Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo baraza kuu la Chama Cha Chadema inakutana jijini Dar Moja ya ajenda zake ni kusikiliza Rufaa ya wabunge 19 wa Chama hicho,walioingia bungeni baada ya barua ya katibu mkuu wa Chama...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii nembo haipewi heshima stahiki kila mtu anaitumia anavyotaka naomba serikali itoe tamko kuhusu matumizi, upande wa Bendera turuhusiwe lakini kwa kibali ijulikane inaenda kutumika wapi !!
1 Reactions
8 Replies
2K Views
TBS KUPATIWA CHETI CHA UMAHILI KUTOKA KAMPUNI YA SADICAS Shirika la viwango nchini Tanzania (TBS), linatarajiwa kupatiwa cheti cha umahili kutoka kampuni ya sadicas May 12,2022 jijini Dodoma...
0 Reactions
1 Replies
659 Views
Mwisho wasiku mkikaa kwenye vipaza sauti mnatusema tunawivu,ndio lazima tuwe na wivu haswa wivu wa maendeleo!. Haiwezekani kila wakati ktk nafasi za uongozi mnatuletea sura zilezile kwani...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Bilioni 100 za Makamba zitumiwe kufunga mifumo ya gesi kwenye usafiri wa Umma! Nimekadiria jiji la Dar tu kuwa na dala dala si chini ya elfu hamsini ambazo zinatumia mafuta ya zaidi ya Bilioni...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa nini Samia hakutaka kuwa wazi tu kuwahusu hao jamaa na kuamua kutudanganya eti watapewa kazi maalum ilihali sivyo?! Ukweli humweka mtu huru na kwalo Samia ingetosha alipowateua wengine na...
21 Reactions
71 Replies
7K Views
Kuna mambo bado hayajawekwa sawa na yakaeleweka vyema. Gesi inayochimbwa Mtwara sio ya watanzania, ile gesi ni ya makampuni ya kigeni na sio ya Watanzania. Ieleweke pia kwamba Gesi ile iko 18%...
86 Reactions
201 Replies
15K Views
Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi? Vijana wanateseka hawana ajira lakini hata wale walioajiriwa na asasi za kiraia Mwigulu anataka kuwanyang'anya hela ili hao vijana...
20 Reactions
54 Replies
5K Views
Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba ameongoza ujumbe wa wataalamu wa Tanzania kwenye mazungumzo na viongozi wakuu wa Benki ya dunia nchini Marekani. Kwa kuanzia Benki ya dunia itaipa fedha...
6 Reactions
89 Replies
5K Views
Kwanza, mafuta bei yake iko chini huko Zanzibar. Pia maisha ya Wazanzibari ni nafuu mno kwasababu hakuna mfumuko wa bei. Pili, ukitupia jicho kwenye umeme bei iko chini na ni karibu na bure...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
1. Kuitegemeza TLS kiuchumi na kuepuka kutegemea michango ya wanachama kujiendesha. -Mahitaji ya uendeshaji wa TLS ni takribani Shilingi Bilioni 6 huku michango ya wanachama ikifikia Shilingi...
0 Reactions
0 Replies
495 Views
Prof G Kahyarara akiojiwa na East Africa Redio amesema, katika kipindi cha mwaka mmoja na miezi kadhaa ya awamu ya sita, economic diplomacy imeweza kuingiza Katika mfumo wetu wa uchumi dola...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Imani yangu inanituma kwamba, wazo la kuja na kutengeneza Royal Tour Tanzania, nimechochewa zaidi na Tanzania kuwa na Rais Mwanamke. Licha tu ya kuwa na Rais mwanamke ambaye kwa nchi za...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Godfred Mbanyi amkute katika ofisi za Bohari ya Dawa (MSD) Jumatatu saa nne asubuhi...
11 Reactions
150 Replies
12K Views
Wazo lilikuwa zuri, lakini mleta wazo katuzidi ujanja. Unapotengeneza filamu ambayo ni andishi la kitaaluma na kibiashara,tulipaswa kutanguliza taaluma zaidi kuliko siasa. Mwanasiasa anaweza...
63 Reactions
162 Replies
12K Views
Nimeisikiliza hotuba ya Rais Samia, aliyoitoa jana, kuhusiana na kilio cha wananchi kuhusu kupanda Sana kwa bei ya mafuta Duniani. Katika hotuba hiyo nime-highlight, jambo muhimu Sana...
6 Reactions
12 Replies
921 Views
"Tulifungia vyombo vya habari, tumevifungulia bila masharti, je hawamuelewi mama? Wafanyakazi wa Umma walikaa miaka mingapi bila kupandishiwa mshahara? Mama juzi kasema jambo lenu lipo, halafu...
12 Reactions
140 Replies
11K Views
Kwa taasisi kubwa kama TRA inakosa back up, eti wanaweza wasifanye kazi siku nzima eti mtandao hakuna seriously Yaani unaenda asubuhi mpaka mchana wakati mwingine siku nzima hawatoi huduma eti...
0 Reactions
1 Replies
864 Views
Ni dhahiri kwamba, mchawi wa mdororo wa uchumi kwa awamu ya tano uliasisiwa na msimamizi mkuu wa shughuli za Serikali, tulikuwa na nchi yenye kukuza deni la taifa kuliko uchumi wenyewe kama...
0 Reactions
2 Replies
737 Views
Mwl. Nyerere aliomba mshahara wake upunguzwe Zama hizo, Rais Kenyatta na baadhi ya viongozi wengine waliomba mishahara yao ipunguzwe kufidia athari ya COVID-19. Leo Rais wangu akiamua mshahara...
1 Reactions
11 Replies
540 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…