Hakika Jakaya Kikwete wewe ni mtabiri; Chama cha Mapinduzi kina wenyewe

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,918
95,201
Mnyonge mnyongeni lkn haki zake mpeni jamani.

Mzee wetu Jakaya Kikwete aliyatabiri haya yanayo tokea leo ndani ya chama cha Mapinduzi.

Chama kilivamiwa na wahamiaji haramu na sasa kimeanza kusafishwa na kama ni nyoka basi ni kujivua gamba.
 
Back
Top Bottom