Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Kigamboni ulioanzishwa na NSSF (Dege Eco Village) unapigwa mnada

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Mradi mkubwa wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam uitwao Dege Eco Village, ulioanzishwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii 'NSSF' ulisimama mwaka 2016 huku ikiripotiwa kuwapo kwa ufisadi wa zaidi ya TSH bilioni 179 katika mradi huo.

Cha kufahamu ni kwamba sasa anatafutwa muwekezaji kwenye mradi huo na kazi hiyo wamepewa kampuni ya udalali ya Yono

Mradi huo unaelezwa kuwa na thamani ya dola za Kimarekani milioni 350 sawa na shilingi bilioni 780 za Tanzania



Chanzo: Millard Ayo
 
What a loss! Ndio yale yale ya nchi kukosa vision na kila kiongozi kuja na interests zake. Haya nadhani yalikuwa maono ya Kikwete, Mama Tibaijuka kipindi hicho sasa kaondoka, aliyeingia hana mpango nayo, ana maono mengine. Habari ya Kigamboni City kwishney!! Nadhani kama Taifa kuna sehemu tulikosea na inabidi turudi tusahihishe!
 
nssf ma director ni matajiri wa kutupa.. wamepiga sana hela kwenye hii miradi...

hapo bei waliyonunua kiwanja ukiambiwa utalia... msumari kilo moja tu unakuta wamenunua laki 1....

hapo wame inflate bei za vifaa si mchezooo

Project not viable highly inflated,the money recovered must be returned to NSSF
 
Dau na genge lake (management ya zamani ya NSSF) wanapaswa kuchukuliwa hatua sasa
Wameliumiza sana taifa hili
Mara udini katika ajira, ufisadi, tenda za kupeana, matumizi mabaya ya pesa za uma
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom