Tanzania yapata msaada wa wataalamu wa kusaidia Interpol kuwapata wanaotumia mtandao vibaya

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Tanzania itapata msaada wa mafunzo kutoka nje kwa ajili ya kuwafunza Interpol jinsi ya kuwapata wanaopotosha mtandaoni waishio Ughaibuni.

Hii imethibitika kupatikana kwa wataalamu watakaosaidia zoezi zima.

Hii ni kuongeza ujuzi na kuwapa weledi vijana wa Interpol ili kazi yao kuwa rahisi sana.

Source TBC Habari
 
Kumbe inawezekana?
Vip kuhusu CIA au FBI si waje watupe demo ya uchunguzi!
 
Tanzania itapata msaada wa mafunzo kutoka nje kwa ajili ya kuwafunza Interpol jinsi ya kuwapata wanaopotosha mtandaoni waishio Ughaibuni.

Hii imethibitika kupatikana kwa wataalamu watakaosaidia zoezi zima.

Hii ni kuongeza ujuzi na kuwapa weledi vijana wa Interpol ili kazi yao kuwa rahisi sana.

Source TBC Habari
Likija suala la kuchunguza matukio yenye alama na harufu zao wanadai hawahitaji msaada lakini lijapo suala la kulinda maslahi yao faster tu wanaanza propaganda.
By the way, taarifa yenyewe jinsi ilivyokaa tu inajipinga.
 
Tanzania itapata msaada wa mafunzo kutoka nje kwa ajili ya kuwafunza Interpol jinsi ya kuwapata wanaopotosha mtandaoni waishio Ughaibuni.

Hii imethibitika kupatikana kwa wataalamu watakaosaidia zoezi zima.

Hii ni kuongeza ujuzi na kuwapa weledi vijana wa Interpol ili kazi yao kuwa rahisi sana.

Source TBC Habari
Source yako tu inafanya habari nzima kuwa upotoshaji.
 
Tanzania itapata msaada wa mafunzo kutoka nje kwa ajili ya kuwafunza Interpol jinsi ya kuwapata wanaopotosha mtandaoni waishio Ughaibuni.

Hii imethibitika kupatikana kwa wataalamu watakaosaidia zoezi zima.

Hii ni kuongeza ujuzi na kuwapa weledi vijana wa Interpol ili kazi yao kuwa rahisi sana.

Source TBC Habari

Na bahati nzuri ni kwamba 55% ya ' Wapotoshaji ' wakubwa wanatoka huko huko Serikalini hasa baada ya ' Kusalitiana ' au pale mmoja akitaka ' Kumkomoa ' na ' Kumchafua ' mwenzake kwa maslahi wanayopata huko.
 
Kumbe kuna mengine wanakiri kushindwa?

Kutafuta watu wanaopost mtandaoni wanaona ina tija sana kuliko kutafuta watekaji na wanaoshambulia watu kwa risasi!?

Kama polisi kazi zao ni kutafuta watu wenye amani wanaoweza kukaa kuwaza na kuposti mambo, Ndo maana hatushangai Jeshi la ulinzi ikilinda bureau de change na kukusanya korosho.
 
Tanzania itapata msaada wa mafunzo kutoka nje kwa ajili ya kuwafunza Interpol jinsi ya kuwapata wanaopotosha mtandaoni waishio Ughaibuni.

Hii imethibitika kupatikana kwa wataalamu watakaosaidia zoezi zima.Hii ni kuongeza ujuzi na kuwapa weledi vijana wa Interpol ili kazi yao kuwa rahisi sana. Source TBC Habari

Huo ni uongo na propaganda za kitoto. Interpol hawawezi kuisaidia nchi katika makosa ya mtandao yanayohusiana na siasa kama kumkosoa Magufuli. Labda iwe kwenye ugaidi Hizo zinachukuliwa kama ni mashambulizi dhidi ya Chama tawala CCM na Interpol hawawezi kamwe kuingilia.

Kweli viongozi wa nchi hii wameishiwa kweli hadi kufikia kutunga propaganda za kitoto hivi! Eti Interpol!

Interpol itajiingizaje kwenye kukamata watu eti wamemsema Bashite au Magufuli vibaya!

Waambieni Lumumba Interpol sio Polisi ya CCM ya Tanzania, wajaribu tena, Na wana JF kaza uzi, haya madungaembe ya kisiasa wameanza kutapatapa!
 
Madungembe haya tunazidi kutakazia kamba mbele na nyuma kila pande yameanza kutaatapa mpaka yanadhani Interpol ni policcm. Kichanganyikiwa huku.
 
Back
Top Bottom