Niwaombe wabunge wa CCM vaeni uzalendo kwenye hili la Nkamia

Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,453
4,933
Tangu uhuru wabunge wanakaa miaka mitano mitano na mambo yana enda iweje sahizi ndio ionekane haitoshi?? Huu ukwasi wa madaraka wa JUMA NKAMIA peke yake?? Au yeye ni daraja la kipitia watu fulani!? Jamani mnatuongoza wananchi si miti , NKAMIA kanogewa na posho hadi anatamani aingezewe muda !? Miaka mitano kuwa michache imeanza leo tangu 1985?

Jamani msicheze nakatiba yetu mtuachie nchi ikiwa salama tunawaomba sana acheni ubinafsi na tamaa ya madaraka toshokeni kama walivyo tosheka walio waruhusu na ninyi mkaipata nafasi hiyo, maana kila walio waachia hizo nafasi nao wangekuwa na tamaaa wakaongeza mda kama matakavyo kufanya ninyi hakika hata ninyi msinge zipata nafasi hizo.

Ukimya huu wa watanzani na upole wao msitake kuwatumia vibaya msifikir hawajui kitu, tafadhari sana msicheze na katiba ya nchi msutulazishe kutuongoza bila hiyari yetu miqka mitano haitoshi??? NKAMIA uko timamu kweli wewe? Wakati wengine wana tawala miaka minne wewe mitano haikutoshi ? Nchi imepata watu wabaya sana safari hii.

Kwa masikio yangu nilimsikia Mh. Rais akisema kwa kinywa chake kuwa katiba sio kipaombele chake na ndio maana hata kwenye kampeni hakuongelea katiba hivyo naamini kuwa Mh. Rais hatokuwa sehemu ya mpango huu maana alikiri mwenyewe kuto hangaika na katiba , sasa nitashangaa kama kayageuka maneno yake mwenyewe, ndio maana huenda haya ni matakwa na tamaa ya madaraka ya NKAMIA na kundi lake kama hakuna aliye nyuma yake.
 
Tangu uhuru wabunge wanakaa miaka mitano mitano na mambo yana enda iweje sahizi ndio iomekane haitoshi?? Huu ukwasi wa madaraka wa JUMA NKAMIA peke yake?? Au yeye ni daraja la kipitia watu fulani!? Jamani mnatuongoza wananchi si miti , NKAMIA kanogewa na posho hadi anatamani aingezewe muda !? Miaka mitano kuwa michache imeanza leo tangu 1985?
Katiba ni muhimu, inavyoonyesha ni kwa sababu viongozi hawafuati katiba kila mwanasiasa anakuja na yake wananchi tusimame imara tusikubali
 
Hawaifuati kwa kiburi tuu maana kitendo cha kutaka kubadili vipengere muhimu kama hivyo ni ishara tosha kuwa wanajua kuwa katiba ni muhimu huu ni ulafi wa madaraka
 
Tangu uhuru wabunge wanakaa miaka mitano mitano na mambo yana enda iweje sahizi ndio ionekane haitoshi?? Huu ukwasi wa madaraka wa JUMA NKAMIA peke yake?? Au yeye ni daraja la kipitia watu fulani!? Jamani mnatuongoza wananchi si miti , NKAMIA kanogewa na posho hadi anatamani aingezewe muda !? Miaka mitano kuwa michache imeanza leo tangu 1985?

Jamani msicheze nakatiba yetu mtuachie nchi ikiwa salama tunawaomba sana acheni ubinafsi na tamaa ya madaraka toshokeni kama walivyo tosheka walio waruhusu na ninyi mkaipata nafasi hiyo, maana kila walio waachia hizo nafasi nao wanhekiwa na tamaaa wakaongeza mda kama matakavyo hakika hata ninyi msinge zipata nafasi hizo.

Ukimya huu wa watanzani na upole wao msitake kuwatumia viabaya msifikir hawajui kitu, tafadhari sana msicheze na katiba ya nchi

Kwa masikio yangu nilimsikia Mh. Rais akisema kwa kinywa chake kuwa katiba sio kipaombele chake na ndio maana hata kwenye kampeni hakuongelea katiba hivyo naamini kuwa Mh. Rais hatokuwa sehemu ya mpango huu maana alikiri mwenyewe kuto hangaika na katiba , sasa nitashangaa kama kayageuka maneno yake mwenyewe, ndio maana huenda haya ni matakwa na tamaa ya madaraka ya NKAMIA na kundi lake kama hakuna aliye nyuma yake.
Nkamia ni wa kupuuzwa tu, ubunge wenyewe kaupata kwa bahati, maeneo kama mbeya au Moshi asingepata ubunge yule
 
Hivi kwanza?!!?! Hivi hilo li nkamia linataka nalo liongezewe muda ili liufanyie nini? Si bora waongezewe muda wakina kigwangalla wanaojitambua angalau? Sasa eti linkamia?
 
Tatizo la watawala wa Africa..wakiwa madarakani akili zinahama. Zinawarudia wakistaafu au kufukuzwa kazi. N wala usishangae hawa hawa wanaotaka mihula iongezwe....kesho kutwa wakikataliwa na wananchi au wakafarakana na mfumo..ndo wataanza kulia kwamba Tanzania haina demokrasia ya kweli!

Ndiyo Tanzania yetu ya Viwanda hiyo tunayoijenga.
 
Huyu katiba imempa kisogo kwanza ameingia bungeni juzi hajakomaa kisiasa wala hoja yako ya ubinafsi haikubaliki
 
Kaingia bungeni juzi leo anataka aongezewe mda ?hivi walio muachia yeye hiyo nafasi na wao wangetaka mda uongezwe yeye angepata hiyo nafasi kweli? Hawa ndio watu walio aminiwa na wananchi? Wananchi muwe mnaangalia aina za watu mnao tuletea bungeni sasa embu oneni hiki kituko,kwanini mnatuletea bungen watu wasio na timamu kichwani, CCM mmeishiwa watu wenye weledi kweli?
 
Hawaifuati kwa kiburi tuu maana kitendo cha kutaka kubadili vipengere muhimu kama hivyo ni ishara tosha kuwa wanajua kuwa katiba ni muhimu huu ni ulafi wa madaraka
"Africa is the same" kwambinu zote wataigusa. believe me ......Mungu ibariki Tanzania.
 
Usimlaumu huenda katolewa kafara ili kupuliza filimbi lakini the master minders wapo on the bench
 
Tangu uhuru wabunge wanakaa miaka mitano mitano na mambo yana enda iweje sahizi ndio ionekane haitoshi?? Huu ukwasi wa madaraka wa JUMA NKAMIA peke yake?? Au yeye ni daraja la kipitia watu fulani!? Jamani mnatuongoza wananchi si miti , NKAMIA kanogewa na posho hadi anatamani aingezewe muda !? Miaka mitano kuwa michache imeanza leo tangu 1985?

Jamani msicheze nakatiba yetu mtuachie nchi ikiwa salama tunawaomba sana acheni ubinafsi na tamaa ya madaraka toshokeni kama walivyo tosheka walio waruhusu na ninyi mkaipata nafasi hiyo, maana kila walio waachia hizo nafasi nao wangekuwa na tamaaa wakaongeza mda kama matakavyo kufanya ninyi hakika hata ninyi msinge zipata nafasi hizo.

Ukimya huu wa watanzani na upole wao msitake kuwatumia vibaya msifikir hawajui kitu, tafadhari sana msicheze na katiba ya nchi msutulazishe kutuongoza bila hiyari yetu miqka mitano haitoshi??? NKAMIA uko timamu kweli wewe? Wakati wengine wana tawala miaka minne wewe mitano haikutoshi ? Nchi imepata watu wabaya sana safari hii.

Kwa masikio yangu nilimsikia Mh. Rais akisema kwa kinywa chake kuwa katiba sio kipaombele chake na ndio maana hata kwenye kampeni hakuongelea katiba hivyo naamini kuwa Mh. Rais hatokuwa sehemu ya mpango huu maana alikiri mwenyewe kuto hangaika na katiba , sasa nitashangaa kama kayageuka maneno yake mwenyewe, ndio maana huenda haya ni matakwa na tamaa ya madaraka ya NKAMIA na kundi lake kama hakuna aliye nyuma yake.
Mchumia tumbo huyo
 
Mh. Rais hatokuwa sehemu ya mpango huu maana alikiri mwenyewe kuto hangaika na katiba
Sizonje usimuamini sana mkuu,
- alisema hatofukua makaburi lkn hivi sasa kinachoendelea ni zaidi ya kufukua makaburi.
- milioni hamsini kila kijiji imekuwa uchochezi ukiikumbueshia
-ukimkubusha kuheshimu katiba unaonekana si mzalendo wakati aliapa kuiheshimu na kuilinda.
- ukimuambia watanzania sasa tuna hali ngumu tunajibiwa "mlizoea kupiga dili". Wakati kila mara anatamka " nimekuja kuwatumikia watanzania".

Simuamini tena Sizonje.
 
Back
Top Bottom