Dkt. Bashiru Ally na Polepole walilewa madaraka

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,606
8,744
Hii Dunia ni ndogo sana hawa DKT BASHIRU ALLY na POLEPOLE walifikiria watakuwa viongozi wa maisha.
  • Ilifika wakati walikuwa wanatoa hongo na kununua wapinzani hasa wabunge na madiwani.
  • Waliahidi vyeo kwa wapinzani wanaokuja CCM bila kujali uwezo wao na nchi kwa ujumla
  • Walirekodi kwa kudukuwa simu za Raia binafsi ilimradi tu kwa wao waliowaona kama wapinzani. Hizi rekodi za simu zao ni bila kufuata sheria! lakini walitoa maaagizo hayo
  • Waliharibu uchaguzi wa Tanzania 2020 kwa kutoa maelezo kwa polisi na usalama waibe kura tena waziwazi
  • Walitaka nchi yetu isiwe na vyama vya upinzani kabisa kinyume na sheria
  • Walitaka turudi kwenye ujamaa na kujiweka karibu ya vyama vya kikandamizaji vya China
  • Waliwadharau Madaktari na kuweka kampeni zisizo na tafiti kwenye Corana mpaka tukapoteza viongozi wengi wa juu
  • Wapinzani walikuwa maadui mpaka kupigwa risasi na vikosi vya usalama wa taifa vya siri.
Dunia tenda wema Sasa Kinana karudi, Magufuli kafariki, Membe kasamehewa, Ridhiwani waziri, Nape waziri na Makamba waziri!!!

Mwambieni na lisu aacha uoga. Kufa atakufa tuu. Arud home amsaidie mbowe. Kila siku kulia Lia tu usalama wake Nan kamwambia kua ataishi milele.
Kuishi milele na serikali yako kudhamiria kukuuwa yanahusiana vipi ndugu?
 
kukuwa demokrasia ndiyo huko . Kwenye demokrasia ya kweli huwezi kupata kura 80%.... Upinzani kushinda inawezekana ni CCM kushindwa lakini nchi inakuwa mshindi

Hii Dunia ni ndogo sana hawa DKT BASHIRU ALLY na POLEPOLE walifikiria watakuwa viongozi wa maisha.
  • Ilifika wakati walikuwa wanatoa hongo na kununua wapinzani hasa wabunge na madiwani.
  • Waliahidi vyeo kwa wapinzani wanaokuja CCM bila kujali uwezo wao na nchi kwa ujumla
  • Walirekodi wananchi binafsi ambao ni wataafu na wabunge waliowaona kama wapinzani. Hizi rekodi za simu zao ni bila kufuata sheria! lakini walitoa maaagizo hayo
  • Waliaribu uchaguzi wa Tanzania 2020 kwa kutoa maelezo kwa polisi na usalama waibe kura
  • Walitaka nchi yetu isiwe na vyama vya upinzani kabisa kinyume na sheria
  • Walitaka turudi kwenye ujamaa na kujiweka karibu ya vyama vya kikandamizaji vya China
  • Waliwadharau Madaktari kwenye Corana mpaka tukapoteza viongozi wengi wa juu
  • Wapinzani walikuwa maadui mpaka kupigwa risasi na kukimbia nchi
Dunia tenda wema Sasa Kinana karudi, Magufuli kafariki, Membe kasamehewa, Ridhiwani waziri, Nape waziri na Makamba waziri!!!

Ngosha na kundi lake walitaka kutuharibia Nchi yetu shenzi zao!!

Chama kimerudi kwa wastarabu na watoto wa mjini
 
Waliwadharau Madaktari na kuweka kampeni zisizo na tafiti kwenye Corana mpaka tukapoteza viongozi wengi wa juu
Hizi dharau zao kwa matabibu zikatuletea positive impact.

Hatimaye lile dude lililokuwa linaleta dhiki kuu Bongo likaondoka na covid likachimbiwa chahtoh
 
hebu tusubiri hawa waliopo sasa tuone watatenda mema gani ili upinzani uingie madarakani
 
hebu tusubiri hawa waliopo sasa tuone watatenda mema gani ili upinzani uingie madarakani

Kama yuko Mbunge anaye jijua kuwa yuko kundi linaloitwa "Wabunge wa Vimemo" akisubiri huruma na fadhali imekula kwake. Anatakiwa anze kuzichanga now. Ajiulize atahamia chama gani? Pili aanze kusimama na kuhesabiwa huko bundeni. Ili watanzania na wapiga kura wa jimbo lake wamuelewe ni mtetezi wao.
 
Back
Top Bottom