Rais Samia kukutana na Baba Mzazi wa Rihanna tunafaidika vipi kama Taifa?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,729
3,290
Wasalaam Mtanzania Mwenzangu!
Naomba uitikie
KILA KITU KITAPANDA BEI!

Nimepita mitandaoni kusoma taarifa mbalimbali zinazoendelea hapa Nchi na ulimwenguni kwa ujmla.
Na nisikatae kwa Juma moja saivi na siku kadhaa kumekua na taarifa inayosemwa sana mtandaoni ni Juu ya ROYAL TOUR!

Nikiwa napita nimepata kuona hii taarifa iliyoripotiwa kua Rais Wetu wa Nchi sio Rais wa TFF au Rais wa WCB, ni Rais wa Nchi amekutana na Baba Mzazi wa Rihanna na ikawa Reported as If ni kitu kilikua kwenye Plan za Mweshimiwa sa Najiuliza kama ilikua ni Plan za Mkuu kukutana Na mzee yule sisi Kama Taifa tunanufaika Vipi na haya Makutano yao?

Najiuliza Leo Rais KAGAME aje Hapa Tanzania akutane na MAMA DANGOTE kweli na iwe Taarifa huko Rwanda?

Screenshot_20220423-082520_Chrome.jpg
 
Rais pia ni binadamu kama wewe na mimi ana mambo yake binafsi tofauti hiyo nafasi ya urais
Lakini huko hakwenda kwa ajili ya mambo yake binafsi bali ameenda kwa mambo ya umma wa waTanzania ndio maana ameenda kwa Kodi zetu.....kwa hiyo kila alifanyalo lazima liakisi maslahi mapana ya umma............

Sasa swali linakuja kukutana na baba mzazi wa huyo binti taifa linanufaika vipi.....??
 
Ukute ameenda kama miss utalii sa tutajuaje......!
 
Back
Top Bottom