Polepole: Lowassa hana sifa tena za kuwa mwanachama wa CCM/hana sifa tena/Membe kukatwa 2020

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
katika mahojihano Pole pole amesema haya
Chama cha mapinduzi kina utaratibu wa kupokea wanachama ambapo tunajadili kwenye vikao vya chama , na huyo mtu wako unayemsema hana sifa za kuwa mwanachama wa chama chetu,,

kaulizwa kuhusu mwembe kusemwa semwa mtandaoni

anajibu kuna watakatwa wakijaribu 2020

sikiliza

Anadanganya tu huyu lowassa mbona wamempokea kwa shangwe
 
katika mahojihano Pole pole amesema haya
Chama cha mapinduzi kina utaratibu wa kupokea wanachama ambapo tunajadili kwenye vikao vya chama , na huyo mtu wako unayemsema hana sifa za kuwa mwanachama wa chama chetu,,

kaulizwa kuhusu mwembe kusemwa semwa mtandaoni

anajibu kuna watakatwa wakijaribu 2020

sikiliza

Polepole hajui kuwa hawa ndiyo CCM asilia tangu enzi za TAA > TANU >CCM?

Polepole hajui kuwa yeye, Magufuli na Bashiru ni "CCM makinikia" tu ya juzi?
 
katika mahojihano Pole pole amesema haya
Chama cha mapinduzi kina utaratibu wa kupokea wanachama ambapo tunajadili kwenye vikao vya chama , na huyo mtu wako unayemsema hana sifa za kuwa mwanachama wa chama chetu,,

kaulizwa kuhusu mwembe kusemwa semwa mtandaoni

anajibu kuna watakatwa wakijaribu 2020

sikiliza

Ya lini hii ?

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
 
katika mahojihano Pole pole amesema haya
Chama cha mapinduzi kina utaratibu wa kupokea wanachama ambapo tunajadili kwenye vikao vya chama , na huyo mtu wako unayemsema hana sifa za kuwa mwanachama wa chama chetu,,

kaulizwa kuhusu mwembe kusemwa semwa mtandaoni

anajibu kuna watakatwa wakijaribu 2020

sikiliza

Taahira anasema ccm ni predictable, what a nonsense!
 
Back
Top Bottom