Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Tundu Lissu MP HARDtalk HARDtalk's Stephen Sackur speaks to Tanzanian opposition MP, Tundu Lissu. Tanzania is one of Africa's fastest growing nations economically and demographically - it's also...
107 Reactions
2K Replies
224K Views
MFANYABIASHARA MAARUFU MOHAMMED DEWJI APATIKANA AKIWA HAI Amepatikana akiwa ametelekezwa kwenye viwanja vya Gymkhana Baada ya kutekwa, Gari la watekaji liliendeshwa kwa kasi sana na kwenda...
46 Reactions
2K Replies
223K Views
  • Closed
Muda wa kama dakika 20 zilizopita mjini Morogoro, Sheikh Ponda amepigwa risasi. Dhahama hiyo imempata baada ya kushuka kwenye taxi ambako kulikuwa leo akiendesha mhadhala baada ya mhadhala huo...
51 Reactions
3K Replies
223K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameanza ziara yake ya siku 10 ndani ya jiji la Dar es salaam kwa ajili ya kusikiliza kero za wananchi pamoja na kuzitafutia ufumbuzi. Hii thread itakuwa...
8 Reactions
2K Replies
223K Views
Kweli mfa maji hutapatapa atimaye ccm waanza kulazimisha maoni yao Magazetini: - Hoja zawaumiza CCM, Makonda aongoza vijana kumshambulia - Mdahalo wavunjika, polisi waonyesha udhaifu - Meseji za...
17 Reactions
2K Replies
222K Views
Heshima kwenu wakuu, Leo Novemba 26 2017 ni Siku ya Uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 43 Tanzania. Uchaguzi huu unafanyika kujaza nafasi zilizo wazi katika kata hizo Baada ya Madiwani...
35 Reactions
2K Replies
222K Views
============ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Juni, 2016 amefanya mabadiliko madogo katika safu ya wakuu wa mikoa na amewateua wakuu wa wilaya 139...
19 Reactions
1K Replies
221K Views
- Mulugo ameondoshwa rasmi serikalini. Nafasi yake imejazwa na Jenista Mhagama - Mwigulu Nchemba amekuwa Naibu Wizara ya Fedha (Sera). Aliyekuwa nafasi hiyo sasa ni Waziri Kamili - Ole Medeye...
46 Reactions
1K Replies
220K Views
Askofu Zakaria Kakobe leo akiwa kanisani kwenye ibada ya Christmas, katika kanisa la FGBF Mwenge jijini Dar es Salaam, amenukuliwa akituma salamu kwa Rais wa JMT, Dkt. John P. Magufuli. "Rais...
202 Reactions
2K Replies
218K Views
Kumekuwepo na habari ambayo inavumishwa katika mitandao ya kijamii hasa hapa Jamiiforums kuhusu Elimu ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikati na Uenezi, Ndugu Nape Moses Nnauye...
37 Reactions
1K Replies
215K Views
Kwanza ningependa kukupongeza kwa juhudi zako za kutaka kuliboresha jiji letu hili la Dar. Nimekuwa nikifuatilia juhudi zako tangu ulipokuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni. Naamini jitihada zako za...
6 Reactions
2K Replies
214K Views
Leo Jumanne Septemba 08, 2015 Askofu Gwajima anaongea na waandishi wa habari akitoa maelezo juu ya alichokisema Dk. Slaa wakati anaongea na waandishi wa habari pia kutoa maelezo ya uhusikaji wake...
74 Reactions
2K Replies
213K Views
Prof. Lipumba akiongea na waandishi wa Habari kwenye Hoteli ya Peacock Prof. Ibrahim Lipumba ametangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti kwenye chama chake cha Wananchi CUF. Ametangaza kuachia...
50 Reactions
2K Replies
213K Views
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa jijini Arusha huku akiwa amevalia vazi la Kijeshi wakati aliposimama kuwasalimia...
15 Reactions
706 Replies
212K Views
Nimetafakari, nikaona nipate pia mawazo wanafikra weledi juu ya baadhi ya kauli zenye utata za viongozi kwa wananchi Je, huu ni uungwana kweli? Kauli tata za vingozi wa Tanzania Mtakula nyasi...
15 Reactions
2K Replies
212K Views
Huyu jamaa alikua ni miongoni mwa walinzi wa Rais JPM tena wale ambao ni very special ambao wanakua in a close yard na rais, siku za hivi karibuni alikua haonekani kabisa kwenye misafara ya anko...
18 Reactions
886 Replies
211K Views
Kunafanyika mkutano wa kumtambulisha mgombea/mwenza wa CHADEMA/UKAWA kupeperusha bendera ya Urais Uchaguzi mkuu mwezi Oktoba. Lowassa na Dr. Duni watatambulishwa kwenye uwanja wa Furahisha,ambapo...
38 Reactions
1K Replies
211K Views
Wakuu, Kikao cha Kamati Kuu ndiyo kimeisha muda huu, na taarifa zilizopo ni kwamba kambi ya PM7 imevunjwa rasmi baada ya viongozi wake kuvuliwa vyeo vyote walivyo navyo ndani ya chama...
142 Reactions
3K Replies
211K Views
Mubashara kutoka Ukumbi wa Chimwaga na kupitia hapa JF tunakuletea kinachojiri... Viongozi mbalimbali wa kitaifa wameshaingia kwenye ukumbi wa Chimwaga. Yupo Katibu Mkuu Kiongozi, Waziri wa...
25 Reactions
2K Replies
209K Views
Kumekuwa na hamasa hamasa ya maandamano kwa kupitia Mitandao ya Kijamii, haswa kupitia Instagram na Telegram. Hamasa hii imeamsha hisia za kila aina kwa wale ambao wanafuatilia kwa karibu. Hamasa...
16 Reactions
3K Replies
209K Views
Back
Top Bottom