Ukweli Unaoumiza kutoka kwa Rais wa Zanzibar kwenda kwa Watanganyika

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu Huu ni Ukweli Unaoumiza uliosemwa na Rais Wa Zanzibar Dr. Mwinyi Kuhusu Watanganyika Kumiliki Ardhi.

Kinachoonekana Ni Kwamba, Ardhi ya Wazazibar ni Kwa Ajili ya Wazanzibar Tu.

Ila Ardhi Iliyoko Tanganyika Kwa maana ya Tanzania Bara ni Ardhi ya Watu Wote Kwa maana ya Wazanzibar wakija Bara kuomba ardhi hawapewi masharti kama Wanayopewa Watanganyika wakitaka Kumiliki Ardhi Zanzibar.

Tuishi Kwa Kufikiri Sana.

View attachment 2202002
 
.
Kinachoonekana Ni Kwamba, Ardhi ya Wazazibar ni Kwa Ajili ya Wazazibar Tu.
.
Ila Ardhi Iliyoko Tanganyika Kwa maana ya Tanzania Bara ni Ardhi ya Watu Wote Kwa maana ya Wazazibar wakija Bara kuomba ardhi hawapewi masharti kama Wanayopewa Watanganyika wakitaka Kumiliki Ardhi Zanzibar.
.
Tuishi Kwa Kufikiri Sana.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
View attachment 2202002
Ndio maana kulikuwa na kero za muungano
 
Vunja hii kitu haina mashiko kwa wapemba otherwise wkulbali tu kuwa mkia miaka yote! but wangekuwa wanajitegemea hata kiuchumi tusingewafata hata robo.
 
Bado kuna tatizo sehemu flani.

Kwanza hakuna mzanzibari atapenda kuona muungano unavunjika, sababu faida wanayoipata ni kubwa kuliko kawaida.

Issue ya ardhi inawabeba sana, wengi wa wazanzibari wamenunua aridhi na kujenga majumba kila mahali Tanganyika, wamekodisha na kuweka biashara tofauti so kila wakati wanaenda kukushanya mapato na kurudi Zanzibar kulamba Asali.

Kutokana na hilo ni ngumu kukubali muungano kufanyiwa hata marekebisho au zile kero although vipengere vichache ndivyo vitarekebishwa japo sio vile vinavyowagusa moja kwa moja.
 
Fanya kura ya maoni uone Kama wanautaka muungano
 
Wakuu Huu ni Ukweli Unaoumiza uliosemwa na Rais Wa Zanzibar Dr. Mwinyi Kuhusu Watanganyika Kumiliki Ardhi.

Kinachoonekana Ni Kwamba, Ardhi ya Wazazibar ni Kwa Ajili ya Wazanzibar Tu.

Ila Ardhi Iliyoko Tanganyika Kwa maana ya Tanzania Bara ni Ardhi ya Watu Wote Kwa maana ya Wazanzibar wakija Bara kuomba ardhi hawapewi masharti kama Wanayopewa Watanganyika wakitaka Kumiliki Ardhi Zanzibar.

Tuishi Kwa Kufikiri Sana.

View attachment 2202002
Kwani ardhi ya tanganyika tunaimiliki au tunakodishiwa!!?
 
Tanganyika haipo, ilishakufa...Haki ya Watanganyika huwezi ipata....

Kuna Nchi ya Zanzibar inayoishi na Haki zake...

Halafu kuna Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo nayo haiwezi kutetea Haki ya Watanganyika kwa kuwa Tanganyika HAIPO.

Tulambe Asali tu....
 
Wakuu Huu ni Ukweli Unaoumiza uliosemwa na Rais Wa Zanzibar Dr. Mwinyi Kuhusu Watanganyika Kumiliki Ardhi.

Kinachoonekana Ni Kwamba, Ardhi ya Wazazibar ni Kwa Ajili ya Wazanzibar Tu.

Ila Ardhi Iliyoko Tanganyika Kwa maana ya Tanzania Bara ni Ardhi ya Watu Wote Kwa maana ya Wazanzibar wakija Bara kuomba ardhi hawapewi masharti kama Wanayopewa Watanganyika wakitaka Kumiliki Ardhi Zanzibar.

Tuishi Kwa Kufikiri Sana.

View attachment 2202002
Huyo Dr Mwinyi yeye mwenyewe ni mtanganyika ila ana miliki mpaka uraisi wa Zanzibar kwa hiyo muache shobo
 
Wazanzibari wanapenda sana Muungano wa changu changu, chako changu.
Vijamaa ni vinyonyaji mpaka basi.

Ukivikuta vimetuna 🙇 kwenye bunge letu la Tanganyika kule Dodoma, unaweza ukadhani kuna jambo la msingi vinafanya!

Kumbe vinahemea tu kodi za Watanganyika.
 
Zenji vipi kunakodiahwa au kunamilikishwa
Wao pia wanakodishwa Kwa Mda Wa miaka fulani².
.
Sheria iko wazi, kuwa mtu ambaye si Mtanganyika ataruhusiwa kupewa ardhi ya Tanganyika iwapo tu anafanya kazi ya uwekezaji.
.

Sheria ya Ardhi no.4+5 Inatamka wazi kuwa ardhi ya Tanganyika si kwa ajili ya watu kuja kujenga makazi, bali uwekezaji.
.
Hivyo kama kuna Mzanzibari anayejidanganya kuwa akinunua ardhi Tanganyika atajenga na kuishi hapa kama si mwekezaji anapoteza kuda na fedha zake.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wazanzibari wanapenda sana Muungano wa changu changu, chako changu.
Vijamaa ni vinyonyaji mpaka basi.

Ukivikuta vimetuna kwenye bunge letu la Tanganyika kule Dodoma, unaweza ukadhani kuna jambo la msingi vinafanya!

Kumbe vinahemea tu kodi za Watanganyika.
Mtoa Tamko ni Mzanzibar anaemiliki ardhi bara. Watanganyika sijui nani katuloga

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom