Je, Umoja Party ni Mpango wa CCM kuwapumbaza kundi la mwendazake?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,600
218,004
Anayetajwa kuanzisha hiki chama anayeitwa Seif Maalim Seif ni miongoni mwa watu maalum waliotumika na kitengo kuhadaa dunia kuhusu Uchaguzi wa 2020 , aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , ni miongoni mwa Wagombea ambao hawakupigiwa kura lakini aliambulia kura maalum za Tume ya Uchaguzi .

Ni mtu wa Aina ya Kadawi Limbu , huyu alipachikwa Cuf ya Lipumba kwa mpango maalum na kugombea Ubunge Jimbo la Temeke, aliwezeshwa kila kitu na serikali ya wakati ule , Kuanzia matarumbeta hadi posho za wapambe , baadaye tena akawa mwanzilishi wa Chama cha serikali cha CCJ na baadaye akahama na kuwa mwanzilishi wa ACT ambayo ililetwa mahususi na serikali ya wakati ule ili kujaribu kupunguza nguvu ya Chadema.

Baada ya kuliona hilo nimegundua kwamba hii Umoja Party ni mpango maalum wa kupumbaza wale wanadhaniwa kuwa kundi la Mwendazake , hata wale waliovishwa fulana zenye picha ya Magufuli ni watu maalum .

Tutaendelea kuwafahamisha kila tunaloliona kwenye sarakasi hizi ili kuokoa Taifa .

Msiondoke JF
 
Naendelea kunywa mtori nyama nitazikuta chini nina hakika
 
Yaani wewe chadema unaweweseka na umoja party? Kweli saccos imefilisika kiakili na kipesa.
JamiiForums461950302.jpg

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Anayetajwa kuanzisha hiki chama anayeitwa Seif Maalim Seif ni miongoni mwa watu maalum waliotumika na kitengo kuhadaa dunia kuhusu Uchaguzi wa 2020 , aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , ni miongoni mwa Wagombea ambao hawakupigiwa kura lakini aliambulia kura maalum za Tume ya Uchaguzi .

Ni mtu wa Aina ya Kadawi Limbu , huyu alipachikwa Cuf ya Lipumba kwa mpango maalum na kugombea Ubunge Jimbo la Temeke, aliwezeshwa kila kitu na serikali ya wakati ule , Kuanzia matarumbeta hadi posho za wapambe , baadaye tena akawa mwanzilishi wa Chama cha serikali cha CCJ na baadaye akahama na kuwa mwanzilishi wa ACT ambayo ililetwa mahususi na serikali ya wakati ule ili kujaribu kupunguza nguvu ya Chadema.

Baada ya kuliona hilo nimegundua kwamba hii Umoja Party ni mpango maalum wa kupumbaza wale wanadhaniwa kuwa kundi la Mwendazake , hata wale waliovishwa fulana zenye picha ya Magufuli ni watu maalum .

Tutaendelea kuwafahamisha kila tunaloliona kwenye sarakasi hizi ili kuokoa Taifa .

Msiondoke JF
Nimependa taarifa yako lakini inachanganya kidogo. CCJ ni chama cha zamani sana kilichoanzishwa wakati wa kipindi cha kwanza cha Kikwete, nadhani mwaka 2008 hivi, halafu ACT ilianza miaka ya mwisho ya utawala wa Kikwete. Hapo ndipo ninaposhindwa kuunganisha story hii kati ya uchaguzi wa 2020 na uanzishaji wa vyama hivyo.
 
Kwenye biashara yoyote anapoingia mshindani lazima aliyekuwepo apate hofu.

Punguza hofu mkuu.

Boresheni bidhaa yenu ili muuzike kwa wananchi.

Kama kweli mna nia dhati ya kuwasaidia wananchi basi mtaona ujio wao kama jambo jema kwani mmepata nguvu mpya ya kufanya nayo kazi.
 
Anayetajwa kuanzisha hiki chama anayeitwa Seif Maalim Seif ni miongoni mwa watu maalum waliotumika na kitengo kuhadaa dunia kuhusu Uchaguzi wa 2020 , aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , ni miongoni mwa Wagombea ambao hawakupigiwa kura lakini aliambulia kura maalum za Tume ya Uchaguzi .

Ni mtu wa Aina ya Kadawi Limbu , huyu alipachikwa Cuf ya Lipumba kwa mpango maalum na kugombea Ubunge Jimbo la Temeke, aliwezeshwa kila kitu na serikali ya wakati ule , Kuanzia matarumbeta hadi posho za wapambe , baadaye tena akawa mwanzilishi wa Chama cha serikali cha CCJ na baadaye akahama na kuwa mwanzilishi wa ACT ambayo ililetwa mahususi na serikali ya wakati ule ili kujaribu kupunguza nguvu ya Chadema.

Baada ya kuliona hilo nimegundua kwamba hii Umoja Party ni mpango maalum wa kupumbaza wale wanadhaniwa kuwa kundi la Mwendazake , hata wale waliovishwa fulana zenye picha ya Magufuli ni watu maalum .

Tutaendelea kuwafahamisha kila tunaloliona kwenye sarakasi hizi ili kuokoa Taifa .

Msiondoke JF
Acheni kuweweseka..
Hao wafuasi wanaogawanywa kila siku ni wa Chadema??
Kaeni kwa kutulia hamna credibility ya kuwa chama kikuu cha upinzani na kushika dola.
 
Mwananchi walioiweka ccm madarakani 2015 sababu ya ushenzi wa kikwete wanalalamikia ushenzi ule kundelea tena kwa speed ya 5G tatizo wanashindwa kuelewa nani atakuwa msaada wao ccm hakuna chadema ndo hawana matumaini tena, act zitto juzi kamtukana kipenzi chao magu, soo tegemeeni wimbi kubwa la umoja party maana hakuna namna .
 
Wacha waweweseke.
 
Mgombea wa uraisi ndani ya chama hiki atatupa picha hapo 2025!!kimeandaliwa kimkakati ILI kiamue nani apewe NCHI mambo yakiwa MABAYA 2025!!!Ni chama mbadala kwa CCM!!wanajua fika kabisa Mama hauziki hata KWA sinema za tour hivyo chama hiki ndio kitapewa NCHI mambo yakiharibika!!
Ccm hatuwezi kukabidhi nchi kwa vijikaratasi vya kupigia kura, never ever. Samia yupo mpaka 2030 hilo ni halina kelele, yaani nawachora nabaki nacheka mnavyowengeka na tawi la ccm.
 
Anayetajwa kuanzisha hiki chama anayeitwa Seif Maalim Seif ni miongoni mwa watu maalum waliotumika na kitengo kuhadaa dunia kuhusu Uchaguzi wa 2020 , aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , ni miongoni mwa Wagombea ambao hawakupigiwa kura lakini aliambulia kura maalum za Tume ya Uchaguzi .

Ni mtu wa Aina ya Kadawi Limbu , huyu alipachikwa Cuf ya Lipumba kwa mpango maalum na kugombea Ubunge Jimbo la Temeke, aliwezeshwa kila kitu na serikali ya wakati ule , Kuanzia matarumbeta hadi posho za wapambe , baadaye tena akawa mwanzilishi wa Chama cha serikali cha CCJ na baadaye akahama na kuwa mwanzilishi wa ACT ambayo ililetwa mahususi na serikali ya wakati ule ili kujaribu kupunguza nguvu ya Chadema.

Baada ya kuliona hilo nimegundua kwamba hii Umoja Party ni mpango maalum wa kupumbaza wale wanadhaniwa kuwa kundi la Mwendazake , hata wale waliovishwa fulana zenye picha ya Magufuli ni watu maalum .

Tutaendelea kuwafahamisha kila tunaloliona kwenye sarakasi hizi ili kuokoa Taifa .

Msiondoke JF
Duh ! Hii Nchi ina vioja vya kila Aina , " Karma is a bitch " !!
 
Back
Top Bottom