Elewa umuhimu wa Ngeleja Sekta ya Madini & Nishati hivi sasa

Oct 9, 2014
95
13
AWAMU YA NNE CHANZO CHA KUIMARIKA SEKTA YA NISHATI, MADINI

Kuanzishwa mfumo wa ununuzi mafuta kwa wingi (BPS) katika biashara ya mafuta ya petroli nchini, kwa kiwango kikubwa kumerahisisha usimamiaji wa kodi na kupunguza vikwazo vya uagizaji mafuta.

Maeneo hayo yote mawili yamepelekea kuimarisha ukusanyaji kodi utokanao na mafuta ya petroli.
Hilo limebainika baada ya utafiti uliozinduliwa na mamlaka ya udhibiti wa nishati na maji (ewura) baada ya kufanywa na shule ya biashara ya chuo kikuu cha dar es salaam (UDBS: Idara ya uchumi).

BPS(Bulk procurement system) imekwenda mbali zaidi katika kudhibiti uendeshaji kwenye sekta ndogo ya mafuta nchini.
Ukipewa jina la 'hatua za udhibiti katika sekta ndogo ya mafuta nchini Tanzania, matokeo ya utafiti huo yanaonesha tangu kuanzishwa mfumo wa Bulk procurement system (BPS), kumekuwepo na upunguaji kwa kiasi kikubwa wa bei ya mafuta na kuongezeka kwa kutii mifumo ya udhibiti , na uwazi katika sekta ndogo ya mafuta kwa ujumla.

BPS ilianzishwa kwa ukamilifu januar,2012 kama njia mojawapo ya kukomesha udanganyifu uliokuwa ukifanywa zaidi na kampuni za masoko ya mafuta nchini Tanzania, ambavyo si tuu yaliinyima mapato serikali, lakini pia yalilazimisha wateja kulipa zaidi kwa bidhaa za mafuta.

Mshindi wa zabuni ya kwanza alizawadiwa tuzo Novemba-Desemba 2011 ingawa utekelezaji wake ulianza januari 2012. Utafiti huo ulijikita zaidi katika madhara na faida za wadau katika sekta ndogo kuhusu mapato ya kodi, kuhusu utupaji wa bidhaa za mafuta zipitazo Tanzania na jinsi ya kukabiliana na athari mbaya juu yake.
Pia ilijikita kuhusu uanzishwaji na ufanisi wa BPS ukichambua faida halisi na hasara kwa uchumi pamoja na upangaji bei za mafuta.

Akizungumzia matokeo ya utafiti huo, Profesa Haji Semboja anasema "kwa sasa wote tunafahamu ni mafuta kiasi gani yanaingizwa nchini na hii imesababisha ongezeko la asilimia 14 ya mapato ya kodi.
Tanzania ni mfano mmoja wapo wa nchi ambazo zimepata mafanikio makubwa katika kusimamia sekta ndogo ya mafuta.

Katika hilo baadhi ya nchi kadhaa katika kanda ya afrika zimeona ni sahihi kutembelea Tanzania kujifunza jinsi ya kutenda kazi kwa ufanisi zaidi kudhibiti sekta ndogo ya mafuta.

Utafiti huo uligundua zaidi kwamba, uwekaji alama katika mafuta kama hatua ya kupambana na utupaji imesababisha ongezeko katika mapato ya kodi ya sh. Bilioni 146.5 katika mwaka 2010/2011, sh. Bilioni 129.8 katika mwaka 2011/2012, na sh. Bilioni 192.2 katika mwaka 2012/2013. Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa BPS pia uchakachuaji mafuta ambao ulikuwa ni changamoto kubwa kwa Tanzania umepungua kwa kiasi kikubwa.
Katika mafanikio, hii imesababisha kuongezeka kwa ukusanyaji mapato ya kodi kama jambo la ukweli.

Akizungumzia suala hilo, Mkurugenzi mkuu wa Ewura, Felix Ngamlagosi, anasema tangu kuanzishwa kwa mfumo wa BPS wa bidhaa za mafuta januari 2012, kumekuwepo na maboresho na ufanisi mkubwa katika bandari kwenye ugavi wa mafuta nchini Tanzania.

Kwa kiasi kikubwa, tumeshuhudia kushuka kwa kasi kwa ada ya meli zilizokuwa zikipaki bandarini ambazo zilikuwa zikitozwa kabla ya kuanza kutumika BPS.

"Kutoka wastani wa siku 60 za chombo kusubiri kupakua mizigo hadi takribani siku 3" alisema.

Kwa mujibu wa mkurugenzi mkuu huyo, uagizaji wa bidhaa za mafuta zinazopitia nchini uliongezeka kati ya mwaka 2009/2010 na mwaka 2012/2013 kutoka lita milioni 262 hadi lita milioni 556 kwa ajili ya petroli sawa na ongezeko la asilimia 112 na kutoka lita milioni 541 hadi lita bilioni 1.28 ya dizeli, likiwa ongezeka la asilimia 136! Ufanisi wa hivi karibuni wa bidhaa za mafuta ya petroli kutoka, Januari hadi Desemba 2013, unaonesha kuwa lita bilioni 4.7 za bidhaa za mafuta ya petroli ziliingizwa nchini Tanzania kupitia Bandari ya Dar es salaam na kituo cha mpaka cha sirari," anabainisha Ngamlagosi.

Faida

Mfumo wa BPS umekuwa na ustawi wa faida wa sh. Bilioni 121.57 kuhusu uchumi wa Tanzania kwa kipindi cha mwaka 2012/13 kwa njia za punguzo la tozo kwa meli zinazosubiri kupakua mizigo.

Mfumo wa BPS umepunguza idadi ya siku za kupakua mizigo kutoka 45 hadi siku 3, ambapo ni sawa na ustawi wa pato la sh. Bilioni 25.7.

Pia mfumo wa BPS umeongeza ufanisi katika uagizaji wa bidhaa za mafuta ya petroli kwa kuimarisha taratibu zinazohusika, kukuza ushindani na kuboresha matumizi ya sehemu ya upakuaji mizigo.

NANI AMEFANIKISHA KUANZISHWA MFUMO WA BPS nchini?

Ni muhimu kujua hili hasa kwa sababu mfuml huo umesaidia sana kudhibiti vitendo vichafu vilivyokuwa vimekithiri ambavyo vilikuwa vikiichafua sekta ndogo ya mafuta ya petroli.

Vitendo hivyo havikuwa na ukomo, uchakachuaji mkubwa wa mafuta, utupaji wa bidhaa za mafuta yaliyopo na kuongeza gharama za uagizaji ambao ulisababisha mfumuko wa bei za mafuta kwenye vituo vya petroli.

Yote kwa yote, hali hiyo ilisababisha soko kutokuwa na ufanisi wa juu na kwa hiyo zaidi kutokuwa na ushindani.

Mtu ambaye alikuwa nyuma ya mpango ambao sasa unatumiwa na Ewura kwa mafanikio makubwa katika kipindi kifupi si mwingine zaidi bali ni WILLIAM NGELEJA.

NGELEJA mbunge wa jimbo la sengerema kutoka mwaka 2005 kwa tiketi ya Chama cha mapinduzi (CCM), ambaye alikuwa Waziri wa Niahati na madini wakati BPS ilipopokelewa kwa ajili ya utekelezaji.

NGELEJA awali alikuwa naibu waziri wa Nishati na Madini kuanzia januari 2007-Mei 2008, baadaye Raisi Kikwete alimteua kuwa waziri wa Nishati na madini, nafasi ambayo alidumu nayo hadi mwaka 2012 alipojiuzulu baada ya zengwe la kukinusuru chama kutawala.

Ni ukweli kwamba mafanikio hayo ambayo hayajawahi kufikiwa na mtu yeyote katika sekta za Nishati na Madini ya uchumi wa Tanzania ni matokeo ya mipango na maono na ubunifu kwa kiasi kikubwa wa Waziri huyo wakati huo.

Utafutaji wa gesi asilia na mafuta ulianza kushika kasi kwa nguvu wakati NGELEJA alipokuwa waziri wa sekta hiyo .

Manunuzi ya mafuta kwa wingi moja ya "zawadi" kubwa ambayo Raisi Kikwete amewahi kutoa kwa watanzania ni mfuko wa manunuzi ya mafuta kwa wingi. Kwa mujibu wa ripoti ya serikali ya wizara ya nishati na madini, mpango huo umeisaidia Tanzania kuokoa mabilioni ya shilingi katika biashara ya mafuta.

Mradi wa bomba la gesi kutoka mtwara hadi Dar es salaam ni miongoni mwa maendeleo mengine makubwa katika ustawi wa taifa chini ya serikali ya Raisi Kikwete wakati NGELEJA alipokuwa waziri wa sekta hiyo ni ujenzi wa bomba la gesi asilia lenye urefu wa km 500 linalosafirisha gesi kutoka mtwara hadi Dar es salaam.

NGELEJA kwa kushirikiana na TPDC alifanya kazi katika mradi huo kuanzia mwaka 2009 kabla ya kujiuzulu serikalini Mei 2012.

Mradi wa mchuchuma-liganga , mambo makubwa ambayo Rais Kikwete amefanya katika miaka 10 ya kipindi chake na ambayo ni kichocheo kwa ajili ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya nchi ni pamoja na mradi wa makaa ya Mawe na chuma wa Mchuchuma na Liganga wilayani Ludewa,Mkoa wa Njombe.
Mradi huo ulikuwa kwenye mipango ya serikali kwa miongo kadhaa hadi mwaka 2011 wakati ulipopata mwekezaji chini ya usimamizi wa NGELEJA.
Baadhi ya faida za mradi huo wenye thamani ya dola bilioni 3 ni uzalishaji wa umeme wa makaa ya mawe wa megawati 600, fursa za ajira na mapato ya fedha za kigeni kutokana na mauzo ya chuma na makaa ya mawe.
 
Warudisheni wote basi maana kila mtu anarejea tupo awamu ya nne , wafufueni na wengine

USSR
 
Ngejela na mpigaji huyu Ana mkono kule ticts kwenye makasha
 
Na yeye anarudi!!?

Hawa ndiyo wezi wa Kikwete hivi wanajaribu kumjengea hoja nae arudi kiaina aina!! Huyu alikuwa mfanya kazi wa Rostam Aziz kama alibvyokuwa Hussein Bashe; wanaingizwa serikalini ili iwe rahisi kufanikisha mipango yao ya kuhujumu uchumi wa nchi!! Wahuni wanarudi Kwa Kasi ya 5G!!!
 
Membe au rizi1 mmoja wapo apitishwe bila kupingwa na kamati kuu 2025
 
Ngeleja unataka kukumbukwa?
 
Sawa ngeleja
 
HIZI TAASISI ZOTE MIM SIZIELEWI FUMO ZAO ZA AJIRA ZIPOJE.
EWURA WANATANGAZA NAFASI ZA KAZI, LAKINI MREJESHO WA CANDIDATE WALIOPITISHWA KWENYE USAILI HAUPO NA WALIOITWA KURIPOTI VITUO VYA KAZI HAUPO.
HIVYO HIVYO NA PBPA, TPDC NK AU NDIO MFUMO WA KUJUANA NA UNDUGUNIZATION?
 
Back
Top Bottom