazi vya waafrika kwa madawa ya kulevya n.k , n.k
Dhambi za hao wazungu ni kubwa sana, hao ni freemason , ni mashetani ( ofcourse hao watawala wao, maana huko kuna watu wa MUNGU pia).
Sasa sio wakati wa kuhurumia, maana ikitumika njia ya kawaida , kiongozi wa mabadiriko watamuua tu kwa kushirikiana na wakina Vasco, sasa tumechoka, kama mbwai na iwe mbwai.
Kinachoendelea huko katu usidhani walikurupuka, wale sio watu wanaoishi kizembe kama sisi, wao wanapanga miaka mingi mbele kabla ya kuifikia. Hiyo dollar walishaitafutia dawa siku nyingi, ndio imewapa kiburi west, sasa umefika muda wa kubadiri world order, tunachokiona ofcourse ndio inazaliwa NEW WORLD ORDER tayari, na kamwe haitarudi nyuma, mchina lazima awe mfalme wa East, mmarekani atabakia kuwatawala west wenzake huko, kutawala dunia asahau tena. Ndio maana mr. Kiduku wakati hao NATO na ma UN wako wanamjadiri mrussi kwenye vikao yeye anayaungurumisha maballistic, anazidi kuwavuruga wanamaliza kumjadili mrussi wanaingia kikao kingine kumjadili kiduku, huku mchina hataki kutamka neno juu ya uvamizi, yupo neutral.
Afrika waliyoitesa sana, ndio inaenda kuponea hapo sasa, mgogoro wa Nishati huu utabadirisha mifumo yote ya biashara. Wanapoenda kupoteza umiliki wa soko hawa west, kwa kuwa resource tunazo ss na mchina anazitaka hizohizo, lazima tu hao washenzi watakubali kubargain price sio kutunyonya ovyo kama zamani na wakigoma mchina anawapiga bao.
Na kubwa zaidi, hazina zetu za mafuta na gesi ambazo bado mpyaaa, watakuja kuzinunua na kwa adabu sio kifala fala kama walivyodhani watafanya. MUNGU alipangalo ni ajabu kabisa, hawakujua kama siku moja na sisi Afrika tutalala masikini na tuamke matajiri.
Ndio maana nasema vita iendelee, hata wafe watu wangapi ulaya maana hata sisi waAfrika si wametuweka vitani miaka yote wanachukua mali na kutuletea silaha tuuane wenyewe kwa wenyewe, wangapi wamekufa mpaka leo, na kushindwa hata kuzikana? Wacha Putin asababishe huko, wafe na wao, na mibaridi yao huku pesa watazileta tu.
NA HIYO MIBARAFU YAO NYIE SUBIRINI WATAKUJA WARUDISHE PESA ZETU WENYEWE.
Viva Putin, Viva Russia.