Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka jana, haya yalipatwa kunenwa na aliyekuwa makamu wa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, hapo alinena kama mama, kama makamu wa rais na mjumbe wa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mara nyingi nimeonea serikali inakichukulia CHADEMA kama chama tofauti kabisa kulinganisha na vyama vingine vya upinzani. Kwa mfano Rais wa JMT ameshakutana na Tundu Lisu na baadae akakutana na...
3 Reactions
90 Replies
5K Views
Na Mwandishi Wetu, Arusha. Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amejumuika na viongozi mbalimbali wakiwemo wa dini, serikali na Chama mkoani Arusha, katika...
1 Reactions
1 Replies
674 Views
Kwa kitendo Cha Rais kukwepa kupita mlango wa Mbele huko Marekani ili asionane na Watanzania walio kuwa na mabango mbali mbali kinafedhehesha taifa na taasisi yenyewe ya Uraisi. Tumekuwa...
12 Reactions
32 Replies
2K Views
Katika kuadhimisha Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rais Samia Suluhu Hassan amewasamehe wafungwa wapatao 3,826 kwa masharti mbalimbali Msamaha huo utahusisha Wafungwa wanaotumikia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Bado uchambuzi wa safari ya Kisiasa ya Dr. Willibrod Slaa unaendelea... Tumepelekwa moja kwa moja kutoka Hoteli ya Serena, JamiiForums imenituma kama mwakilishi wake. Mtangulizi wa shuguli...
55 Reactions
6K Replies
609K Views
Taarifa iliyotolewa na Chadema Mkoa wa Njombe inaeleza kwamba , miongoni mwa Watu 9 ambao ni wanakwaya waliopata ajali na kufariki huko Njombe , baada ya gari waliyokuwemo kugongana na Lori , ni...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Ni nani ni Mlinzi wa Rasolilimali za Taifa kwa sasa? Ni Bunge? Hapana hawa walishakuwa sehemu ya Serikali na kazi yao ni kusifia na pia wengi wao wameingia madarakani kwa wizi wa kura, hawa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekutana na heading kwenye gazeti la The Citizen akiitaka AfDB kuisaidia Tanzania kwenye sekta ya kilimo hususani kilimo cha umwagiliaji. Mwamba huyu yupo.Ni hayo tu.
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Wana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Ni wiki mbili sasa Mkuu wa Nchi ya Tanzania yupo Marekani kwa kile kinachosemwa eti anahamasisha utalii. Kwa umri wangu wa 40+ ukimwondoa yule mla raha wa Cameroon na wale walioenda kutibiwa...
11 Reactions
38 Replies
2K Views
Hivi ni nani anaewaambia hawa kuwa sio kama sisi? Hivi unatandikiwa mkeka mpya Ili upande mti na unaweka pozi kabisa? Pesa ya kununulia mkeka nani anaitoa? Kama ni serikali inatoka kwa fungu gani?
3 Reactions
3 Replies
528 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilifanya vizuri sana katika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2019 na uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na Rais mwaka 2020. Kati ya maeneo hayo ni pamoja na mkoa wa...
0 Reactions
1 Replies
669 Views
wadau leo nimekuja kivingine kwa maslahi ya nchi yangu. kwa kufunguliwa macho na NAPE NNAUYE naona ni wakati muafaka wa kuyajadili haya kwa kina,DR SLAA ameonekana si mwadilifu kuwa na kadi ya...
4 Reactions
57 Replies
7K Views
Leo Serikali ya JMT imezindua kitabu chenye historia mpya ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kitabu hicho pia kimeeleza chimbuko la vuguvugu la kudai Uhuru wa nchi hizo tangu miaka ya 1920s...
0 Reactions
6 Replies
944 Views
Niliwahi kuishi Zanzibari miaka kadhaa iliyopita kwa kuwa nilitoka Bara ilinibidi nijibadilishe jina niitwe ISSA, ilibidi nifuge mzuzu wa ndevu ilimradi nionekane NAMI ni wa huko huko. Dada yangu...
0 Reactions
2 Replies
772 Views
[emoji625]IRINGA. 24 Aprili, 2022. Katibu Mkuu UVCCM Ndg. KENANI KIHONGOSI, amepewa jina la CHIFU CHOGAVATAMBULE likiwa na Maana ya Kiongozi wa Wateule. Jina hilo amepewa na Chifu wa Wahehe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Na Emmanuel J. Shilatu Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wanawake wote, heri ya siku ya Mwanamke! Tunaadhimisha siku ya Mwanamke tukiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
6 Reactions
5 Replies
819 Views
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Msalato jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
~ Tanzania imefunguka! Royal Tour imetuheshimisha! ~ ATCL, Wasanii, wakulima, wafanyabiashara ni kicheko! ~ Lango kuu la utalii lafunguka! Wastani wa watalii Mil 15 kwa mwaka ~ Ndege za moja...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…