Ripoti ya kitaalamu kuhusu uchenjuaji wa mchanga wa madini

Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
13,495
29,859
Kufuatia Sheria Mpya ya Madini ya Mwaka 2009; moja ya mambo ambayo yalitakiwa kupatiwa ufumbuzi ni suala la uchenjuaji wa mchanga wa madini unaofanywa nje ya nchi!

Kwavile hapo kabla serikali ilikuwa inategemea maelezo ya upande mmoja; yaani upande wa Wamiliki wa Migodi; mwaka 2010 serikali, kupitia taasisi yake ya Tanzania Minerals Audit Agency, taasisi iliyo chini ya Wizara ya Nishati na Madini; waliamua kufanya study kuangalia uwezekano wa uchenguaji wa mchanga kufanyika Tanzania badala ya kusafirisha mchanga nje ya nchi.

Kwavile ripoti kufuatia study hiyo ni ndefu; hapa nitaweka vifungu muhimu tu ili tuangalie ikiwa kinachoendelea hivi sasa kimefanyiwa utafiti wa kutosha au la!!

STUDY TITLE: A Study on Viability to Construct a Copper Concentrate Smelter in Tanzania.

METHODOLOGY

1. In order to arrive at the findings and recommendations of this report, a comprehensive literature review was undertaken as well as data collection and analysis. Information contained in this report has been gathered from sources believed to be reliable. However, the use of information that has been sourced from the internet is strictly your own responsibility.

2. BGM and BZGM, which are the only mines currently producing and exporting Copper Concentrate were visited to witness production, loading of the concentrates into containers, sampling and sealing of loaded containers ready for transportation to China or Japan for smelting and refining.

3. A study tour to Toyo and Saganoseki Copper Concentrate smelters in Japan was conducted in order to learn the transactions of Copper Concentrate exported by BGM and BZGM to Japan and familiarise with technology involved in processing Copper Concentrate. The tour was also aimed at understanding investment cost involved in the construction of such smelter, their capacities and major operating expenses.

Viability of Copper Concentrate Smelter Installation in Tanzania

This study focused on the viability of installing a copper smelter in Tanzania aimed at processing Copper Concentrate produced by BGM and BZGM, and that to be produced by other mines in future. The opinion herewith is based on the technical and economic factors required for an economically viable Copper Concentrate smelter. The following are the findings and facts:

1. The study has revealed that a commercially viable Copper Concentrate smelter requires a feedstock of not less than 150,000 tonnes per year. At full capacity, BGM and BZGM production is about 60,000 tonnes of Copper Concentrate annually, which would only account for 40% of the capacity of a viable Copper Concentrate smelter. Currently, no commercial-scale proven technologies exist which are suitable for small scale Copper Concentrate smelting of less than 100,000 tonnes per year, but this matter continues to be investigated.

2. A Copper Concentrate smelter of a feedstock of not less than 150,000 tonnes per year would cost between USD 500 million and USD 800 million to construct complete with sulphuric acid plant for purification of fugitive gases emitted from the smelter furnace. This is substantial amount of money. Most planned new Copper Concentrate smelters in the world are in non-free market economies and are heavily supported by local governments directly or indirectly through tariffs.

CONCLUSION

The study concludes that it is currently not feasible for a Copper Concentrate smelter to be constructed in the country to smelt and refine Copper Concentrate produced by BGM and BZGM. However, investors are encouraged to explore more on possibilities of discovering copper deposits which will warrant for installation of a Copper Concentrate smelter in the Country. TMAA will continue strengthening monitoring and auditing of Copper Concentrate

production and exports activities by BGM and BZGM so as to ensure that the Government reaps maximum benefits from the product.

NOTE: Full Report attached!
 
Attachments

  • A_Study_on_Viability_to_Construct_a_Copper_Concentrate_Smelter_in_Tanzania1.pdf
    449.1 KB · Views: 133
Mambo kutoka kwenye hiyo ripoti hapo juu:
  • Tanzania kuna migodi miwili ambayo huzalisha na kusafirisha mchanga nje ya nchi kwa ajili ya uchenjuaji. Migodi hiyo ni Bulyanhulu Gold Mine (BGM) na Buzwagi Gold Mine (BZGM).
  • Kwa pamoja, BGM na BZGM wanazalisha tani 60,000 za mchanga wa madini kwa mwaka.
  • Timu iliyofanya huu utafiti ilitembelea hiyo migodi kuangalia wanavyoendesha shughuli za uzalishaji, upakiaji wa mchanga wenye madini kwenye makontena, uchaguzi wa sampuli pamoja na ufungwaji wa makontena yenye mchanga yaliyo tayari kusafirishwa.
  • Aidha, Timu ilisafiri hadi Toyo and Saganoseki ambako kuna mitambo inayochenjeu mchanga wa madini ili kujifunza shughuli zinazoambatana na uchenjuaji wa mchanga unaopelekwa na BGM na BZGM. Aidha, safari hiyo ililenga kwenda kuifahamu na kuielewa teknolojia inayotumika kuchakata mchanga wa madini. Pamoja na hayo, vile vile waliitumia safari hiyo kwenda kufahamu gharama za uwekezaji wa mitambo kama hiyo, uwezo wake pamoja na gharama za uendeshaji.
  • WALIYOJIFUNZA NA KUSHAURI NI PAMOJA NA YAFUATAYO:
  • Wakati mchanga unaozalishwa nchini kwa mwaka ni Tani 60,000, ili kujenga mitambo kwa faida zinahitajika tani 150,000. Aidha, gharama za kusimika mitambo yenye huo uwezo ni takribani Dola 500 million hadi Dola 800 millioni! Kwa maana nyingine; kwa sasa zinahitajika zaidi ya shilingi Trilioni moja.
  • Tafsiri ya maelezo hayo hapo juu ni kwamba, ujenzi wa mitambo kama hiyo utakuwa ni hasara.
  • Aidha, upatikanaji wa uhakika na gharama za umeme ni moja ya mambo ambayo yanatakiwa kuzingatiwa kwenye maamuzi ya ujenzi wa hiyo mitambo kwavile ni mitambo inayotumia umeme mwingi sana! Kwa mfano, mahitaji ya nishati ya umeme kwenye mtambo wa Toyo, Japan ni 1.53MWh kwa tani moja ya mchanga wa madini
 
Naiona Serikali Ikiburuzwa Mahakamani kama inavyotokea kwa TANESCO!!! And trust me, unless serikali iwe ina ushahidi wa kuibiwa madini kupitia usafirishwaji mchanga nje ya nchi; or else, jamaa wakienda mahakamani hatuchomoki!!
Je ktk mkataba mchanga wanaruhusiwa kubeba?? Sijasoma hilo gazeti hapo juu hivyo kama ameelezea ishi ya mkataba naomba nijuze!
 
Yafuatayo ndio nimeyagundua kutoka kwenye hiyo report attached
1: product zetu ni tan 60000 na zinapatikana migodi miwili tu nchini tanzania bulyang'hulu na buzwagi.
Wakati Uwezo wa smelter kwa Mujibu wa report ni 1 50000 tons na bei ya smelter ni karibu usd 500mil

Mapungufu :wameeleza kuhusu smelter iliyopo us yenye Uwezo wa tan 20000 kwa mwaka wakati sisi tunazalisha tan 60000 kwa mwaka. Lkn hitimisho linachukuliwa kwenye smelter wa Japan toyo ambaye anahitaji 150000 tons na gharama zake ni kubwa usd 500mil wakati huu ni Usd 370mil.
Japo wanasema hawa wamarekani Stillwater wamedeal na platinum group metals zaidi lkn pia sisi concentrate zetu hizo wanazodeal nazo hao wamalekani ni byproducts ambazo zinabaki kama mali ya mchenjuaji au smelter na mwekezaji wetu anabaki na silver copper na gold.

Asilimia za concentration za copper gold na silver kwa Mujibu wa report hiyo wamezitoa kwa muwekezaji hakuna walipoonyesha wao wamehakiki hizo taarifa kwa vyombo vyao.

Source nyingi ktk report ni mitandao /websites na mwekezaji mwenyewe tunaemlalamikia.
Mfano
Wamenukuu kwamba mchanga wetu hauna viwango hivyo huchanganywa na michanga mingine duniani wanapokua wanachenjua. Source ikiwa ni barua kutoka migodini bulyang'hulu ya tarehe 31/10/2007 with reference number BGT /600/049/LD

Tulitegemea
Waende kwa smelters wenyewe wajionee
Waende hata huko US waangalie huo mtambo wenye capacity ya 20000 kutoka mgodi wa Stillwater hauwezi kuwa na manufaa

Kuna smelters zaidi ya 150 duniani ambazo zinachakata hiyo concentrate /makinikia lkn sijaona wametembelea hata moja
SIJAONA KAMA KUNA NCHI YOYOTE YA AFRIKA PIA AMBAYO INAEXPORT CONCENTRATE KWENYE HII REPORT MIFANO MINGI NI CHILE AMBAYO MIGODI MINGI INAZO SMELTER SITE NA PILI WANASAFIRISHA CHINA NA JAPAN KWA KIWANGO KIKUBWA

Pamoja na mengi kama umeme, mazingira uchavuzi na mengineyo ila report hii haijamtendea haki mtanzania maana bado inaonekana hawakufanya homework yao kwa kina.

Magufuli aruhusu detailed research ktk hili,
Cc@chige
 
Safi sana.
Ngoja kwanza niipitie hii report kwa upana wake, then nitaweza kujadili vizuri huu mjadala.

Lakini nimewahi kupitia machapisho ya STAMICO na nilichogundua ni kuwa umasikini wa hii nchi tunajitakia wenyewe tu, tuna uwezo wa kuanzisha migodi midogo midogo au ya kati ya dhahabu maeneo ya Singida na mikoa ya Kanda ya Ziwa na ikaweza kabisa kufikisha hio feeding capacity inayohitajika kwa ajili ya kulisha smelter kwa mwaka.

Ngoja kwanza nipitie hii document uliyoiweka hapa then nitarudi.
 
Naiona Serikali Ikiburuzwa Mahakamani kama inavyotokea kwa TANESCO!!! And trust me, unless serikali iwe ina ushahidi wa kuibiwa madini kupitia usafirishwaji mchanga nje ya nchi; or else, jamaa wakienda mahakamani hatuchomoki!!
Wanaokuja kuwekeza apa Africa , wengi wanakuja kwa ajili ya kuhakikisha kwamba wananyonya kila kitu na mikataba mingi tumejichanganya wenyewe. Waafrika wengi tupo nyuma sana katika Long-term plans. Ndio maana watu weupe wanapotuchalaza na Kingine ambacho Africa tunachalazwa na watu weupe wakija kuwekeza sehemu wanajitaidi kutumia lugha ambayo aifahamiki kwa wengi wa nchi husika ili wakukamate.
 
Sasa kama kusoma hujasoma why should I waste my time kwa mtu wa aina yako?!
Ungesoma japo paragraph ya kwanza ungegundua swali lako halina uhusiano wowote na suala la uchenjuaji!!!
 
Kufuatia Sheria Mpya ya Madini ya Mwaka 2009; moja ya mambo ambayo yalitakiwa kupatiwa ufumbuzi ni suala la uchenjuaji wa mchanga wa madini unaofanywa nje ya nchi!

Kwavile hapo kabla serikali ilikuwa inategemea maelezo ya upande mmoja; yaani upande wa Wamiliki wa Migodi; mwaka 2010 serikali, kupitia taasisi yake ya Tanzania Minerals Audit Agency, taasisi iliyo chini ya Wizara ya Nishati na Madini; waliamua kufanya study kuangalia uwezekano wa uchenguaji wa mchanga kufanyika Tanzania badala ya kusafirisha mchanga nje ya nchi.

Kwavile ripoti kufuatia study hiyo ni ndefu; hapa nitaweka vifungu muhimu tu ili tuangalie ikiwa kinachoendelea hivi sasa kimefanyiwa utafiti wa kutosha au la!!

STUDY TITLE: A Study on Viability to Construct a Copper Concentrate Smelter in Tanzania.

METHODOLOGY

1. In order to arrive at the findings and recommendations of this report, a comprehensive literature review was undertaken as well as data collection and analysis. Information contained in this report has been gathered from sources believed to be reliable. However, the use of information that has been sourced from the internet is strictly your own responsibility.

2. BGM and BZGM, which are the only mines currently producing and exporting Copper Concentrate were visited to witness production, loading of the concentrates into containers, sampling and sealing of loaded containers ready for transportation to China or Japan for smelting and refining.

3. A study tour to Toyo and Saganoseki Copper Concentrate smelters in Japan was conducted in order to learn the transactions of Copper Concentrate exported by BGM and BZGM to Japan and familiarise with technology involved in processing Copper Concentrate. The tour was also aimed at understanding investment cost involved in the construction of such smelter, their capacities and major operating expenses.

Viability of Copper Concentrate Smelter Installation in Tanzania

This study focused on the viability of installing a copper smelter in Tanzania aimed at processing Copper Concentrate produced by BGM and BZGM, and that to be produced by other mines in future. The opinion herewith is based on the technical and economic factors required for an economically viable Copper Concentrate smelter. The following are the findings and facts:

1. The study has revealed that a commercially viable Copper Concentrate smelter requires a feedstock of not less than 150,000 tonnes per year. At full capacity, BGM and BZGM production is about 60,000 tonnes of Copper Concentrate annually, which would only account for 40% of the capacity of a viable Copper Concentrate smelter. Currently, no commercial-scale proven technologies exist which are suitable for small scale Copper Concentrate smelting of less than 100,000 tonnes per year, but this matter continues to be investigated.

2. A Copper Concentrate smelter of a feedstock of not less than 150,000 tonnes per year would cost between USD 500 million and USD 800 million to construct complete with sulphuric acid plant for purification of fugitive gases emitted from the smelter furnace. This is substantial amount of money. Most planned new Copper Concentrate smelters in the world are in non-free market economies and are heavily supported by local governments directly or indirectly through tariffs.

CONCLUSION

The study concludes that it is currently not feasible for a Copper Concentrate smelter to be constructed in the country to smelt and refine Copper Concentrate produced by BGM and BZGM. However, investors are encouraged to explore more on possibilities of discovering copper deposits which will warrant for installation of a Copper Concentrate smelter in the Country. TMAA will continue strengthening monitoring and auditing of Copper Concentrate

production and exports activities by BGM and BZGM so as to ensure that the Government reaps maximum benefits from the product.

NOTE: Full Report attached!
Do you have the of ownership of this report au ndo tunalishana matango pori?
 
Samaki wa Magufuli, tunalipa! Kivuko cha Bagamoyo kiko ICU, no sweti tutalipa kwa ajili ya matengenezo, Bara bara zimepunjwa sentimeta kadhaaa, poa tu. Hata hii ya Buzwagi tutalipa tu no sweti hata likija na lingine kama la Tanesco tutalipa tu
 
u
Naiona Serikali Ikiburuzwa Mahakamani kama inavyotokea kwa TANESCO!!! And trust me, unless serikali iwe ina ushahidi wa kuibiwa madini kupitia usafirishwaji mchanga nje ya nchi; or else, jamaa wakienda mahakamani hatuchomoki!!
Unanikumbusha 'Richmond'
 
Hii ripoti imepikwa kabisa. Kama ingekuwa na alama 20 angepata 2 tu
TENA imepikwa hasa.MITAMBO IKO YA AINA TOFAUTI wao wamekomalilia tu yenye uwezo wa Tani 150,000!!!! Tu lengo wajustify tu watu kupeleka mchanga nje ya nchi.Hii research ningekuwa mimi hizo marks 2 ulizompa ni nyingi mno ningemtupia usoni na kumwambia kaandike ingine kabla sijakupa zero sasa hivi.
 
Back
Top Bottom