CCM kumtenga Makonda inajiharibia

CCM kumtenga Makonda inajiharibia

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,558
Reaction score
20,418
Taasisi kama CCM huwa inasimama kwa watu wake kuwa pamoja na kusimama pamoja. Ni kweli kuwa Makonda hakuwa mtu wa maana na alijaa kiburi, lakini kwa CCM kumchinjia baharini ni hatari kwao.

CCM kuwa na nguvu haitegemei wananchi bali ushirikiano wao kwa wao na mshikamano wao. Kama hawawezi kulindana ni hatari kwao. Visasi na kutupana ndani kwa ndani kutawabomoa wenyewe.
 
Taasisi kama CCM huwa inasimama kwa watu wake kuwa pamoja na kusimama pamoja. Ni kweli kuwa makonda hakuwa mtu wa maana na alijaa kiburi, lakini kwa CCM kumchinjia baharini ni hatari kwao. CCM kuwa na nguvu haitegemei wananchi bali ushirikiano wao kwa wao na mshikamano wao. Kama hawawezi kulindana ni hatari kwao. Visasi na kutupana ndani kwa ndani kutawabomoa wenyewe.
Makonda kwa CCM ni nani???..
 
Una mawazo ya kijinga
 
Inajiharibia🤔 wakati inafanywa jitihada za kujijenga baada ya kuboronga vibaya,na pia wanafanya jitihada ya kujiosha dhidi ya waliowachafua,akina Kondaboy,Saambaya&co🤭
 
Taasisi kama CCM huwa inasimama kwa watu wake kuwa pamoja na kusimama pamoja. Ni kweli kuwa makonda hakuwa mtu wa maana na alijaa kiburi, lakini kwa CCM kumchinjia baharini ni hatari kwao. CCM kuwa na nguvu haitegemei wananchi bali ushirikiano wao kwa wao na mshikamano wao. Kama hawawezi kulindana ni hatari kwao. Visasi na kutupana ndani kwa ndani kutawabomoa wenyewe.
Acha waharibikiwe kwani hayo ndio malipo yamfaayo mwovu 🤔
 
Sijui ni nani ila ana ushawishi hadi walimpa ukuu wa wilaya na mkoa.

Walimpa hivyo vyeo ili kumtumia kwa manufaa yao!! Sasa umuhimu wake umekwisha lazima wamtose kwasababu ameuma mkono uliokuwa unamlisha!!
Mnakumbuka wakati Makonda anafunga kamba za viatu vya Ridhwani; baade baba yake akamteua kuwa DC wa Kinondoni? Alipopanda kuwa RC , jamaa akamgeuzia kibao na kumtia kwenye orodha ya wauza NGADA!!
Bahati mbaya sana kwa Makonda kuwa mjomba wa Msoga ni mtu wa visasi huwa hasahau; kwahiyo ilivyo sasa atakula sahani moja na Bashite mpaka mwisho pengine arudi kwao Holomije hapa mjini hawezi kuwa salama !!!
 
Makonda aliumiza hadi KM wa CCM hadharani akimfokea kama mtoto leo aonewe huruma? Kwa kuwa anatofauti gani na wanaccm wengine? Huyu hadi PM alimdhrau achilia mbali Bi. Mdashi

Ngoja tusome namba wote kwanza ili nzi wengine wajifunze heshima
Hadi muda huu nilitarajia kuona, Kondaboy yupo jalalani/store kama alivyo Saambaya Kwa aliyoyatenda na kuwatendea wengine😜
 
CCM imeisha watosa watu wazito kuliko Makondai wengi tu!! Huyu Makonda ni kicheche ambacho kinataka kuichafua taswira ya chama na kwenye chama hawakubali kuchafuliwa na huyu mtu wa kutoka shamba!! Angekuwa na akili angerudi kwao Kolomije hapa mjini atapotea!!!
Wengi waliotoswa walionyesha uasi kwa chama. Makonda ni loyal sana kwa chama chake.
 
CCM walilea magenge ya vijana waliokua wakifanya matukio na watu kuwakemea kipindi kile wakawa hawasikii.

Boss wao akawa anaishia kuwaambia chapa kazi usisikilize hizo kelele, huku CCM hao hao wakawa kimya sababu wanafanyiwa upinzani wakaona it is alright.

Mpaka walipowageukia na wao ndio wakashtuka huyu Mr Zero ni among of the state goons ukiunganisha na kina Musiba , Sabaya na Happi hakuna mtu anayewatenga ni muda wao wa malipo umefika.

Mtoa mada hujiulizi baada ya boss wao kufa vile vigazeti uchwara vya Tanzanite na Jamvi la habari vilipotea hata wafanyakazi kutolipwa miezi kadhaa?

Hii lawama haiepukiki awamu ya 5 ni ovyo kuliko kawaida walitengeneza wahuni na wahuni wamewarudia sasa mpambane sisi tunasubiri mwisho ila huyu jambazi hasafishiki na hata ubalozi wa Marekani unalijua fika.
 
Bashite bado analindwa because he knoes too much
Angekuwa ametoswa hata kwa siku moja angekuwa kashaokotwa kwenye mtaro..
Ana maadui milioni moja.
Ila pia kumwadabisha ni ufunguo wa kuadabishwa Kwa wanakijani, wote kwani ni Imani yangu kuwa hakuna aliyemsafi, ila wanatofautiana Kwa kufichwa wayafanyayo gizani TU. Saambaya alitolewa kafara kwakuwa alivuka mstari mwekundu Kwa ukaidi wake na jeuri😜
 
Taasisi kama CCM huwa inasimama kwa watu wake kuwa pamoja na kusimama pamoja. Ni kweli kuwa makonda hakuwa mtu wa maana na alijaa kiburi, lakini kwa CCM kumchinjia baharini ni hatari kwao. CCM kuwa na nguvu haitegemei wananchi bali ushirikiano wao kwa wao na mshikamano wao. Kama hawawezi kulindana ni hatari kwao. Visasi na kutupana ndani kwa ndani kutawabomoa wenyewe.
huna akili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom