Mbunge: Ubakaji umeongezeka sasa sababu wanaume wanashindwa kununua mapenzi, mapenzi ni bidhaa

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,725
18,620
Mbunge wa Iringa mjini Jesca Msambatavangu amesema ubakaji na ukatili wa kijinsia kwa watoto umeongezeka kipindi cha hivi karibuni

Sababu ya kuongezeka huko mbunge huyo ametaja ni kutokana na wanaumne wengi njia zao za kujipatia kipato kuharibiwa na sera ambazo sio rafiki na kushindwa kupata fedha ambazo ndio ingekuwa kivutio kwa mwanamke,

Mbunge huyo ametaja baadhi ya sera hizo kama kuharibu sehemu za biashara za machinga na kununua nguzo za umeme nje ya nchi na hivyo wazalishaji wa ndani kukosa soko na kipato

No money = boom down...

sasa mwanaume gani anakosa hela halafu abdallah kichwa wazi anaamka...
 
yeye awaambie tu wenzie nasisi tukigoma na kila mtu sasa huku mtaani apambane kivyake wao ndio watakufa njaa.... afanye hata sensa hapo bungeni kwa wenzie wametumia mbinu gani kufika hapo...
 
Mbunge wa Iringa mjini Jesca Msambatavangu amesema ubakaji na ukatili wa kijinsia kwa watoto umeongezeka kipindi cha hivi karibuni

Sababu ya kuongezeka huko mbunge huyo ametaja ni kutokana na wanaumne wengi njia zao za kujipatia kipato kuharibiwa na sera ambazo sio rafiki na kushindwa kupata fedha ambazo ndio ingekuwa kivutio kwa mwanamke,

Mbunge huyo ametaja baadhi ya sera hizo kama kuharibu sehemu za biashara za machinga na kununua nguzo za umeme nje ya nchi na hivyo wazalishaji wa ndani kukosa soko na kipato

Huyo kahaba anawaza kuuza papuchi tu
 
Ndio wabunge wa awamu ya 5, mwingine juzi kasema wanaume wa mkoa wake viuno havifanyi kazi! Uchaguzi halali ufanyike wananchi wachague wabunge wenye weledi, siyo Hawa waliopita bila kupingwa wanawakilisha ujinga mtupu.
 
Huyu mbunge anachochea ukahaba halafu kesho aanze kulalamika maambukizi ya ukimwi yanaongezeka, ok hao ndio wabunge wetu wa "bunge live"
 
Eh ndio yamekuwa hayo ?

images - 2022-04-14T195203.758.jpeg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom