Mafuta bado hayajashushwa beiWaswahili wanasemaga kuwa BUBU UTAKA KUSEMA MAMBO YAKIMZIDIA.
watanzania sasa tumechoka kuwa wakimya kama kondooo.
Msikilizeni mama yetu akitoa yake ya moyoni juu ya Makamba na hali ya kipato cha mwananchi.View attachment 2222392
Umebaki muda kidogo na nusu! Nuru itan'gaa tena TANZANIA. Naipenda sana Nchi yangu TANZANIA, Naichukia sana CCM Kwa kuonyesha DHARAU kuu Kwa wananchi.Waswahili wanasemaga kuwa BUBU UTAKA KUSEMA MAMBO YAKIMZIDIA.
watanzania sasa tumechoka kuwa wakimya kama kondooo.
Msikilizeni mama yetu akitoa yake ya moyoni juu ya Makamba na hali ya kipato cha mwananchi.View attachment 2222392
Mkuu!Umebaki muda kidogo na nusu! Nuru itan'gaa tena TANZANIA. Naipenda sana Nchi yangu TANZANIA, Naichukia sana CCM Kwa kuonyesha DHARAU kuu Kwa wananchi.
Mkuu!
Hongera KWA comment ulipotea kidogo hapo jana
Huwa nafuatilia unapopost!
Je unamaanisha bado wakati na nusu wakati!!?kabla hakujapambazuka na nuru kutangaza!!?
Jana Waziri yule alienda na wake zake wawili kumbe mmoja wa mkewe ni mtoto wa namba Moja wa sasa!!
Je huoni hizo ni sifa za yeye kupeta na kuwa namba moja!!?
Mawazo HURU HAYA Ndugu ZANGU!!
Makamba kaja kuua hii Wizara mazimaWaswahili wanasemaga kuwa BUBU UTAKA KUSEMA MAMBO YAKIMZIDIA.
watanzania sasa tumechoka kuwa wakimya kama kondooo.
Msikilizeni mama yetu akitoa yake ya moyoni juu ya Makamba na hali ya kipato cha Mwananchi.
View attachment 2222392
Tatizo siyo CCM tatizo ni katiba mbovuUmebaki muda kidogo na nusu! Nuru itan'gaa tena TANZANIA. Naipenda sana Nchi yangu TANZANIA, Naichukia sana CCM Kwa kuonyesha DHARAU kuu Kwa wananchi.
Hatari snKazi imeisha bado storu za walioguswa
Wapuuzi tuu Hawa wa mitandaoni..TCRA inawaachia watu kama Hawa eti wanamuelekeza Rais cha kufanya.Waswahili wanasemaga kuwa BUBU UTAKA KUSEMA MAMBO YAKIMZIDIA.
watanzania sasa tumechoka kuwa wakimya kama kondooo.
Msikilizeni mama yetu akitoa yake ya moyoni juu ya Makamba na hali ya kipato cha Mwananchi.
View attachment 2222392
Kwamba amkabidhi kiti mkwewe! Nchi hii Mungu muumba wa mbingu na Nchi anaiangalia Kwa karibu sana. Haiezi kuwa Ivo.Mkuu!
Hongera KWA comment ulipotea kidogo hapo jana
Huwa nafuatilia unapopost!
Je unamaanisha bado wakati na nusu wakati!!?kabla hakujapambazuka na nuru kutangaza!!?
Jana Waziri yule alienda na wake zake wawili kumbe mmoja wa mkewe ni mtoto wa namba Moja wa sasa!!
Je huoni hizo ni sifa za yeye kupeta na kuwa namba moja!!?
Mawazo HURU HAYA Ndugu ZANGU!!
Ni sawa Katiba ni ya viraka viraka, bt Kwa Katiba hii hii iliyopo unaweza niambia wale COVID 19 Wanalindwa na Sheria ipi muda wote huo. Jibu ni Rahisi CCM inabariki viongozi kuvunja Katiba iliyopo.Tatizo siyo CCM tatizo ni katiba mbovu
Na wanaongezeka. Ni ngumu kukamata wote hata ufanye nini. Unavyoumia serikali kukosolewa, pia kuna wengi nao wanaumia unavyoisifia serikaliWapuuzi tuu Hawa wa mitandaoni..TCRA inawaachia watu kama Hawa eti wanamuelekeza Rais cha kufanya.