Wamasai wamedekezwa kwa miaka mingi kwa kisingizio cha kuwabadilisha; wapende shule, wapunguze mifugo, sijui bhla! bhla gani. Wamekuwa wasumbufu wanaojidai kutojua sheria za nchi kwa kisingizio...
Haiingii akilini TUCTA kuacha majukumu yake na badala yake kufanya siasa.
Kitendo cha TUCTA siku za Mei mosi kuandaa Mabango, Risala na Nyimbo mbalimbali ambavyo hadi kwa 90% hubeba ujumbe wa...
Jamaa zetu Chadema wanakasumba mbaya sana. Walishazoea siasa za kubebwa. Wakikutana na mtu anayejua kuwabana kisiasa kama Paulo Makonda au Mwita Waitara wao huwa wanaleta chuki zisizo na mashiko...
Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.
Ili unyang'anyi wa...
TAARIFA KWA UMMA KUTOKA WIZARA YA NISHATI KUHUSU ZIARA YA WAZIRI JANUARY MAKAMBA
Kama inavyofahamika, bei ya mafuta ghafi duniani imeendelea kupanda kwa kasi na kwa kiwango kikubwa, kutoka dola...
Wadau, tayari Serikali kupitia Latra imetangaza bei mpya ya nauli nchini ikipanda kwa asilimia karibia 20-22 tukio linalokwenda sambamba na ongezeko la bei ya mafuta iliyotangazwa na Ewura...
Leo mheshimiwa Rais Samia Suluhu amesema kuwa baada ya kuapishwa kuna mtu alimfuata akampa hongera pamoja na pole.
Pia akamwambia kwamba katika uongozi wako, hautapingwa na wapinzani zaidi ni...
Jana Rais Samia aliweka wazi kuwa baada ya kuapishwa tu, kuna mtu alienda kumpa tahadhari kuwa awe makini na CCM wenzake kuliko wapinzani kwani ndio wanaweza wakamuharibia kazi yake!
Rais Samia...
Mh Lema ambaye ni Mbunge wa Zamani wa Arusha Mjini amenukuliwa akielezea Maisha ya sasa ya Paulo Makonda , aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Kuwa ni Maisha Magumu yasiyotabirika .
Lema...
05 May 2022
SIKU YA KUADHIMISHA URITHI WA DUNIA AFRIKA, WIZARA KUBOMOA MAJENGO YA URITHI KILWA
Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia mamlaka ya usimamizi wanyama-pori TAWA ikiadhimisha siku ya...
Hotuba ya Msemaji wa sekta ya Mambo ya Ndani ACT Wazalendo Ndg. Mbarala Abdallah Maharagande kuhusu bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa mwaka wa fedha 2022/23.
Utangulizi:
Jana Alhamisi tarehe...
Badala ya kuwaambia wananchi wajiandae na ongezeko la bei ya mafuta ni vema mh Makamba kama waziri ajiandae kulishawishi Baraza la mawaziri lipunguze kodi ya Nishati.
Kama Waziri wa UK ameweza...
Awamu iliyopita ilifanya Kila mbinu, kushawishi, kutishia, kuhonga n.k kuhakikisha nchi nzima inakuwa KIJANI.
Na hata wale waliojaribu kukataa kuunga mkono waliona Cha mtema Kuni.
Hatimaye mwaka...
Zipo sababu nyingi ambazo zinaweza kutolewa kupanda kwa bei ya mafuta lakini hili limekuwa gumu kutamkwa na viongozi wa Kiafrika. Kushuka kwa uzalishaji katika bara zima kutokana na ukosefu wa...
Wanabodi,
Ninachofurahi Sasa hivi, Hadi CCM Wanalia Lia kuhusu Hali ya maisha, nilidhani ni Chadema tu
Yani CCM ni wasahaulifu sana wamesahau kwamba wenyewe ndio walisema Serikali ya chama...
Nawasalimu waungwana wa JF,
Jana ilisomwa hukumu ya kesi iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake. Sasa inajulikana kuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka...
Juzi tuliambiwa gharama za safari za rais za kitaifa na kimataifa zinagharamiwa na wafanyabishara ambao hawatajwi majina.
Katika akili ya kawaida, kama wafanyabishara wanagharamia safari za mkuu...
Wakati Waziri Mkuu anapoenda kuwawajibisha maafisa manunuzi waliopandisha bei za bidhaa za tiba asisahau kiini cha tatizo yaani wafanyabiashara walioonesha bei za bidhaa hizo kuwa juu.
Mfano...
Nichukue nafasi hii kumpongeza Waziri wa Tamisemi Mh Bashungwa kwa hatua aliyochukua kuhusu kero ya maegesho ya gari toka Tarura walipojikita na mfumo wao.
Ni kweli Tarura walifikia hatua ya...
Kupanda kwa bei ya dhahabu, tanzanite na vyote made in Tanzania hakujawahi kuakisiwa popote positively katika nchi hii.
Kote upigaji ndiyo ulio kipaumbele.
Serikali kupitia LATRA ilitangaza bei...