Kasalali Mageni amesema anaamini Tume iliyokwenda Mto Mara inahitaji kuchunguzwa, akisisitiza "Hata kwa Wasomi wa Nchi hii inatuleta walakini kuhusu Utaalamu wetu, Elimu yetu na viwango vyake"...
Uadilifu ni sifa kuu na ya msingi anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote yule wa Taasisi ya uma.
Chadema kama chama kingine cha siasa ni Taasisi ya uma kwa kuwa imesajiliwa kwa kufuata sheria za...
Leo hii vijana wengi wamegeuka kuwa wafuasi wa mawazo na mtazamo wa viongozi (chawa)
Wengi wao hawahoji hata kama wanaona hali si shwari, badala yake wanakubali kila jambo. Je, huenda hii ndio...
Wadau poleni kwa kazi. Nijikite kwenye mada yangu kuhusu matamko ya baadhi ya wawakilishi wetu bungeni (narudia tena ni baadhi).
Hivi karibuni, Mbunge wa Gairo, mheshimiwa Ahmed Shabiby alitoa...
Nimekuwa nikifuatilia Press za viongozi mbalimbali kuhusiana na mgigoro wa Russia na Ukraine, aisee huko mbele ndio kuna waandishi wa habari katika maana yake halisi.
Sijawahi kusikia swali la...
Sina uhakika kama hiki chama kinachojinasibu kuwa dola kinajitizama ila simple research yangu mitandaoni na mtaani mnaenda down the hill kwa speed ya mwanga hasa huduma kwenye ofice za umma ...
Bismillahir Rahmanir Rahiim
JUMUIYA NA TAASISI ZA
KIISLAMU TANZANIA
Barua Pepe- jtkt.tz@gmail.com
S.L.B, 2055, Dar es Salaam
Kumb: JTKT/WKS/B1/21/F-SHR. 31. 08. 2021.
JAMUHURI YA MUUNGANO WA...
Kwako waziri Nape
Siku za hivi karibuni kumejitokeza hali isiyo ya kawaida ya spidi ya Mitandao ya Voda na Airtel kuwa ndogo sana.
Licha ya spidi kuendelea kuwa ndogo lakini gharama za vifurushi...
Wakuu bado namtafuta mrithi wa Maalim Seif wa kupambania Zanzibar yenye mamlaka sahihi simuoni.
Huyu Makamu aliyerithi kiti naona hana upepo wa kisiasa na Juma Duni Haji ni kama ameshapoteza Dira...
Jonas Akandunduma anasafiri kwa baiskeli kutokea Tunduma kuja kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe jijini Dar es salaam.
Taarifa zaidi zitatolewa atakapowasili kwa sababu za...
Huwa siwaelewi wahandisi wa serikali wanaangalia nini wanapo design na kujenga au kujengewa majengo ya serikali. Hapa nazungumzia majengo kama mahakama, hospitali, shule, kumbi za mikutano, ofisi...
Kumekuwa na mkanganyiko wa wapi zilipo pesa za covidi kiasi Cha trillion 1.5 ambazo tuliambiwa kuwa zinajenga madarasa wakati huohuo tukiongezewa makato ya Miamala ya kutuma na kupokea pesa...
Nchi yetu imepita vipindi vingi, vyote vikiwa chini ya utawala wa TANU na baadaye CCM. Kila lililo jema na lililo baya katika Taifa letu lazima lishikamanishwe na CCM kama chama, japo tofauti...
Magufuli alishafariki na mabaya yake na mazuri yake. Sasa tupige kazi. Kazi ipi hiyo? Kazi iendelee ipi? Ya kuibia wananchi? Ipi? Ya kupeana vyeo kwa kujuana?ipi?
Mi sijui. Ila kazi iendelee...
Kama nimeelewa vizuri ni kwamba kuna Watoto wa Rais.
Lakini hakunaga suala la watoto wa Rais mstaafu.
Rais akistaafu unabaki kuwa " mtoto wa fulani".
Duh.....hii imekaa kizalendo zaidi!
Hali ya maisha mtaani ni tia maji tia maji kwa misemo ya watu wa kipato cha chini, yaani hali ni tete kweli kweli. Kila ukienda kununnua bidhaa unakuta bei mpya ikiwa imepanda maradufu. Yaweza...
WAJANJA KAZI NA BATA INAENDELEAJE!?
Leo 16:30pm 07/04/2022
Washamba tunalia hali ngumu huku mchele,unga na dagaa vyote vimepanda bei, nauli ya bajaji toka sh 500 hadi sh 1,000 vipato vyetu na...
Uongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai.
Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake...
Sitaki kujadili Reaction ambayo Chama cha Mapinduzi kimechukua kufuatia kile kinachoitwa uzushi wa Gazeti linatolewa kila Siku la Chama cha Mapinduzi, Gazeti la UHURU juu ya mama kudai kuwa...
Wanajamvi nimefuatilia mjadala mda mrefu naona kama JK ndiyo kageuka Mhimili wa CCM kila zigo bovu na matatizo anabebeshwa yeye kuanzia kipindi chake, kikaja kipindi cha Magufuli na sasa kipindi...