meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,394
- 4,748
Kabla ya uchaguzi wa 2015 CCM ilikuwa na sababu nyingi (siozote) za kuweza kutekeleza maazimio ya vikao vyake hasa hasa kwenye issue ya kujivua gamba.
Sababu kubwa ya CCM kusita kujivua gamba wakati ule karibia na uchaguzi ilikuwa ni hofu ya chama kumeguka ...sababu hii haina mashiko tena kwani hata lile gamba gumu CCM waliweza kulibandua bila madhara makubwa...
sasa ni wakati muafaka kwa CCM kuendelea na opresheni maalum ya kujivua gamba ikiwa bado ni mapema...
Wengi wa wanaharakati weledi wamekuwa ni pro CCM Kwa kuwa tu CCM ilithubutu kuling'oa gamba kuu bila madhara yoyote lakini ni ukweli usiopingika kuwa bado CCM haijamaliza kazi nzitto ya kuyaondoa magamba yote...
Huu ni ushauri ru kwa CCM kwamba sisi wananchi tuliwahurumia kwa muda kwani at least waliweza kuliondoa gamba kuu...lakini hiyo sio gurentee kuwa magamba ndani ya CCM YAMEISHA...
BASI chonde chonde ili pro ccm tuendelee kuwa pro ccm ni vyema zoezi la kujivua gamba liendelee kwa kasi ya utumbuaji majipu...!
Huu ni ushauri kutoka kwa pro CDM aliyebadilika kuwa pro CCM mwaka 2015!