IKULU - ZANZIBAR
Rais wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi .Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu wa Uingereza Mh.Tony Blair katika...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wazalendo wote nchini na Duniani kwa Ujumla
Nimeambatanisha Waraka Kutoka kwa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu uduni wa Maendeleo kwa Mkoa wa...
Waswahili wanasema wasiwasi ndio akili. Leo nami nina wasiwasi mkubwa juu ya Chama changu. Naamini CCM ni chama kikubwa sana naweza kukifananisha na mbuyu, unaweza usikatwe na shoka lakini...
Balozi Dk Wilbroad Slaa anatarajiwa kuongoza kongamano la tafakuri tunduizi ya kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kifo cha hayati John Pombe Magufuli.
Kongamano hilo litakalofanyika Ijumaa Machi 25...
Huyu Mzee baada ya ccm kumkata kwenye kura za maoni , akaomba kujiunga na Chadema , Chadema ikamsaidia kupata Ubunge na ikampandisha hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama , baadaye mwaka 2015...
Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labor Part (TLP), Agustino Mrema leo Machi 28, 2022 amemtambulisha rasmi Mkewe Doreen Kimbi katika ukumbi wa Keys hoteli uliopo Moshi.
Mwenyekiti wa chama cha...
Nimecheka sanaa kusikia Makundi yafuatayo ya wahalifu hapa nchini mwetu yamepata ahueni ktk kipindi Chako cha uongozi na kukusifu mitandaoni Na kwenye vijiwe mitaani. Si hivyo tu bali mpaka...
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Salum Mwalimu , leo ameendesha zoezi la Join The Chain Unguja na kupokea Vitita vizito kutoka kwa viongozi wa Chadema kanda ya Unguja .
Join The Chain ni Mkakati wa...
Wanaukumbi.
Waliokuwa Katika Picha Hii na Ndilo lilikuwa Baraza la Wazee wa TANU
(Wengine: Hawapo)
[*=left]Abdallah Shomari (Tandamti No. 3)
[*=left]Nassoro Kalumbanya (Simba)...
Wakati huo Nyerere alikuwa Yanki tu wa miaka 37 au 38 lakini alikuwa akitema madini ya hatari.
Wanasiasa vijana wa leo mna la kujifunza namna ya kufanya midahalo, solution ni kujisomea sana...
Sakata la mgogoro wa ardhi kati ya RC wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) bado halijafika mwisho, licha ya ukimya wa siku kadhaa lakini sakata hilo...
Ningekuwa ni mpinzani wa kweli ningesema kweli daima kwamba wananchi hawahitaji katiba mpya sasa zaidi ya wanavyohitaji maji, umeme na huduma bora za afya na elimu.
Nikiwa kama mpigakura sihitaji...
Bajeti ya kila mwaka inaputa tu lakini sijawahi kuona bajeti mahususi ya kuunda silaha zetu.
Tanzania ina Uranium lakini sijasikia bajeti ya kuunda Silaha kali za nyuklia kwa ulinzi wetu.
Je...
Ufisida ni janga la taifa letu na ni viongozi wachache ambao hujitoa kupinga ufisadi kwa moyo wa dhati.
Lyatonga Mrema alipinga ufisadi kwa maisha yake yote akiwa mtumishi wa umma mpaka sasa...
Nilimsikiliza Freeman Mbowe, ana kiu ya katiba mpya.
Nikamsikiliza Tundu Lisu, ana kiu ya katiba mpya.
Nikamsikiliza Hamad Rashid, haitaji katiba mpya.
Nikamsikiliza Zitto Kabwe, ana kiu ya...
Nimeanzisha mjadala huu baada ya tukio la jana huko Chato la msafara wa Mgombea Urais - CHADEMA ndugu Tundu Lissu kushambuliwa kwa mawe na wafuasi wa CCM mara baada ya kumaliza kuzungumza na...
Kwa mambo mazuri na makubwa uliyoyafanya huko 'Isles' uliko kama Rais wao na 'Mikakati' kabambe ya Maendeleo kuelekea kuifanya Zanzibar kuwa Dubai ya Afrika Mashariki kama GENTAMYCINE nakushauri...
Hongera sana Amos Makala na Uongozi wa Jiji la Dar es Salaam na Awamu ya Sita kwa ujumla kwa ubunifu wa Coco Beach.
Yaliyolewa Malalamiko mengi sana kuhusu namna ile sehemu ilivyokuwa hovyo na...
Makonda kugombea ardhi ni somo kwa Watanzania
Ndani ya Jiji la Dar es Salaam kuna mnyukano. Ni baina ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabiashara Ghalib Said...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amemaliza mkanganyiko wa taarifa kuhusu fedha za USAID na AZAKI ambayo ilionekana kutoeleweka vizuri na baadhi ya vyombo vya habari, wanaharakati...