Ushauri kwa mkuu wa mkoa wa zamani wa Dar es Salaam Paul Makonda

baba anjela

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
430
310
Nakushauri vitu viwili tu muhimu sana,kwa haya yanayo endelea katika mitandao ya kijamii.
1.Mshauri mkeo wako kutojihusisha na mitandao ya kijamii kabisa...sababu kwa yanayoendelea katika mitandao yanaweza yakamletea matatizo na kumpelekea kufa kwa pressure ya hofu juu yako.

Na kama alikupendea position na pesa basi na yeye anaweza kulubuniwa na kukubwaga ili wazidi kukumaliza.

Lakini haya yanayoendelea mitandaoni ,mkeo lazima atakuwa anatafakari nina mume wa namna gani ??? Mwisho wake ni upi?usalama wake uko wapi?? Kumbuka ana ndugu na marafiki wanao mzunguka, Sasa maamuzi yake yanaweza kuwa hasi au chanya kwako.

2.Unapotoka kwenda mahali popote usipende kwenda na familia yako sababu unaweza kufanyiwa kitu cha aibu sana au kibaya sana ambacho kitapelekea machungu makubwa kwa makeo na hata mtoto wako kubaki na kumbukumbu mbaya...

Mimi binafsi nakuombea neema ya Mungu ikufunike hata kama ulitenda yote hayo..basi Mungu akupe msamaha kwake na kwa wanadamu kama alivyofanya kwa Mtumishi wake Paulo ....na aweze kukutumia katika kazi yake...

- Sifikiri kama wewe ndiyo umefanya mabaya sana kuliko wengine hapana...na wala wewe hutokuwa wa mwisho kufanya mabaya hayo...kwa sababu shetani bado yupo duniani, tutayaona mengi sana zaidi ya haya...

3.Paul Makonda let past pass..you can't change anything ,what happened has happened...focus for your future and how you can make it to be good....jifunze kwa Prince .Y. Johnson who killed former President of Liberia Samweli Edore... ( FROM KILLER TO PASTOR )...
 
Sawa! Lakini hajawahi kutokea tangu uhuru mtu aliyepiga vita madawa ya kulevya kama Makonda. Kafanya mengi mazuri mnamshupalia kwa makosa machache kwa nini?
 
Kumpiga mzee wa watu ni jambo dogo?
Na shutuma zingine za kuwapoteza vijana wenzake nazo vipi?
 
Makonda amekuwa talk of the town!

Nyuzi za kumhusu sasa ni too much humu. Mods hebu fanyeni the needful... merge these threads.

-Kaveli-
 
Huyu mtoa anaishi huko lala land, saanane hatuko naye humu halafu anatuletea blah blah, damu za binadamu wenzetu zimemwagika unnecessary sababu ya huyu jamaa, bashite
Hukumu aliyopewa saanane ni ya kikatili sana.

JPM PhD yake ilikuwa ya mashaka sana. Hata body language yake ilikuwa inaonyesha kabisa kuwa tuna rais mtupu kichwani.

Kiingereza ziro, very poor English.

Sasa hiki ki bashite kiuwawe TU faster Ili iwe fundisho Kwa wengine.
 
Ushauri umekuwa too much to the guy. Mwishoe mnamchanganya sasa.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom