Rais Samia, mtetee Magufuli kwani anadhulumiwa

manengelo

Member
Joined
Jan 6, 2022
Posts
45
Reaction score
98
Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini sana juu ya yanayoendelea katika nchi yetu, magufuli anatukanwa sana mitandaoni na watu wanaojiita wazalendo na wapenda demokrasia.

Hatutakubali kuona magufuli akitukanwa, ofcourse kuna madhaifu kama kiongozi alikuwa nayo but ana mazuri mengi mno .

Tafadhali Mama Samia mtetee magufuli, zitto aache unafiki hajawahi kuwa mwema kiasi hicho katika nchi hii.
 
Duuh! wanadili na ambaye hawezi kuwajibu.Lissu na wengine,waliokua wanampinga waziwazi Magufuli,huwa nawapa kpngole sana,hawakusubiri age,ndiyo wampinge,hawakua wanafiki kama ilivyo kwa wengi waliojitanabaisha baada ya JPM kuondoka
 
Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini sana juu ya yanayoendelea katika nchi yetu, magufuli anatukanwa sana mitandaoni na watu wanaojiita wazalendo na wapenda demokrasia.

Hatutakubali kuona magufuli akitukanwa, ofcourse kuna madhaifu kama kiongozi alikuwa nayo but ana mazuri mengi mno .

Tafadhali Mama Samia mtetee magufuli, zitto aache unafiki hajawahi kuwa mwema kiasi hicho katika nchi hii.
Besti hupo longtime.

Penda sana wewe!

imhotep
 
Kuna syndicate maalumu imetengenezwa na wale wahuni kumtukana magufuli, na kama ni wanaume kweli mbona walificha mikia yao wakati akiwa hai...
... umeulizwa kwanini Nyerere, Mwinyi, Mkapa "hawachafuliwi"? Ni wajibu wako kuamua "kitabu chako" kisomekeje baada ya wewe kuondoka katika dunia hii. Jitengenezee kitabu kilicho bora ukiwa hai ili mazuri yako yasomeke miaka ijayo vinginevyo usiwalazimishe wasomaji wasome mazuri ambayo hayamo kwenye kitabu ulichokiandika mwenyewe.

Ulishindwa kuandika mazuri yako unataka wengine wakuandikie? Nani ajuaye ulitaka uandikiweje zaidi ya wao kusoma jinsi walivyoyaona maisha na matendo yako?
 
Bunge la wakati wa Mkapa halikuwa na mbilinge kama la kipindi cha Mh: J PM na and no one claimed to be shot dead or injured following political activities na kipindi cha Mr clean the use of social media haikuwa kubwa nowadays unaongoza vast country kama hii under so big pressure all in all JPM alijitahid despite na dosari hizo.
 
Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini sana juu ya yanayoendelea katika nchi yetu, magufuli anatukanwa sana mitandaoni na watu wanaojiita wazalendo na wapenda demokrasia.

Hatutakubali kuona magufuli akitukanwa, ofcourse kuna madhaifu kama kiongozi alikuwa nayo but ana mazuri mengi mno .

Tafadhali Mama Samia mtetee magufuli, zitto aache unafiki hajawahi kuwa mwema kiasi hicho katika nchi hii.
Aisee..
 
Back
Top Bottom