Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Jaji Chande ameshauri serikali kuchukua hatua za kuimarisha huduma za msaada wa kisaikolojia na kijamii kwa kuandaa mkakati maalum wa kitaifa, kutenga rasilimali zinazohitajika ili...
0 Reactions
2 Replies
109 Views
Tafadhalini ndugu zangu. Msitume tena ujumbe PM. Nitasema kitu baada ya kuipitia ripoti nzima ya Jaji Chande.
3 Reactions
18 Replies
437 Views
  • Redirect
Kinyume na madai ya maandamano ya amani, vitendo vilivyoonyeshwa vilitaka maisha, mali na usalama wa raia wasiohusika. Hivyo maandamano yalivuka mipaka ya sheria ya Tanzania na viwango vya...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ushahidi unaonyesha kuwa maandamano yalikuwa na lengo la kuzuia wananchi kupiga kura. Vitendo vya kushambulia vituo vya uchaguzi na maafisa vinathibitisha nia ya kuharibu demokrasia ya Tanzania...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Polisi na vyombo vya usalama walikabiliana na vijana wenye silaha kama mapanga na mafuta ya kuunguza. Walitumia teargas na vifaa vya kudhibiti umati kulingana na kiwango cha hatari katika kila...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wakuu, Roho imeniuma sana na hii stori ya huko Mwanza Hapa Jaji Chande anaelezea jinsi mapolisi walivyouwa watu 13 huko Mwanza Daah!
1 Reactions
Replies
Views
Wakuu, Anazungumza Rais samia wakati akipokea ripoti ya tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani uchaguzi mkuu 2025
0 Reactions
8 Replies
329 Views
Katika miaka ya mwanzo ya uongozi wake, Rais Samia Suluhu Hassan alionekana kubadili upepo wa kisiasa kwa kuonesha utashi mpya uliogusa moja kwa moja masuala ya demokrasia, uhuru wa vyombo vya...
3 Reactions
5 Replies
308 Views
Rais Samia akipokea ripoti amesema; "Kwa desturi ya waungwana, linapotokea jambo la hasara na kuumiza mioyo, matarajio ni kufarijiwa badala ya kuzodolewa kwa vyovyote vile. Kwa vyovyote vile...
0 Reactions
1 Replies
193 Views
  • Redirect
Maandamano ya Oktoba 29 yalizuka kutokana na kero za muda mrefu za wananchi kama vile madai ya demokrasia halisi na katiba mpya, hali ngumu ya kiuchumi ikiwemo kupanda kwa gharama ya maisha...
3 Reactions
Replies
Views
Siwezi kupoteza muda wangu kwa kusikiliza vihoja vya Tume ya uchunguzi! Hii repoti inaongeza hasira kwa wahanga. Ukiisikiliza kwa makini na zile key points inaoneka ilikuwa imeshiba,ila ukija...
3 Reactions
16 Replies
243 Views
Wakuu, Si hata Mungu mwenyewe anaona vile wanatusogezea sabufa na wali wa hitima! Yaani yeye na genge lake wakiendelea kuanguka mmoja baada ya mwingine mabosi huo msiwe na hiyana, Boss...
4 Reactions
2 Replies
235 Views
Ukisikiliza hotuba za Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan, unaona ni hotuba zilizobeba uzalendo, hekima, unyenyekevu na busara ya Hali ya juu sana. Nimekuwa nikifatilia hotuba za Marais wa bara la...
-1 Reactions
14 Replies
319 Views
Simba na Yanga zinapotajwa kukutana, focuss yote huwa inahama Kuna uwezekano mkubwa wa Simba na Yanga kukutana fainali za Muungano cup April 29 na siku chache baada ya hapo kukutana tena Mei 3...
1 Reactions
3 Replies
174 Views
Tume imejikita zaidi kusema sababu za vurugu. Kwa Watanzania wanataka kujua kuhusu wauaji hasa kiholela sio maneno ambayo hayavunji mfupa. No reform no election inahusika vipi na kupigwa risasa...
2 Reactions
0 Replies
102 Views
kupitia ripoti ya tume hii Serikali itachukua hatua za haraka kama ifuatavyo 1. Itaunda tume ya marudhiano ikijumuisha wadau wote muhimu itakayosimamia na kuongoza majadiliano ili kuziba mianya...
-1 Reactions
14 Replies
275 Views
Sehemu yoyote ile duniani haijawahi kutokea walioshika madaraka ya kisiasa wakakubali kuyaachia au kudhibitiwa(checked) tu bila uwepo wa mifumo huru, upinzani wa nguvu, shinikizo kali kuwaonyesha...
2 Reactions
1 Replies
123 Views
Wachache wenye uelewa hatukutegemea jambo jipya kutoka kwa Tume ya Jaji Chande. Hata hivyo, ukifuatilia kwa makini uwasilishaji wa ripoti hii, unaonekana kama utetezi kwa Samia na serikali yake...
1 Reactions
3 Replies
304 Views
"Tume pia ilipokea ushahidi kutoka baadhi ya mashahidi waliodai kwamba polisi ilitumia nguvu katika kudhibiti ghasia kama ifuatavyo: Tarehe 30 Oktoba 2020, mkazi wa Mombo, Songwe, anasema kwamba...
1 Reactions
4 Replies
219 Views
Back
Top Bottom