Uchaguzi wa TLS: Prof. Hosea anatosha

Haki sawa

JF-Expert Member
Oct 3, 2007
4,780
3,208
Uchaguzi wa TLS umewadia na sasa kuna wagombea watatu ambao watachuana kikamilifu kwenye kinyanganyiro hicho ambacho Kwa hakika mwaka huu kitakuwa NI mchuano wa kukata na shoka!

Wagombea waliopitishwa ni Prof.Edward Hosea,Adv.Jeremiah Mtobesya na Adv.Harold Sungusia .

Wapo wanafikiri kuwa Mzee Hosea aachwe amalizie KAZI ambayo ameifanya na matunda yake yameanza kuonekana Kwa TLS kushirikishwa kwenye masuala mbalimbali ambayo siku za hapo nyuma walikuwa hawashirikishwi as waliomekana Kama kikundi cha wanaharakati ambao ni 'waasi' na wanaipinga Serikali Kwa kila Jambo!

Kuna kundi linaona kuwa Dr.Hosea amekuwa akifanya Mambo yake kimyakimya na hapendi kujionyesha kuwa anafanya nini na amefanikiwa kwenye Jambo lipi,Ila amekuwa MTU wa kuonyesha matunda ya KAZI yake baada ya kukamilisha KAZI.

Kuna kundi linataka TLS irudi kuwa kikundi cha harakati na ambacho kinapaswa kupaza sauti yake kila mara na ijulikane kuwa Wanafanya Jambo gani hata kama matokeo ya Jambo Hilo bado kuonekana ! Hawa NI wale vijana wanaotaka matokeo ya Leo Leo!

Kuna kundi linataka TLS iwe ya kukinzana na Serikali hadharani na iwe inashikilia msimamo ya upinzani mara zote , hawa NI wale wanaitwa wenye misimamo mikali !

Makundi yote haya kila moja Lina hoja zake za Msingi kulingana na haiba ya ambaye wanakutana naye na kumshawishi, kwani kila mmoja anakuwa na mrengo wake ambao anausimamia !

Ukichambua Kwa kina hoja za makundi yote,ukichanganya na hoja zilizopo mezani Kwa kipindi hiki na hasa Nia ya Serikali na Upinzani na makundi mengine kutaka kukaa mezani na kuzungumza ili kupata muafaka wa kitaifa ,kundi linalomtaka Dr.Hosea linakuwa na mashiko zaidi katika Zama hizi na Aina hii ya siasa za muafaka!

Dr.Hosea katika kipindi cha mwaka mmoja ameonekana wazi kuwa ni MTU wa kukaa mezani na kuzungumza , utu uzima wake umesaidia Sana katika kipindi hiki na ndio maana kunaonekana kuwa na utulivu na TLS imeanza kuwa sehemu muhimu katika kutunga sheria na kanuni mbalimbali ambao ni wajibu wa kimsingi wa taasisi hii.

Nashawishika kwenda na Dr.Hosea Kwa sababu;
1. Uzoefu katika uongozi, amewazidi wote.

2. Ushawishi,utulivu na Kuunganisha makundi mbalimbali ndani na Nje ya taasisi, amewazidi wote wanaogombea nafasi hiyo Kwa kipindi hiki.

3. Amefanya KAZI nzuri anatakiwa aikamilishe ili kujenga Msingi imara wa TLS , hivyo vijana wanaogombea Naye wanafursa ya kugombea Mwakani.

4.Katika kipindi chake amefanikiwa kurejesha wadau muhimu wa TLS kwenye kuisapoti na hata Serikali imekubali kurejesha michango yake Kwa TLS ,Mahakama imekubali kurejesha michango ya wanachama Kwa TLS NK. Anastahiki kupewa nafasi ya kukamilisha KAZI hii ambayo alishaianza.

5. Ameijenga taasisi imara badala ya kujijenga yeye binafsi , Hana ubinafsi wa kujitafutia sifa za kwake Bali anaijengea heshima taasisi ,jambo ambalo ni la Msingi Sana Kwa Kiongozi mwenye maono ya mbeleni badala ya sifa za kitambo kifupi.

6. Uongozi ni kipaji, anacho kipaji kuwazidi wenzake wote ambao anagombea nao katika nafasi hii .

Tuendelee kujadili na kuwashirikisha wapigakura wenzangu kuhusu Nani anafaa Kwa kipindi hiki na ambaye ataivusha taasisi badala ya kuangalia Maslahi ya Vyama au mirengo yetu ya Kisiasa!
 
Uchaguzi wa TLS umewadia na sasa kuna wagombea watatu ambao watachuana kikamilifu kwenye kinyanganyiro hicho ambacho Kwa hakika mwaka huu kitakuwa NI mchuano wa kukata na shoka!

Wagombea waliopitishwa ni Prof.Edward Hosea,Adv.Jeremiah Mtobesya na Adv.Harold Sungusia .

Wapo wanafikiri kuwa Mzee Hosea aachwe amalizie KAZI ambayo ameifanya na matunda yake yameanza kuonekana Kwa TLS kushirikishwa kwenye masuala mbalimbali ambayo siku za hapo nyuma walikuwa hawashirikishwi as waliomekana Kama kikundi cha wanaharakati ambao ni 'waasi' na wanaipinga Serikali Kwa kila Jambo!

Kuna kundi linaona kuwa Dr.Hosea amekuwa akifanya Mambo yake kimyakimya na hapendi kujionyesha kuwa anafanya nini na amefanikiwa kwenye Jambo lipi,Ila amekuwa MTU wa kuonyesha matunda ya KAZI yake baada ya kukamilisha KAZI.

Kuna kundi linataka TLS irudi kuwa kikundi cha harakati na ambacho kinapaswa kupaza sauti yake kila mara na ijulikane kuwa Wanafanya Jambo gani hata kama matokeo ya Jambo Hilo bado kuonekana ! Hawa NI wale vijana wanaotaka matokeo ya Leo Leo!

Kuna kundi linataka TLS iwe ya kukinzana na Serikali hadharani na iwe inashikilia msimamo ya upinzani mara zote , hawa NI wale wanaitwa wenye misimamo mikali !

Makundi yote haya kila moja Lina hoja zake za Msingi kulingana na haiba ya ambaye wanakutana naye na kumshawishi, kwani kila mmoja anakuwa na mrengo wake ambao anausimamia !

Ukichambua Kwa kina hoja za makundi yote,ukichanganya na hoja zilizopo mezani Kwa kipindi hiki na hasa Nia ya Serikali na Upinzani na makundi mengine kutaka kukaa mezani na kuzungumza ili kupata muafaka wa kitaifa ,kundi linalomtaka Dr.Hosea linakuwa na mashiko zaidi katika Zama hizi na Aina hii ya siasa za muafaka!

Dr.Hosea katika kipindi cha mwaka mmoja ameonekana wazi kuwa ni MTU wa kukaa mezani na kuzungumza , utu uzima wake umesaidia Sana katika kipindi hiki na ndio maana kunaonekana kuwa na utulivu na TLS imeanza kuwa sehemu muhimu katika kutunga sheria na kanuni mbalimbali ambao ni wajibu wa kimsingi wa taasisi hii.

Nashawishika kwenda na Dr.Hosea Kwa sababu;
1. Uzoefu katika uongozi ,amewazidi wote.
2. Ushawishi,utulivu na Kuunganisha makundi mbalimbali ndani na Nje ya taasisi, amewazidi wote wanaogombea nafasi hiyo Kwa kipindi hiki.
3. Amefanya KAZI nzuri anatakiwa aikamilishe ili kujenga Msingi imara wa TLS , hivyo vijana wanaogombea Naye wanafursa ya kugombea Mwakani.
4.Katika kipindi chake amefanikiwa kurejesha wadau muhimu wa TLS kwenye kuisapoti na hata Serikali imekubali kurejesha michango yake Kwa TLS ,Mahakama imekubali kurejesha michango ya wanachama Kwa TLS NK. Anastahiki kupewa nafasi ya kukamilisha KAZI hii ambayo alishaianza
5. Ameijenga taasisi imara badala ya kujijenga yeye binafsi , Hana ubinafsi wa kujitafutia sifa za kwake Bali anaijengea heshima taasisi ,jambo ambalo ni la Msingi Sana Kwa Kiongozi mwenye maono ya mbeleni badala ya sifa za kitambo kifupi.
6. Uongozi ni kipaji, anacho kipaji kuwazidi wenzake wote ambao anagombea nao katika nafasi hii .

Tuendelee kujadili na kuwashirikisha wapigakura wenzangu kuhusu Nani anafaa Kwa kipindi hiki na ambaye ataivusha taasisi badala ya kuangalia Maslahi ya Vyama au mirengo yetu ya Kisiasa!
Hyo Katiba ya TLS Yani kila mwaka uchaguzi. S at least wangweka Miaka mitatu. Sasa mgombea atafanya lip ndan ya mwaka mmoja, at least wangweka Miaka miwwil
 
Ni muhimu kwao wanataaluma lakini siyo kwa jamii.

Mtikila mmoja ni sawa na TLS nzima, kesi za kikatiba zilipaswa ziwe zinabebwa na TLS.
Ni chombo muhimu Sana, kila nchi kipo na kinatimiza wajibu wake , Ila penye udikteta ndio hutauona umuhimu wake !
 
Harold Sungusia atajitoa, Kisha atamuunga mkono Mtobeshya,ili wamtoe ngili kwenye kiwili.
 
Hyo Katiba ya TLS Yani kila mwaka uchaguzi. S at least wangweka Miaka mitatu. Sasa mgombea atafanya lip ndan ya mwaka mmoja, at least wangweka Miaka miwwil
Hoja ya muhimu, inabidi mwaka huu ipelekwe ajenda ya mabadiliko ya Katiba ya TLS angalau uchaguzi uwe kila baada ya miaka miwili .....
 
Harold Sungusia atajitoa, Kisha atamuunga mkono Mtobeshya,ili wamtoe ngili kwenye kiwili.
Kumbe ndio hivyo? Wanaomuunga mkono wanajua kuwa watauzwa ? Kwanini wamuunge mkono Leo then waje wauzwe ? Mawakili hawako hivyo na Wana misimamo isiyoyumbayumba! Ngoja tuone kama iko hivyo!
 
TLS nilishasema hapa ni ka -organization ka kitoto na useless kabisa ! Nilikafananisha tu na DARUSO! Uchaguzi kila mwaka!
Mkitaka kuwa something tangible, your leadership tenure lazima iwe at least 3 years!
Vinginevyo kila mwaka kutaneni huko Arusha kunywa pombe na tu hela twenu mnavyokusanya kwa wateja wenu!
 
Hyo Katiba ya TLS Yani kila mwaka uchaguzi. S at least wangweka Miaka mitatu. Sasa mgombea atafanya lip ndan ya mwaka mmoja, at least wangweka Miaka miwwil
Napendekeza ubaki mwaka mmoja hivyo hivyo, ili anapokuwepo Rais asiyeeleweka kama huyo Dr. Hosea aondolewe mara moja.

Sijawahi kumsikia akikemea jambo lolote la uminywaji haki nchi hii, yupo kimya tu, apishe vijana.

#Mtobesya.
 
Nanyie mliingia vibya kumuamin hosea, yeye ni pro serikal anatakiwa MTU atakaye kuwa neutral au haogopi kuishaur serikali. Na serikal lazma ita invest hpo Kwa uchaguz wapate MTU wao, Kwan haihtaj usumbufu
 
Back
Top Bottom