SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
Na Mwandishi Wetu,
Arusha.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana amewasili mkoani Arusha na kupokelewa kwa kishindo katika ziara ya kikazi yenye lengo la kuangalia uhai wa Chama.
Akizungumza mbele ya wana CCM Mkoa wa Arusha Kinana amewashukuru kwa mapokezi makubwa na mazuri waliyompatia.
“Nawapenda sana, baada ya kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM nimeona nifanye amsha amsha kidogo, nimeanza ziara Mkoa wa Pwani, Tanga, Kilimanjaro na leo nimeingia hapa Arusha, nasema nimetia nanga na mengine tutazungumza kesho kwenye kikao kazi. Nawashukuru sana.”