Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amesema katika Jimbo lake, Askari wa Maliasili wamekuwa na tabia ya kukamata watu na kuua akihoji, "Miongozo inaruhusu kumkamata Mtu na kumuua?"
Hata hivyo...
Akichangia bungeni leo mbunge huyo wa kahama ameshangazwa na namna wataalamu wetu wanaacha mambo ya kuwasaidia wananchi na kuiga mambo na kufanya kwa kufuata mkumbo badala ya kutumia akili zao...
Taifa letu linarudishwa nyuma sababu ya kuwa na wanasiasa wanaojali upuuzi huku wakipoteza kodi za watanzania kujadili masuala yasiyo na na maana Bungeni.
Yaani mtu akiwa Mbunge ndio watumishi...
Nimeona baadhi ya wabunge na kuwaskia wakisema mheshimiwa rais then samahani mheshimiwa supika.
Hivi hawa jamaa wanawakilisha ujumbe wao wapi?au kero za wananchi wao wapi?
Kwa supika ama rahisi...
Dodoma. Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amepinga majibu ya Serikali kuhusu kauli kuwa hawana taarifa ya agizo la Mahakama kuhusu kurudisha mifugo ya wafugaji kama ilivyoamuliwa na mahakama.
Mpina...
✓ Ameendeleza elimu bure tena idadi ya wanafunzi ikiongezeka hivyo kutumia takribani shilingi bilioni 26 kila mwezi badala ya shilingi bilioni 23
✓Anaendeleza miradi mikubwa ya kimkakati kwa kasi...
"Hatuwezi kutatua matatizo kwa kuyafanya hayapo" hii ni nukuu màarufu na inayopendwa na wanaharakati wengi.
Katika nukuu hii inaonyesha kuwa ili utatue tatizo ni lazima ukubali kuwa lipo kisha...
Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC, Dk. Wilson Mahera amesema Kama mnaona kuna changamoto za sheria za uchaguzi, zinazohusiana na masuala ya uchaguzi, zinazotoa mwanya watu kukatwa huko chini, kuonewa...
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo leo Ijumaa Aprili 8, 2022 ametoa hoja akitaka bunge liahirishe shughuli zake ili wabunge wajadili kwa kina kuhusu upandaji wa bei za bidhaa nchini ikiwemo...
Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza...
Tanzania ina uzoefu wa kuwa na Bunge la chama kimoja, lkn pamoja na kuwa na bunge la chama kimoja kulikuwa na mijadala mikali na hoja nzito zilizojadiliwa ukiwamo ule wa kuundwa kwa Serikali ya...
Luhaga Mpina leo amenukuliwa na vyombo vya habari anasema January Makamba ni mhujumu uchumi anayepaswa kuwa gerezani siyo Ofisi ya wizara ya nishati. Binafsi sina tatizo na hilo alilosema. Lakini...
LUHAGA MPINA: NITAWEKA WAZI BUNGENI MAMBO YOTE YALIYOJIFICHA YALIYOSABABISHA KUCHELEWA BWAWA LA NYERERE, DENI LA TAIFA NA KUCHAFUKA KWA MTO MARA NA KUKATIKA KWA UMEME
Mbunge wa Kisesa, Luhaga...
Nilishamueleza Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kakonko juu ya kusudio langu la kuacha kuwa mwanachama wa @ccmtanzania na kuwa mtu huru kwa sasa.
Nilimueleza kwa sababu yeye...
WACHUNGAJI NA MASHEIKHE WA MISHAHARA WANAOSHINDWA KUKEMEA WANASIASA WAOVU, NDIO WANAOFANYA DINI IDHARAULIKE.
Kwa Mkono wa Robert Heriel.
Kazi hudhaulika pale uasi unapotamalaki, hata ile kazi...
Wananchi wa mkoa wa Singida wamesema ongezeko la bei ya mafuta litawaathiri sana na wamemwomba Rais Samia asikie kilio chao na kushusha bei ya petrol walau iwe tsh 1800 kwa lita
Waendesha bajaji...
UVUMILIVU katika SIASA!
"Nimekwenda CCM mnaniona sijarudi na vietee, nimerudi na makovu na pengo la kupoteza jino langu" - Elia Michael
Vijana tujipe muda wa kujifunza kwa wenzetu waliofanikiwa...
Wananchi wa Tanzania wameendelea kukumbushwa kuhusu umuhimu wa Katiba inayojali haki za watu wote bila kujali vyeo vyao , wameambiwa Katiba Mpya ndio chimbuko la Tume huru ya Uchaguzi , tume...
Ni kawaida baada ya kikao chochote hasa kinachohusu masuala ya jamii nzima kutoa ‘press release’ au kukutana na waandishi wa habari na wadau, at least, kuwa-brief kilichojiri.
Kwenye kikao cha...
Ndugu zangu imezoeleka katika dunia ya leo kila mtu kutumia uongo na unafiki kufanya siasa nchini kwake. Njia hii ya uongo na unafiki imekuwa njia nzuri na yenye mafanikio ya haraka kwa wanasiasa...