Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ntemi wa Nassa, Aug 10, 2013.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. N

  Ntemi wa Nassa Member

  #1
  Aug 10, 2013
  Joined: Aug 6, 2013
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muda wa kama dakika 20 zilizopita mjini Morogoro, Sheikh Ponda amepigwa risasi.

  Dhahama hiyo imempata baada ya kushuka kwenye taxi ambako kulikuwa leo akiendesha mhadhala baada ya mhadhala huo kukawa kama kuna maandamano kueleke barabarani, gafla polisi walitokea na kuanzanza kutawanya wakati huo yeye alikuwa hayupo.

  Ndipo muda mdogo akawasili akashuka na akapigwa risasi.

  [​IMG]


  ---------------
  UPDATE 1:
  ---------------

  Haijulikani hali yake. RPC, Faustine Shilogile, anasema hali ni shwari ila Ponda hajui hali yake Maana polisi walizuia gari la Ponda wamkamate, lakini wananchi wakaanza kushambulia polisi ndipo wakarusha risasi hewani kutawanya watu, lakini wananchi wakamtorosha. Anasema taarifa ni nyingi za uongo, hakuna watu polisi wala hospitali waliozingira na anaomba anayejua alipo atoe taarifa.

  ==================================
  UPDATE 2 (Media nyingine za Tanzania):
  ==================================
  =========================
  UPDATE 3 (Shuhuda):
  =========================
  =========================
  UPDATE 4 (Shuhuda #2):
  =========================
  =========================================
  UPDATE 5 (Vyombo vya Habari vya Nje):
  =========================================
  =========================
  UPDATE 6 (August 11, 2013):
  =========================
  Sheikh Ponda amefikishwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kitengo cha Mifupa (MOI). Inadaiwa risasi ilipenya na kusababisha fracture ya mfupa mkubwa wa Mkono.

  [​IMG]
  Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda akiwa amelazwa kwenye chumba maalumu katika taasisi ya mifupa Muhimbili (MOI), muda mfupi baada ya kufikishwa hospitalini

  View attachment 106642

  [​IMG]

   
 2. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2013
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Polisi na CCM watahakikisha kila nayewapinga anauwawa kabla ya 2015....Lakini sasa ndugu zetu waislam wakafumbua macho, wakayaona udhalimu wa CCM na polisi wao. Hapa wamevuka mipaka. Sheikh Ponda amekuwa akiwa akitafutwa sana. Hapa watasema ughaidi kama kawaida yao

  Sitashangaa CHADEMA wakitwisha hilo gunia la mchanga !
   
 3. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2013
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,489
  Likes Received: 486
  Trophy Points: 180
  Walimtaka Muheshimiwa..... hukumu ni hapahapa duniani. UTAVUNA ULICHOPANDA. Polisi ni Kiboko, kama ni kweli.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2013
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,776
  Likes Received: 8,711
  Trophy Points: 280
  Mhuu.!!!
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,607
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  Copy. Ritz muhumu kwa chama
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. MWAGONA

  MWAGONA Member

  #6
  Aug 10, 2013
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  akiwa kwenye muhasara maeneo ya uwanja wa ndege mjini hapa amepigwa risas ya kifua na sasa amepelekwa hospital ya mkoa hapa morogoro
   
 7. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2013
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,003
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Mbona afadhali kuishi Somalia sasa!
   
 8. kmbwembwe

  kmbwembwe JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2013
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 6,385
  Likes Received: 1,357
  Trophy Points: 280
  Japo namchukia Issa Ponda sifurahii hata kidogo kama amepigwa risasi na polisi. Huyu mtu ilitosha kumuweka lupango kwani alipatikana na kosa la uchochezi ila dola ikamuachia na yeye kuendelea na kile asichoweza kuacha..."uchochezi wa kidini'
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2013
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,240
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  Habari hii ni kweli au ni uzushi? Kama ni kweli I think for the first tym nitakuwa against Mwema
   
 10. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2013
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,776
  Likes Received: 8,711
  Trophy Points: 280
  Ninawasiwasi na uhai wa Dr. Slaa!
   
 11. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2013
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,031
  Likes Received: 1,159
  Trophy Points: 280
  Kweli hii kauli ya ''wapigwe tu'' kweli tutaisha
   
 12. mdeki

  mdeki JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2013
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 3,302
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Harufu ya hatarii

  "Nchi ngumu hii"
   
 13. m

  mawenge JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2013
  Joined: Nov 26, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwili unasisimka
  .
   
 14. b

  bagi JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2013
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 744
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 60
  balaa police watamaliza watuu
   
 15. Mathenge

  Mathenge JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2013
  Joined: Jan 25, 2013
  Messages: 567
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 60
  Daah! mi napita!
   
 16. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2013
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,198
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hakukuwa na watu???
  Alikuwa jukwaani??!

  Distance gani!! Mpigaji alikuwa kundini au ni long range???
   
 17. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2013
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  -Ha! ha! ha! ha! ha! ha!.....Hii noma sana kama vipi. Mkuu, waite basi wale mambululaz wetu waje hapa kumwaga pumba, hau hii thredi ni nzito sana? Kama vipi naungana na wewe Mwema aondoke madarakani
   
 18. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2013
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,489
  Likes Received: 486
  Trophy Points: 180
  VITA HAINA MACHO. Ni Upepo utapita......... Kesho wataendelea kuuwa Upinzani na Wadanganyika.
   
 19. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2013
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,071
  Likes Received: 11,553
  Trophy Points: 280
  mmmh
  wewe hupo eneo la tukio?
  umeona akipigwa risasi?

  hii habari sidhani kama imeshathibitishwa
   
 20. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #20
  Aug 10, 2013
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wale waliouwawa na polisi the other days hawakuwa watu?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...