Bongo Move wako pale Arusha kwa ishu za Kisiasa na wala sio za Kibiashara.

ANAUPIGA MWINGI

JF-Expert Member
Apr 14, 2022
389
753
Bongo move ukitoa ishu za Siasa hawana cha maana wanacho fanya pale Arusha, hawa wako pale **** kupewa Moyivation wanendelee kuishabikia CCM ila hawana cha maana na wala hawana umuhimu wowote pale

Hawa Bongo Move ni CCM tu inawapa Bust kwa sababu hata Move zao kwa sasa Ma House Girl wenyewe ni wachache sana wanatazama, Hawa wamebakia kujipendekeza kwa CCM ili life isonge mbele,

Hawa kwa sasa wanaonekana kwenye matukio tu, baada ya hapo hutawaona tena.
 
Hawa jamaa wakiendelea na hii tabia yao ya kuendekeza uchawa na skendo za kipuuzi! badala ya kwenda shule na kuzalisha muvi za kiwango cha Kimataifa!

Miaka ijayo tutawabadilisha jina na kuwaita BONGO M∆VI, badala ya Bongo Muvi.
 
Bongo move ukitoa ishu za Siasa hawana cha maana wanacho fanya pale Arusha, hawa wako pale **** kupewa Moyivation wanendelee kuishabikia CCM ila hawana cha maana na wala hawana umuhimu wowote pale

Hawa Bongo Move ni CCM tu inawapa Bust kwa sababu hata Move zao kwa sasa Ma House Girl wenyewe ni wachache sana wanatazama, Hawa wamebakia kujipendekeza kwa CCM ili life isonge mbele,

Hawa kwa sasa wanaonekana kwenye matukio tu, baada ya hapo hutawaona tena.
Steve huwa anawadanganya sana
 
Back
Top Bottom