Ndugu zangu,
Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.
Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo...
Nipo hapa Arusha, kwa kifupi Viongozi wa Kitaifa wote wako hapa kuja kushuhudia Uzinduzi wa Filamu, Kuna V8 Zisizo kuwa na Idadi kwa sasa zimejaaa mji.
Hawa Viongozi wengine wako kwenye sekita...
Picha ya Darasa chakavu lililojengwa kwa udongo na miti linalosambazwa mtandaoni na baadhi ya wanaharakati wa kidai kuwa darasa hilo ni la Shule ya msingi Litingi, kijiji cha Litingi, kata ya...
Lawama Kwa Magufuli ni nyingi Sana miongoni mwa watu wakiwamo viongozi. Uozo mbalimbali uliofanyika kipindi kile, unafumuliwa kila siku. Ni vizuri sasa wale wote waliofanya kazi Kwa karibu na...
Hongera Mkoa wa Arusha, mmepata upendeleo.
Royal Tour ndani ya jiji, ndani ya ukumbi wa AICC.
Tarehe tajwa hapo juu.
Ngoja tuone uzinduzi huo wa kwanza Tanzania na wa aina yake
Mgeni Rasmi ni...
Kwamba bodaboda au Pikipiki inaweza kuwa usafiri , hilo halina ubishi hata kidogo , lakini ni lazima usafiri huo uwe wa mtu binafsi tu , kama ilivyokuwa zamani .
Lakini viongozi wa serikali kutoa...
Wakuu Huu ni Ukweli Unaoumiza uliosemwa na Rais Wa Zanzibar Dr. Mwinyi Kuhusu Watanganyika Kumiliki Ardhi.
Kinachoonekana Ni Kwamba, Ardhi ya Wazazibar ni Kwa Ajili ya Wazanzibar Tu.
Ila Ardhi...
Kiongozi wa ACT Eazalendo mh Zitto Kabwe amesema mbunge wa Mtera mh Lusinde aka Kibajaji hakumtendea haki mama yake ambaye kwa sasa ni marehemu kwa kumjadili ndani ya bunge.
Zitto Kabwe amesema...
wanabodi,
Huu ni utabiri wa habari njema kwa Chadema, hatimaye ile kesi ya Ugaidi inayomkabili Mkurugenzi wa Ulinzi wa Chadema, wilfred Rakatare, na Joseph Ludovick, sasa itafuta rasmi na DPP...
ZAIDI YA WANANCHI 22,000 WA NYANGAO - MTAMA KUPATA MAJI SAFI NA SALAMA
Mbunge wa Jimbo la Mtama na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye ameshuhudia utiaji saini...
Kuna akina mama watanzania ambao ni vichwa na wanafanya maajabu kusaidia watanzania.MMojawapo ni huyu mama Dr. Frannie Léautier mwenyeji wa Lushoto na Karibuni alikuwa Makamu wa Raisi wa Benki ya...
Mnyonge mnyongeni LAKINI haki yake mpeni, pamoja na shida ya kukatika katika kwa umeme lakini wameongeza ufanisi katika 'CUSTOMER CARE' Kwa kutumia nikonect app utapata Huduma UNAYOTAKA.
Mara...
Mgogoro wa ardhi ya wamasai kule ngorongoro usiposhughulikiwa kwa hekima na busara basi waweza geuka kuwa kitisho kikubwa cha usalama wa Taifa kwa sababu kama nilivyowahi sema hapo zamani kwenye...
Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele.
Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu...
Hukumu imetolewa wiki Jana iliyoishia August 24, 2018.
Ahadi hewa za mahakama ya mafisadi mnazikumbuka?
Lini ngedere amhukumu nyani? Yaani ccm iwashitaki mafisadi wenzao waliowaweka madarakani...
Bongo move ukitoa ishu za Siasa hawana cha maana wanacho fanya pale Arusha, hawa wako pale **** kupewa Moyivation wanendelee kuishabikia CCM ila hawana cha maana na wala hawana umuhimu wowote pale...
Haipo siri kuwa safari ya mama Samia Marekani imekuwa ya mafanikio makubwa.
Hakuna shaka kuwa mazungumzo ya ana kwa ana (one to one) ya awaye yote (mwenye nia njema) na mama Samia huwa ni ya...