Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,499
- 113,610
wanabodi,
Huu ni utabiri wa habari njema kwa Chadema, hatimaye ile kesi ya Ugaidi inayomkabili Mkurugenzi wa Ulinzi wa Chadema, wilfred Rakatare, na Joseph Ludovick, sasa itafuta rasmi na DPP kwa kutumia mamlaka yake ya "Nolle Proseque!".
DPP anapoifuta kesi yoyote kwa kutumia Nolle, hawajibiki kutoa maelezo yoyote kwa yoyote, na uamuzi huo wa DPP huwa ni wa mwisho, final and conclusive hauwezi kuhojiwa na mamlaka yoyote!.
Vivyo hivyo kwa taarifa hii, na mimi naomba nisihojiwe na yoyote wala kuulizwa lolote kuhusu utabiri huu, hadi pale utakapotekelezwa!.
Lengo la kukuletea utabiri huu ni ili kukufanya tuu wewe kama mwana JF to be the first to know, kwa sababu katika hatua hii, unaweza kukuta hata huyo DPP mwenyewe, wala ofisi ya DPP bado haijajua kuwa itatakiwa kutoa Nolle, kuifuta kesi hiyo!.
Jumapili Njema,
Pasco
Kwa wanaopenda kujua zaidi kuhusu Nolle, karibuni hapa!.
DPP wetu kizuizi katika mapambano dhidi ya ufisadi
Lwakatare aachiwa huru kisha kukamatwa
Kagoda: Kamwe haitafikishwa Mahakamani!
Simshangai Pasco wa JF tu; hapana