Wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingu na mwanzo wa ngoma ni lele!
Kuelekea Oktoba 28 dalili zote zinaonesha CCM kukataliwa na anga la Tanzania.
Kutakua na matukio mengi mfululizo kuelekea...
Anayetajwa kuanzisha hiki chama anayeitwa Seif Maalim Seif ni miongoni mwa watu maalum waliotumika na kitengo kuhadaa dunia kuhusu Uchaguzi wa 2020 , aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Wizara ya maliasili na utalii! Nimekuona bungeni Mheshimiwa naibu waziri ukijibu maswali kwa hisia nzuri ya kuendelea kuhifadhi mazingira na corridors na mazalia ya wanyama pori!
Kuna hiki kijiji...
Wengi wetu tunapinga Mgombea wetu wa Urais kupitia CCM ambaye pia ni Rais wetu bado kwa mujibu wa Katiba yetu.
Tunaopinga kuwepo kwa mdahalo huo kwa mgombea wetu, hoja yetu imejikita kwenye kazi...
Wanabodi,
Niko standby hapa katika ukumbi wa Jumba Mashuhuri la Makumbusho liitwalo Guggenheim , jijini New York kuwaletea live uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unaofanywa na Rais Samia.
Ujio...
Ukweli ni kwamba kwenye sekta ya utalii lazima tukubali kuwa Rais Samia awezi kuwa na ushawishi wa kuwavuta watalii au kuvuta watu kuangalia filamu ya royal tour maana hakuna kitu ambacho anawezi...
Katika hali ya kawaida ukitoa Ugonjwa ni vigumu sana kukuta Kiongozi wa nchi yoyote ile yuko kikazi kwenye nchi nyingine na ana spendi zaidi ya wiki.Anaweza kuwa na safari hata wiki 3 ila ana...
Habar zenu ndugu zangu. Mwaka 2025 sio mbali kwa wale watakaojaaliwa kuufika. Sasa ebu wapinzani na chawa wenu mnatakiwa mjiulize mmejipangaje kukabiliana na Rais mwenye maono, mwenye upendo wa...
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani.
Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi...
“Watu wa mfumo walinifuata na blank cheque, wanasema ni wasaidizi wa Rais, nijaze kiasi ninachotaka. Nikawaambia siwezi kufanya biashara za kuhama vyama pia nikija huko Magufuli asigombee 2020...
Habari wanabodi,
Kama kawaida baada ya mihangaiko ya hapa na pale nimepata wasaa wa kuperuzi huku jamii forum,
Na kwingineko bila kusahau kule mjini Tweeter, navyokutana navyo haviridhishi...
Waziri yupo WB anaomba mkopo tena baada ya ule wa kwanza kupelekwa kusiko na kumbuka ile trillion 1.5 ilikuwa ya kuingiza kwenye tozo na kupunguza mfumuko wa bei.
Mama yupo anatangaza utalii...
RC MAKALLA NA BODABODA MAMBO SAFI.
- Wakubaliana na Kuunda Kamati ya utaratibu wa vituo na uingiaji na utokaji Mji.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa muda wa Miezi mitatu...
ATCL imepata hasara kwa kuwa ndege 1 imekuwa matengenezoni kwa zaidi ya miaka 3 huku uendeshaji wa Ndege 2 (Boeing-B787) ulizidi Mapato na kusababisha hasara ya Tsh. bilioni 23.61.
Hadi kufikia...
Sipendi kabisa ushabiki wa vyama vya siasa, Wengi wameshangilia kushindwa kwake katika Chama cha Mapinduzi.
My behavioral psychanalysis is:-
Kwa kauli za Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi...
Nakushauri vitu viwili tu muhimu sana,kwa haya yanayo endelea katika mitandao ya kijamii.
1.Mshauri mkeo wako kutojihusisha na mitandao ya kijamii kabisa...sababu kwa yanayoendelea katika mitandao...
Wanabodi,
Nimekua nikifuatilia kikao cha bunge jioni hii, Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Zungu,amekiuka kanuni za Bunge, ili kuiokoa Serikali, kulazimisha kurudishwa kwa shilingi iliyoshikiliwa na...
Mwanzilishi wa Chama cha Umoja Party, Seif Maalim ametoa sababu za kwanini chama hicho kinatumia picha ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika fulana zao.
Maalim amesema chama hakina nia mbaya...
Yawezekana badala ya kuwa tunawesema kila siku labda iangaliwe namna ya kusaidiwa au tunawashikia bango watu ambao akili zao haziko sawia. Hata hapa kwetu zipo hizi shida labda tu hawajazifanyia...