Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
Baadhi ya wagombea waliokatwa kwenye vyama vyao walichochea chini chini machafuko: Jaji Chande
0 Reactions
Replies
Views
Ni vema jambo hili likaeleweka vizuri na kila mmoja wetu, kwamba kinachosubiriwa n.a. Wananchi siyo ripoti ya Tume ya Uchunguzi ya Chande, Hii Tume ilishakataliwa kote Tanzania, Kinachosubiriwa ni...
10 Reactions
32 Replies
555 Views
  • Redirect
Baadhi ya kauli Mbiu zilizochangia machafuko ni Oktoba tunatiki, Oktoba tunatoka, no Reform no Election, Samia Must Go.. Jaji Chande
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema ni maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo mwaka 2028 ili iweze kutumika katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Jukumu la Jaji Chande katika uchunguzi wa Lebanon lilihitaji uchambuzi wa kutoegemea upande wowote chini ya shinikizo. Utaalamu huo huo utahakikisha ripoti ya Tume ya Uchunguzi kwenye mtukio ya 29...
1 Reactions
Replies
Views
Jaji Chande amesema kuwa tume imebaini kuwa kuhusu maridhiano na katiba mpya, tume imebaini kuwa matukio ya Oktoba 29 pamoja na changamo vimesababisha nyufa na majeraha kwa taifa hivyo maridhiano...
1 Reactions
0 Replies
141 Views
"Ile ni ngazi ya kwanza ambayo polisi tu, kwa sura yake na nguo alizovaa, inasambaza makundi yaliyokusanyika. Lakini yapo pia maeneo mengine kutokana na kiwango cha tishio kwa uhai wa askari au...
0 Reactions
1 Replies
153 Views
Heri ya Mwaka mpya 2026 kwa kila mmoja, Mungu awe pamoja na kila mmoja kwa mwaka mzima. Katika hotuba ya Mhe.Rais ya kuaga mwaka 2025 na kukaribisha mwaka 2026 alizungymzia suala la kuanzisha...
0 Reactions
15 Replies
322 Views
  • Redirect
Sheria za kimataifa za kitaifa na kikanda, haziruhusu maandamano na waandamanaji kubeba silaha.. waandamanaji walibeba silaha mbali mbali za kijadi hivyo kuwa ni machafuko si maandamano
1 Reactions
Replies
Views
Tunamuomba msajili akifute chama cha Chadema hiki chama ni adui wa amani ya Tanzania yetu .
1 Reactions
22 Replies
245 Views
Wakuu Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025...
1 Reactions
15 Replies
373 Views
Utabiri wangu ni huu; 1) Hakukuwa na Maandamano bali matendo ya uvunjifu wa amani 2) Jeshi la polisi katika kujihami lilitumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya waandamanaji 3) Jeshi la polisi...
7 Reactions
23 Replies
723 Views
Kwa mujibu wa Jeshi la polisi sababu za kupotea watu ni kwa sababu ya mapenzi, imani za kishirikina, waliotekwa na watu wakitaka pesa ama mali, wahalifu ambao wanalipiana kisasi na wengine...
0 Reactions
1 Replies
124 Views
  • Redirect
"Pasipo na shaka, kuwa matukio ya ghasia ya tarehe 29 Oktoba yalipangwa, yaliratibiwa, yalifadhiliwa na kutekelezwa na watu waliopata mafunzo. Waratibu walitumia mbinu mbalimbali, ikiwemo...
0 Reactions
Replies
Views
Jaji Chande anasema katika ghasia za Oktoba 29, sekta ya fedha pia ilipata hasara ambapo kiasi cha tsh. milioni 627.7 ziliporwa na kuibiwa katika ATM za CRDB, NMB na NBC
0 Reactions
0 Replies
107 Views
  • Redirect
"Tume pia ilifanya ukaguzi na kubaini kuwa eneo la makaburi ya Kondo linazungukwa na makazi ya watu, na ambalo bado linatumika kwa shughuli za kilimo cha msimu na lina ulinzi muda wote. Kutokana...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Vilevile, Tume iliwashirikisha wataalamu mbalimbali ili kufanya uchunguzi wa kisayansi kuhusu madai hayo ikiwa ni pamoja na picha ya satelaiti iliyotumika. Maoni ya wataalam hao, wakiwemo wa...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
MADAI YA KUWEPO KWA MAKABURI YA HALAIKI “Kulikuwepo na madai kupitia vyombo vya habari vya kimataifa na mitandao ya kijamii kuhusu kuwepo kwa makaburi ya halaiki katika eneo la makaburi ya Kondo...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Jaji Chande amesema hayo wakati Dkt. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kumbe waliwapa watu simu ili wapige picha na kurekodi video ili kutuma kwenye mitandao ya kijamii ili watumie kama hamasa ya watu kupata hasira na kutoka nje? #UkweliOktoba29
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom