Ukisikiliza hotuba za Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan, unaona ni hotuba zilizobeba uzalendo, hekima, unyenyekevu na busara ya Hali ya juu sana.
Nimekuwa nikifatilia hotuba za Marais wa bara la...
Simba na Yanga zinapotajwa kukutana, focuss yote huwa inahama
Kuna uwezekano mkubwa wa Simba na Yanga kukutana fainali za Muungano cup April 29 na siku chache baada ya hapo kukutana tena Mei 3...
Tume imejikita zaidi kusema sababu za vurugu. Kwa Watanzania wanataka kujua kuhusu wauaji hasa kiholela sio maneno ambayo hayavunji mfupa. No reform no election inahusika vipi na kupigwa risasa...
kupitia ripoti ya tume hii Serikali itachukua hatua za haraka kama ifuatavyo
1. Itaunda tume ya marudhiano ikijumuisha wadau wote muhimu itakayosimamia na kuongoza majadiliano ili kuziba mianya...
Sehemu yoyote ile duniani haijawahi kutokea walioshika madaraka ya kisiasa wakakubali kuyaachia au kudhibitiwa(checked) tu bila uwepo wa mifumo huru, upinzani wa nguvu, shinikizo kali kuwaonyesha...
Wachache wenye uelewa hatukutegemea jambo jipya kutoka kwa Tume ya Jaji Chande. Hata hivyo, ukifuatilia kwa makini uwasilishaji wa ripoti hii, unaonekana kama utetezi kwa Samia na serikali yake...
"Tume pia ilipokea ushahidi kutoka baadhi ya mashahidi waliodai kwamba polisi ilitumia nguvu katika kudhibiti ghasia kama ifuatavyo:
Tarehe 30 Oktoba 2020, mkazi wa Mombo, Songwe, anasema kwamba...
Rais Samia amesema "Katika kuwakumbuka na kutoa heshima kwa waliotangulia mbele ya haki, ninaomba tusimame kwa dakika moja. Tumwombe Mwenyezi Mungu azipumzishe roho zao mahali pema peponi. Kila...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi...
1. Samia hakutoa amri kuamuru mauaji ya raia na wananchi- Hii itasemwa ili kujaribu kumsafisha Samia kwenye jumuiya ya Kimataifa na kujaribu kumuepusha na kikombe cha ICC.
2. Wakuu wa Majeshi ya...
Hicho ndicho kilichozuia machafuko zaidi! Bunduki haijawahi, haitawahi na haiwezi kumzuia mwanadamu anayetaka kujinasua kwenye uovu wa mtesi. Jeshi la wananchi lilitumia mbinu ya ulaghai...
Yaani baada ya kushugulikia kiini hasa ya maandamano tarehe 29 report imejikita kumsafisha muuji Samuya.kwa sababu mmekataa kushugulikia kiini cha matatizo basi jiandaeni zaidi .This is Nonsense
Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume imewasilisha mapendekezo mbalimbali ya muda mfupi, wa kati na mrefu, huku akisisitiza kuwa hakuna pendekezo lolote linalopendekeza...
Vilevile mashahidi walioshiriki kufanya ghasia waliokuja mbele ya tume na kukiri kuwa baadhi yao walipewa simu maalum za mkononi na kupewa kazi ya kupiga picha na video za matukio.
kama vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.