Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,183
- 906
kupitia ripoti ya tume hii Serikali itachukua hatua za haraka kama ifuatavyo
1. Itaunda tume ya marudhiano ikijumuisha wadau wote muhimu itakayosimamia na kuongoza majadiliano ili kuziba mianya na migawanyiko iliyopo na kurejesha umoja na mshikamano wa kitaifa
2. Tutatekeleza mapendekezo ya mchakato wa marekebisho ya katiba ya nchi
3. Kwasababu kumekuwepo na matukio ya jinai, tutaunda chombo maalam cha upelelezi kwajili ya kufanya kazi iliyopendekezwa na tume hii ( kubaini waliopanga, kuratibu na kufadhiri matukio haya ya ghasia) pia Tume itajielekeza pia kwa maswala ya utekaji kwa wale wanaodaiwa kutekwa na ambao taarifa zao hazijapatikana.
4. Serikali itaweka utarabibu wa kugharamia matibabu ya majeruhi wa ghasia ambao bado wanahitaji matibabu na kugharamia vifaa saidizi na viungo bandia, wapo wafanyaniashara ndogondogo ambao hawawezi kuingia kwenye bima kubwa basi serikali itaangalia hasara waliyopata na namna ya kuwapa faraja.
5. Navielekeza vyombo vya ulinzi na usalama kuendelea kutekeleza majukumu yake ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa salama.
6. Kutokana na ghasia zilizotokea oktoba 29 tuelekeze mioyo yetu kwa mola wetu tuendele kuwaombea wote waliotangulia mbele za haki na kuliombea taifa letu.