Sababu ya kwanza: DRC kuna shughuli nyingi sana za uchimbaji madini kama shaba na madini mengine. Makampuni makubwa ya kibepari yamefunga mitambo yao ya kupasuwa miamba huko.
Shaba na madini...
Katika nchi ambazo zimeshuhudia mabadiliko finyu ya kisiasa baada ya uhuru wao mabaraza ya vijana na wanawake ndio yamekuwa mstari wa mbele zaidi kutetea maslahi ya vyama vyao.
Kwa upande wa...
Kwa namna ambavyo kauli mbiu na mabango mengi ambayo yamebebwa na Wafanyakazi katika maadhimisho haya ya siku ya Wafanyakazi ,Kiongozi wa Nchi ilibidi aje na majibu kamili sio kutoa maagizo ya...
Je, ilikuwa ni kesi ya kisiasa kati ya chadema dhidi ya Sabaya?
Ilianzia jana huko Club House za Twitter ambapo kiongozi mwandamizi wa Chadema ndugu Godbless Lema alitoa povu la kutosha...
Mataifa mengi hupinga dhuruma Kwa kuwafichua wadhulumati, hupinga Rushwa Kwa kuwafichua Wala Rushwa na kufichua wasio waadilifu Kwa kufichua historia yao ya utendaji
Haitoshi kuheshimu hukumu ya...
WABUNGE takribani 75 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambao walijitosa kutetea nafasi zao katika uchaguzi mkuu wa 28 Oktoba mwaka huu, wameangukia pua.
Mkutano wa Halmashauri Kuu ya taifa (NEC)...
Nimefuatilia Ziara zao hao Act Wazalendo hawana sapoti kabisa. Hata vijiwe vyote muhimu hapa Mwanza wanamponda na kumuona kibaraka wa mafisadi aliyajaa unafiki. Watu wa kanda ya ziwa hawamtaki...
Waziri wa Tamisemi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Apoo Tindwa kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za kusaidia maendeleo...
Ulinz wa Viongozi kwa kweli unatia kinyaa!
Ni kuanzia kwa rais wa Jamhuri ya Muungano hadi kwa rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Huu ulinzi wao umezidi mipaka, unatisha na wala haupo...
Hii ndio dondoo niliyoipata kwa siku ya leo , Kwamba hawa Manusura wa Kaburi , wanatajwa kuwemo kwenye Vikao vya Baraza kuu la Chadema vitakavyofanyika 11/5/2022 Nchini Tanzania , maana ya jambo...
Wakati wa “Crisis” watu husubiria kusikia kiongozi anasema nini
Tarehe 4 mwezi wa tatu mwaka 1933, aliapishwa Rais wa 32 wa Marekani...
...Franklin D. Roosevelt baada ya kumshinda mpinzani wake...
Kipindi cha misukosuko kama hiki natarajia kuona mchango wake lakini hadi sasa yupo kimya!
Najiuliza mfano imetokea ajali kama ilivyotokea. Je, unaona tunaye kiongozi hapo wa kushika usukani ama...
Ilikuaje Mkandarasi tena wa kigeni kulipwa pesa kubwa kuliko kazi aliyofanya?
Hapa kuna harufu ya ufisadi,haina maana watu wamekula pesa na wamesepa eti ndio mnaanza kushika passport zao kwa...
Vihiyo hawa walioajiriwa kwa kubebwa na viongozi huku wakijua elimu yao haikidhi uandishi wa anuani.
Wakati waziri mkuu ameagiza kuhakiki usahihi wa majina ya mitaa serikali inabidi ifikirie...
Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258
Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022
Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga...
Leo tarehe 07/05/2022 timu ya mabalozi wa Join the Chain ( Join the Chain Ambassadors ) Arusha iliingia ndani ya Soko Kuu Arusha na soko la Kilombero kukusanya michango ya wadau mbalimbali wa...
Bwana Zitto anasema Magufuli hakuwa mkweli na aliendesha miradi mikubwa kwa fedha za mikopo.
Kauli ya bwana Zitto ni muendelezo wa baadhi ya wanasiasa nchini kwetu kushindana na Maiti ya hayati...
Ni muhimu tuelezane ukweli kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Wabunge wote na WanaCCM wote watakaomnanga Magufuli wajiandae kupoteza ubunge na nafasi zao ndani ya Chama.
Hayati baba John...
Huwa nikikaa nafikiria jinsi wanasiasa wanavyopambana kushika nafasi mbalimbali za kisiasa ,wengi wamepambana Sana lakini hawajafanikiwa
Lakini Cha kushangaza Dkt. Mpango ni kama ana bahati ya...