Umoja wa kampuni za uchapishaji walioingia mkataba kwa ajili ya kuzalisha bidhaa na vipeperushi vya CCM wakati wa kampeni mwaka 2020, wamemuomba Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mhe. @SuluhuSamia kuingilia kati suala la madai yao ili walipwe.
Kwa pamoja wanadai zaidi ya bilioni 1.
Natumaini safari hii hawataambiwa “Mwanangu kunywa maji” kama alivyoambiwa Shigongo 2015.
Kwa pamoja wanadai zaidi ya bilioni 1.
Natumaini safari hii hawataambiwa “Mwanangu kunywa maji” kama alivyoambiwa Shigongo 2015.