Rais Samia Suluhu Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani Mkoani Dar amesema wanawake bado hawajamuweka Rais mwanamke bali aliyekuwepo amepatikana kwa kudra ya Mungu na...
Wajumbe wa mjadala karibuni.
Kwa hali ilivyo sasa, kwa upigaji mkubwa unaoendelea sasa, kwa mambo mbalimbali ya ovyo yanayoendelea sasa, kwa jinsi zaidi ya 95% ya Watanzania walivyochoshwa na...
Ndugu zangu habari za saahizi? Yapata miaka saba sasa tangu nipost kwa mara ya mwisho katika jukwaa hili. Leo nimepata wito wa kuandika jambo walau na mm nitoe ya moyoni kwa kinachoendelea...
Nina documents kibao nina story za Siri kibao za wakubwa zihusuzo kuhujumu nchi!
Unajua Kwamba ufaransa wajeshi kadhaa wana pesa zaidi Ya 43000€ ni watano
Wajua Kwamba Tuna watu wanakula...
Wakuu leo tuongee hili suala. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo.
Nchi nyingi za kiafrika ikiwemo na hii yetu tunapoteza mda mwingi kupambana na mambo ambayo hayana tija. Kwa mfano bungeni...
HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA NDG. PAVU ABDALLAH - 22.04.2022
Tupo katika kipindi ambacho Bunge linaendelea kujadili bajeti za wizara mbalimbali, tarehe 21 April...
Nimepita mitandaoni leo naona kuna mjadala ambao sijauelewa. Nawaona wanaharakati na wafuasi wa CHADEMA wanajadili na kupaza sauti zao kuhusu Wakili Peter Mdeleka kuwa ametekwa na watu...
Baadhi ya Vitabu nilivyosoma mwaka 2021 – Zitto Kabwe
Mwaka 2021 nimejaaliwa kusoma vitabu 29 (2020:16, 2019:34). Nimesoma vitabu zaidi mwaka huu unaokwisha kwa sababu nilipata muda mzuri wa...
Nadhani ni Wakati sahihi wa CCM MKOA wa RUKWA kufanya MAGEUZI ya VIONGOZI kutoka Ngazi ya WILAYA mpaka MKOA.
CCM MKOA wa RUKWA imekuwa na VIONGOZI wabinafsi na wapo kwa Ajili ya Manufaa yao...
Jambo mojawapo kubwa na la muhimu katika siasa za kushika dola ni kuweza kuwasiliana na kufikisha ujumbe wako kwa kwa wakati kwa wananchi walio wengi. Hiyo ni bila kujali ujumbe wako ni sahihi au...
RC MAKALLA; TANZANIA TUNA MAFUTA YA KUTOSHA KUTUMIA MPAKA JULY 15.
- Ni Mafuta yaliyopo Sasa na Yale yaliyopo kwenye Meli.
- Asema Hakuna uhaba wowote wa Mafuta nchini kwa mafuta ya Dizel...
Sipingi umuhimu wa safari ya Royal Tour Nchini Marekani, natambua faida za kimsingi za safari hiyo.
Mhe Rais tangu uondoke ni takribani wiki moja na ushehee sasa.
Tumeona msafara ulioambatana...
Nimeshangazwa na kauli za baadhi ya wabunge wakiongozwa na Jerry Silaa kutaka bodaboda ziendelee kuwa kero jijini Dar es Salaam.
Suala hili limebebwa vile vile na Spika Tulia Ackson, kutetea...
Ninajiuliza:
• Ni kwamba mama ameona hajafanya chochote ndani ya mwaka wake mmoja as compared na mwaka mmoja wa Magufuli; hivyo akaamua ku-divert attention ya watu kutoka kujadili upungufu wake...
Ushuhuda wa TAFIRI tulitega nyavu masaa mawili Ziwa Victoria tukapata Samaki mmoja tu
Mmoja wa maofisa waandamizi wa TAFIRI aliyezungumza na JAMHURI (jina tunalihifadhi kwa kuwa si msemaji wa...
Leo waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, Kazi, Ajira na wenye ulemavu akiwa Bungeni amekanusha mifuko ya hifadhi ya Jamii kutokuwa himilivu. Alipohojiwa na Esther Bulaya juu ya ripoti ya CAG...
Duniani kote hatua kubwa za kimaendeleo zinaathiriwa kwa kiasi kikubwa na viongozi wa kisiasa. Hawa ndio hutoa maamuzi ya mwisho kuhusu mstakabali wa Taifa. Hivyo tutake tustake lazima viongozi...