Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele.
Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu...
Hukumu imetolewa wiki Jana iliyoishia August 24, 2018.
Ahadi hewa za mahakama ya mafisadi mnazikumbuka?
Lini ngedere amhukumu nyani? Yaani ccm iwashitaki mafisadi wenzao waliowaweka madarakani...
Bongo move ukitoa ishu za Siasa hawana cha maana wanacho fanya pale Arusha, hawa wako pale **** kupewa Moyivation wanendelee kuishabikia CCM ila hawana cha maana na wala hawana umuhimu wowote pale...
Haipo siri kuwa safari ya mama Samia Marekani imekuwa ya mafanikio makubwa.
Hakuna shaka kuwa mazungumzo ya ana kwa ana (one to one) ya awaye yote (mwenye nia njema) na mama Samia huwa ni ya...
Na Mwandishi Wetu,
Arusha.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana amewasili mkoani Arusha na kupokelewa kwa kishindo katika ziara ya...
Wasalaam Mtanzania Mwenzangu!
Naomba uitikie
KILA KITU KITAPANDA BEI!
Nimepita mitandaoni kusoma taarifa mbalimbali zinazoendelea hapa Nchi na ulimwenguni kwa ujmla.
Na nisikatae kwa Juma moja...
Kweli kifo kinaleta manjonzi na huzuni, Ila ukweli ni kwamba tumeumbiwa.
Mbunge ni kiongozi Ila sio wa kitaifa.
Ni matumizi mabaya ya rasimali muda na fedha tubadilike.
Umoja wa kampuni za uchapishaji walioingia mkataba kwa ajili ya kuzalisha bidhaa na vipeperushi vya CCM wakati wa kampeni mwaka 2020, wamemuomba Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mhe. @SuluhuSamia...
Tenda ya kuzalisha vipeperushi vya CCM wakati wa kampeni za mwaka 2020 ilikuwa ni kubwa, hivyo ikatulazimu kukopa ili tuweze kutimiza lengo la mahitaji tukitaraji kuwa baada ya mwezi fedha...
Mkurugenzi wa mashtaka mh Biswalo Mganga amesema zaidi ya watuhumiwa 300 wa makosa ya uhujumu uchumi walioomba kukiri makosa wamekubaliwa na kuachiwa huru.
DPP amesisitiza kuwa zoezi hilo...
Wazee wa Jimbo la Arusha Mjini Wamedai kuwa kauli ya Mbunge wao Mrisho Gambo kuwa Wamachinga Wanyanyaswa na Mgambo wa Jiji ina lengo la kuchonganisha Wafanyabiashara hao na Serikali kwani zoezi la...
Shime shime shime watumishi wenzangu ...asiye na mwana aeleke jiwe.
Tunapoelekea Mei Mosi ya kwanza ya Rais Samia S. Hassan akiwa katimiza mwaka mmoja kazini si vibaya tukatanguliza yale...
Huu utaratibu wa kuwakata hela yao wapangaji wanaponunuwa umeme unawatesa wapangaji,kwakuwa wananchi wapole na wanalia na machozi yanaishia ndani ndiyo mana hamjali?Juzi nilikuwa wananunuwa umeme...
Na Mwandishi Wetu,
Arusha.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana amesema uamuzi wa Mwenyekiti wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Spika wa Bunge la Tanzania amesema Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo 'ICU' na kwa miaka mingi wadau wamekuwa wakinyamaza, lakini imefika mahali lazima ukweli usemwe.
Amesema "NARCO hawezi...
Mapinduzi baridi ndani ya chama kongwe, iliyokuwa CCM Mpya ya mwendazake yafukiwa rasmi
Hakika sasa chama kikongwe chama dola kimefanya mabadiliko na kurudisha safu, makada na itikadi iliyokuwa...
Kwa sisi ambao ingalau tumepitia JKT, tuliopata mafunzo kamili ya infantria miaka kabla tu ya Vita ya Kagera, matukio ya miaka ya karibuni yanatutia wasiwasi sana na hili jeshi letu la Polisi...
Na Mwandishi wetu
WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Ashatu Kijaji ametembelea Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa ajili ya kujionea maendeleo ya ukaguzi wa gari la kutumia mfumo wa...