Barabara iliyokuwa inajengwa kwa kasi ya njia nane kutoka Dar hadi Kibaha imekwama kumalizika ujenzi wake kutokana na ukosefu wa fedha,Tanroads wamebainisha.
Waziri wa ujenzi prof Mbarawa...
Mimi maswali yangu ni haya;~
Utawala wa Magufuli unaonekana ulikuwa wa kipigaji sana, je aliwezaje
1. Kununua ndege 11 mpya tena bila mkopo?
2. Kujenga madaraja yote haya?
3. Kujenga Fly over...
Puuzeni. Mhe. Juma Raibu Bado anaendelea kuwasaidia Wananchi wake na habari za upotoshaji zinazosambaa kwamba ameondoa miundombinu aliyotoa kwa Wananchi NI uongo na uzushi wa watu wanaomchafua...
Wabunge wa ccm wengi wa sasa walikuwa na jambo Lao na hayati JPM, Hivyo kuondoka kwake Jumla amewaachia kihoro na mawazo yanayohitaji tiba ya akili.
Mbunge kama Joseph Gwajima alitumia kanisa...
Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'The Royal Tour' kwa lengo la kuitangaza Tanzania kwenye Sekta ya Utalii, Biashara na Uwekezaji Kimataifa.
Faida ya...
Tunza Malapo (Viti Maalum) amesema Mkoani Mtwara Soko la Chuno limejengwa kwa Bilioni 5.5 katika eneo ambalo ni tofauti na mwelekeo wa watu wengi akieleza, "Unaweza kujiuliza aliyependekeza Soko...
Wakati Sumaye akiwa Waziri mkuu watu wengi waliuliwa kwa kupigwa risasi kinyama kama tembo wauliwavyo na wawindaji haramu.
Matukio ya kutisha ni kuuliwa kwa ndugu zetu waliokuwa wakitokea...
Mzee Mgaya anasema Zitto Kabwe anajarinu kuweka mazingira mazuri ili 2025 inshallah rafiki yake wa hapo CCM agombee urais
RA amerudi na ZXK anaelewa wazi 2030 huyu bingwa wa siasa za CCM lazima...
Kuna siku niliona clip moja ina triend ikisema Shabiby alipuka bungeni, mara kidogo nikaona nyingine ya Mbunge wa Korogwe na ishu ya MSD, sijakaa sawa nikaona nyingine ya mbunge ana msakama...
Huyu mzee kuna mengi sana aliyafanya, pia machache alikosea kama mwanadamu, lakini mengi amekuwa akionewa sana.
Je ni upole wake? Naye huamua kukaa kimya bila kujibu tuhuma, matusi, kejeli na...
RAIS MAGUFULI "HUYO ANA USHAHIDI, MSHIKENI MPAKA ATOE USHAHIDI"
Siku hizi kumekuwa na tabia ya hovyo imejitokeza kwa baadhi ya Watanzania wachache. Kila kitu kinachofanywa ni Usalama wa Taifa...
Kuna siri gani kwenye ardhi ya Tanzania kwamba wanasiasa wa nchi za nje wakija kujiungamanisha nayo (wakilelewa Tz) wakirudi kwao wanaukwaa urais?
1. Samora Machel alipotoka Tz kurudi kwao akawa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahmani Kinana amewataka vijana na wanawake kujitokeza kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama hicho.
Amesema makundi hayo...
Rais Samia amemteua Nehemia Kyando Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba ya Taifa (NHC) akichukua nafasi ya Dkt. Maulid Banyani atakayepangiwa kazi nyingine
Aliyekuwa Waziri wa...
Kwenye maisha tunayoishi, ni muhimu kujifunza kupitia vitabu hivi,
1. THINGS FALL APART - By Sabaya
Itakusaidia saana kujua kuwa kuna siku madaraka huisha na kutakiwa kuwajibika kwa yale...
WATUMIAJI WA MITANDAO TUJISAHIHISHE UDIKTETA WETU
Na Zawadi Lupelo
Ndugu wapendwa wangu mitandaoni mimi ni muumini wa kweli wa uhuru wa maoni nchini Tanzania na duniani kwa ujumla. Kumekuwepo...
Wanabodi,
Kuhusu Uchaguzi Mkuu wetu na ushindi wa kishindo wa JPM na CCM, huko nyuma niliwahi kutoa angalizo hili muhimu la kiusalama
Security alert kwa Serikali yetu, tuwe makini sana na...
Najua ni mambo ya utaratibu tu.
Ila zamani kamati za bunge zilikuwa zinafanya kazi kubwa sana na nadhani kulikuwa hakuna bahasha za kaki siku zile.
Ila sasa utaona Kamati za CCM zinakagua miradi...
Awali mshirika mkuu wa CCM alikuwa ni TLP ya Augustino Mrema na kiukweli Lumumba ilipelekeshwa sana na Ufipa hadi pale Shujaa Magufuli alipoingia madarakani na kumkabidhi rungu komredi Polepole...