Je, wajua kwamba bado wapo watanzania wenye imani na wewe ndani ya mwaka huu 2019?

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Messages
12,902
Points
2,000

britanicca

JF-Expert Member
Joined May 20, 2015
12,902 2,000
Heri ya Mwaka Mpya mkuu wetu wa Nchi

Nakusalimu kwa jina lake Bwana Yesu Kristo, neno la kusoma pitia Mwanzo 31:8

Nina Imani mwaka huu mkuu utakuwa mwaka mwema na wenye matumaini kwa watanzania wachanga unaowaongoza,

Tathmini yetu ya haraka haraka ni kwamba Mwaka 2018 ulikuwa mwaka ngumu kwako,

Lakin mkuu mwaka huu tunaomba uwe
mvumilivu wa siasa na pia ushauri usikie,

Mkuu wajua kwamba bado Mwaka mmoja tu tukupime,

Mkuu usihangaike na wapinzani wako ndani na nje ya chama, please

Je wajua kwamba bado wapo watanzania wenye Imani na wewe ndani ya mwaka huu 2019,

Je wajua kwamba bado kuna watanzania hawajaeleweshwa vema nia na dhamira yako kama raia namba moja?

Je wajua kwamba yawezekana hata baadhi ya miradi mikubwa kama elimu bila malipo inaweza kukwama kama hujaandaa utaratibu wa taasisi kushirikishwa ?

Mkuu tunakuomba mwaka huu uwe na ahueni kwa raia wa kawaida,
Mungu Ibariki Tanzania yetu
 
Consigliere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
10,508
Points
2,000

Consigliere

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
10,508 2,000
Labda...maana kila level ina balehe zake. Hata uongozi una balehe zake. Kuna kipindi unaona kabisa kuwa britanicca anica anafanya madudu haya ni sababu ya balehe zake za madaraka mapya. Sorry kwa kukutolea mfano mbaya ma wa kuudhi lakini ndiyo kamfano pekee ambako nina uhakika kataeleweka.
 
interlacustrineregion

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2018
Messages
7,119
Points
2,000

interlacustrineregion

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2018
7,119 2,000
Heri ya Mwaka Mpya mkuu wetu wa Nchi

Nakusalimu kwa jina lake Bwana Yesu Kristo, neno la kusoma pitia Mwanzo 31:8

Nina Imani mwaka huu mkuu utakuwa mwaka mwema na wenye matumaini kwa watanzania wachanga unaowaongoza,

Tathmini yetu ya haraka haraka ni kwamba Mwaka 2018 ulikuwa mwaka ngumu kwako,

Lakin mkuu mwaka huu tunaomba uwe
mvumilivu wa siasa na pia ushauri usikie,

Mkuu wajua kwamba bado Mwaka mmoja tu tukupime,

Mkuu usihangaike na wapinzani wako ndani na nje ya chama, please

Je wajua kwamba bado wapo watanzania wenye Imani na wewe ndani ya mwaka huu 2019,

Je wajua kwamba bado kuna watanzania hawajaeleweshwa vema nia na dhamira yako kama raia namba moja?

Je wajua kwamba yawezekana hata baadhi ya miradi mikubwa kama elimu bila malipo inaweza kukwama kama hujaandaa utaratibu wa taasisi kushirikishwa ?

Mkuu tunakuomba mwaka huu uwe na ahueni kwa raia wa kawaida,
Mungu Ibariki Tanzania yetu
PUMBANISM/UFIPANISM/BAVICHAANISM ON YOUR BEST OPPOSING SIDES FOR EVERY DAY CONTINUOSLY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Messages
12,902
Points
2,000

britanicca

JF-Expert Member
Joined May 20, 2015
12,902 2,000
Labda...maana kila level ina balehe zake. Hata uongozi una balehe zake. Kuna kipindi unaona kabisa kuwa @brittanica anafanya madudu haya ni sababu ya balehe zake za madaraka mapya. Sorry kwa kukutolea mfano mbaya ma wa kuudhi lakini ndiyo kamfano pekee ambako nina uhakika kataeleweka.
Mkuu kwahiyo anabalehee?
 
ELI-91

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Messages
3,583
Points
2,000

ELI-91

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2014
3,583 2,000
mimi sijawahi kuwa na imani na huyo raia namba moja, nilimpenda alipokuwa waziri kwakua kulikua na mtu mwenye busara juu yake. Ni mtu mwenye malengo mazuri na nia njema lakini ni very impulsive and insecure. na kinachonitisha zaidi ni wazi kuwa yeye ni muumini wa ukomunisti.
 
gm man

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Messages
951
Points
1,000

gm man

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2017
951 1,000
Heri ya Mwaka Mpya mkuu wetu wa Nchi

Nakusalimu kwa jina lake Bwana Yesu Kristo, neno la kusoma pitia Mwanzo 31:8

Nina Imani mwaka huu mkuu utakuwa mwaka mwema na wenye matumaini kwa watanzania wachanga unaowaongoza,

Tathmini yetu ya haraka haraka ni kwamba Mwaka 2018 ulikuwa mwaka ngumu kwako,

Lakin mkuu mwaka huu tunaomba uwe
mvumilivu wa siasa na pia ushauri usikie,

Mkuu wajua kwamba bado Mwaka mmoja tu tukupime,

Mkuu usihangaike na wapinzani wako ndani na nje ya chama, please

Je wajua kwamba bado wapo watanzania wenye Imani na wewe ndani ya mwaka huu 2019,

Je wajua kwamba bado kuna watanzania hawajaeleweshwa vema nia na dhamira yako kama raia namba moja?

Je wajua kwamba yawezekana hata baadhi ya miradi mikubwa kama elimu bila malipo inaweza kukwama kama hujaandaa utaratibu wa taasisi kushirikishwa ?

Mkuu tunakuomba mwaka huu uwe na ahueni kwa raia wa kawaida,
Mungu Ibariki Tanzania yetu
Wote hatumtaki.. Wamebaki Wachumia tumbo wachache ambao nje wanamsifia ndani wanaumia

Cc Magonjwa Mtambuka

ndege JOHN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,378,900
Members 525,244
Posts 33,727,960
Top