Mkoa wa Arusha na Kagera wana Wabunge wa Majimbo Bungeni?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Kwanza niseme bunge la sasa laweza vunja rekodi ya utoro, viti asilimia kubwa vipo empty.

Lakini Mkoa wa Arusha umekuwa ukituma watu wenye tija kwa nchi Bungeni, leo hii hakuna Mbunge hata mmoja anayezungumza Bungeni ni kama hakuna wawakilishi

Kagera tofauti na Mbunge wa viti maalumu wengine wote wapo likizo. Nini kimewafanya Wananchi kupeleka watu wasiotambua majukumu yao?
 
Kwa kweli tumepotea na kupotoka
 
Mrisho Gambo ni mbunge wa Mkoa gani?Chuki za kijinga zimewafanya wengi kuwa vipofu.
 
Kwanza niseme bunge la sasa laweza vunja rekodi ya utoro, viti asilimia kubwa vipo empty.

Lakini Mkoa wa Arusha umekuwa ukituma watu wenye tija kwa nchi Bungeni, leo hii hakuna Mbunge hata mmoja anayezungumza Bungeni ni kama hakuna wawakilishi

Kagera tofauti na Mbunge wa viti maalumu wengine wote wapo likizo. Nini kimewafanya Wananchi kupeleka watu wasiotambua majukumu yao?
Wana Kagera kama kawaida yao hawana maneno mengi, ni vitendo tu! Ishomile hawezi kuanza kuropoka ropoka wakati anajua fika kinachojadiliwa siyo halisia!
 
Back
Top Bottom