CCM mkoani Rukwa tunataka mabadiliko ya Uongozi

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Nadhani ni Wakati sahihi wa CCM MKOA wa RUKWA kufanya MAGEUZI ya VIONGOZI kutoka Ngazi ya WILAYA mpaka MKOA.

CCM MKOA wa RUKWA imekuwa na VIONGOZI wabinafsi na wapo kwa Ajili ya Manufaa yao VIONGOZI wengi wanajishughulisha na UKANDARASI Matokeo yake Wanatumia UONGOZI wao KUJIPATIA KAZI kwa KUWATISHA Wakurugenzi na TBA na KUSABABISHA KAZI nyingi KUPEWA WAO.

Tunaiomba CCM TAIFA ilione hili kwani UONGOZI ni Kuongoza Njia kwa Wananchi Sio Kutumia UONGOZI Kujinufaisha
Wanaccm Rukwa tunataka VIONGOZI waadilifu WASIOJIPA KANDARASI kwa kutumia VYEO VYAO

CCM RUKWA imekuwa na Tabia ya kuwakata Majina Wagombea Wenye SIFA wakati wa UCHAGUZI wa WABUNGE na kupelekea kuwa na WABUNGE wasio na SIFA ya Kuteuliwa UWAZIRI

MKOA wa RUKWA una WASOMI wengi lakini Wanapokuja KUGOMBEA UBUNGE hukatishwa TAMAA na VIONGOZI wa CCM ngazi ya WILAYA mpaka MKOA

MKOA wa RUKWA una WABUNGE 4 wa KUCHAGULIWA lakini wote hawana SIFA ya Kuteuliwa kuwa MAWAZIRI
TUNAHITAJI Mabadiliko ya UONGOZI.
 
Mjilaumu kwa ujinga wenu wenyewe mnaanza kuonekana mwaka wa uchaguzi tu kwa lugha nyepesi nyie n wanafiki na matapeli wa kisiasa.
Na huo UJINGA ni zao la jamii yenu mnajifanya wasomi uchwara huku hamna impact kwa jamii ndo mana hao wananchi wanaona ni bora waongozwe na hao mazwazwa afadhari ambao wanaishi nao pamoja na kushirikiana katika shida na Raha.
My country men we have a long way to go.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
kwani hata Mikoa yenye Mawaziri unadhani Wanaishi Majimboni? Wengine wapo ULAYA wakati Wa UCHAGUZI wanaitwa NYIE RUKWA Endeleeni na hao hao DARASA LA SABA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Acha utani wewe,Vincent Mbogo hana sifa ya uwaziri?
DeusSangu pia?
Labda Aish ndiyo hana sifa ya uwaziri.
Viongozi wengine kama Chami Chasuka ambaye ni mwenyekiti wa CCM Sumbawanga mjini,sioni kasoro zake,ukija Rainer Lukarah,huyu ndiyo kabisa hana siasa chafu,mtu mzuri sana,tena sana,wengine siwezi kuwasemea ila Rainer ni kiongozi na nusu,aishi miaka mingi huyu baba,na ninavyomjua na kumsikia hana njaa za hovyo eti ajihusishe na kandarasi uchwara.
 
kwani hata Mikoa yenye Mawaziri unadhani Wanaishi Majimboni? Wengine wapo ULAYA wakati Wa UCHAGUZI wanaitwa NYIE RUKWA Endeleeni na hao hao DARASA LA SABA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Unaleta majungu JF unadhani utapata msaada huku?
Kwani lazima Kila mtu awe mbunge?
Waweza kutoa mchango chanya kwa jamii inayokuzunguka kwa kutumia karama na vipaji ulivyojariwa.

Binafsi naifahamu kwa kiasi siasa ya Rukwa wabunge wanaojitahidi walau n hyo wa kwela na Nkasi kaskazini hao wengine waliobaki hamna kitu.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom