CHADEMA Makao Makuu isihangaike kumjibu Dkt. Slaa, ametumwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,563
217,866
Dr Slaa ametumwa kuichafua CHADEMA na zipo tetesi kwamba amelipwa kwa kazi hii Maalum (hili tutalifafanua baadaye).

Nawaomba viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA , ambao kuna taarifa kwamba mnapanga vizuri mafaili yenu ili kumlipua huyu mzee aliyekimbia Kanisa Katoliki baada ya kashfa kadhaa, acheni Jambo hilo kwa sasa, hii ni kwa sababu kila mtanzania ameelewa kwamba Dr Slaa ni muongo na ametumwa uongo bila kutafakari .

Hakuna haja ya kumuadhibu kwa kumfedhehesha Mtu ambaye amekwisha, hakuna haja ya "kumvua nguo" kikongwe kama huyu, mila za Kitanzania zinakataza , Mawe na maswali anayotandikwa huko mtandaoni yanamtosha kabisa.

Chonde Chonde CHADEMA, Msifanye hivyo jamani.
 
... lipuuzeni hilo lizee; halina jipya kwa sasa. Aina ya mtu aliyezoea uongo uongo ili aishi mjini.

Baada ya kesi ya ugaidi kubumba wanawatuma mawakala wao wenye roho za kishetani kujaribu kueneza vijisababu vingine vya kuendelea kuichafua Chadema.

Kwa neema za Mungu wa Mbinguni hawataweza; kama kubwa lao na vyombo vyote walishindwa huyu mjinga hataweza!
 
Dr Slaa ametumwa kuichafua CHADEMA na zipo tetesi kwamba amelipwa kwa kazi hii Maalum ( hili tutalifafanua baadaye ) .

Nawaomba viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA , ambao kuna taarifa kwamba mnapanga vizuri mafaili yenu ili kumlipua huyu mzee aliyekimbia Kanisa Katoliki baada ya kashfa kadhaa , Acheni Jambo hilo kwa sasa , hii ni kwa sababu kila mtanzania ameelewa kwamba Dr Slaa ni muongo na ametumwa uongo bila kutafakari .

Hakuna haja ya kumuadhibu kwa kumfedhehesha Mtu ambaye amekwisha , hakuna haja ya "kumvua nguo" kikongwe kama huyu , mila za Kitanzania zinakataza , Mawe na maswali anayotandikwa huko mtandaoni yanamtosha kabisa .

Chonde Chonde CHADEMA , Msifanye hivyo jamani .
Mungu ibariki CHADEMA.. Izidi kutamalaki kwenye uvumilivu na hekima
 
Huwa nawaambia watu siku zote kuwa Chadema ni kama Injili hata ukiwaua Waislam wote na Wakristo wote na ukachoma Biblia zote na Quaran zote bado watu wataendelea kueneza Injili kwa namna nyingine.

Dr. Slaa anapoichafua Chadema ni kama anauangalia utupu wa Mama yake mzazi kwa kuwa Chadema ndicho chama pekee kilichomuweka kwenye ramani ya siasa.

Pia,Dr.Slaa kama alikaa kimya kipindi hicho alipotekwa huyo kijana wa Chadema basi yeye ndye muhalifu namba moja.

Vilevile kama Chadema wangelimteka huyo kijana ccm wangelitumia tukio hilo kuifuta Chadema (Chama kingefutiwa usajili)

Huyo Dr.ni mbuzi kama zile zinazofugwa na wasukuma!
 
Dr Slaa ametumwa kuichafua CHADEMA na zipo tetesi kwamba amelipwa kwa kazi hii Maalum ( hili tutalifafanua...
Kila Mtanzania yupi mkuu,mbona mi nimeelewa mpaka kamtaja jina aliyepigwa.

Kama CHADEMA mnatulazimisha tuamini Lissu alipigwa na serikali bila uthibitisho na kuna watu wameamini.

Kwanini watu haohao wanaoamini yasiyothibitishwa wasiamini na hili.
 
Dr Slaa ametumwa kuichafua CHADEMA na zipo tetesi kwamba amelipwa kwa kazi hii Maalum ( hili tutalifafanua baadaye ) .

Nawaomba viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA , ambao kuna taarifa kwamba mnapanga vizuri mafaili yenu ili kumlipua huyu mzee aliyekimbia Kanisa Katoliki baada ya kashfa kadhaa , Acheni Jambo hilo kwa sasa , hii ni kwa sababu kila mtanzania ameelewa kwamba Dr Slaa ni muongo na ametumwa uongo bila kutafakari .

Hakuna haja ya kumuadhibu kwa kumfedhehesha Mtu ambaye amekwisha , hakuna haja ya "kumvua nguo" kikongwe kama huyu , mila za Kitanzania zinakataza , Mawe na maswali anayotandikwa huko mtandaoni yanamtosha kabisa .

Chonde Chonde CHADEMA , Msifanye hivyo jamani .
Naunga mkono wasimjibu. Vijana tuendelee na mapambano ya katiba. Huyu anataka kuyumbisha watu ili madai ya katiba yafifie.
 
Back
Top Bottom