Pongezi Nancy Mwenyekiti CHADEMA California

Pongezi Nancy Mwenyekiti CHADEMA California

dmvuno

Member
Joined
May 27, 2012
Posts
93
Reaction score
21
Nancy Asenga10.jpg
Kamanda Nancy Asenga achaguliwa kuwa mwenyekiti CHADEMA California. Tunampongeza na tupo nyuma yako. Peopleeeeeeeeeeeeees! Poweeeeeer!
 
​safi sana Nancy hata cc wa uk tuko pamoja lengo ni kuwatoa hawa CCM na kuirudisha nchi kwa wenyewe Watanzania na si kwa wachache magamba.
 
dmv uno ameweka usanii hapa na watu wanashangilia

kweli tuna issues
 
dada wakati huu siyo wa kupongezana ni kuchapa kazi tuko vitani mchango wako kwenye chama ni mhimu sana..
 
Mibujebuje anaiachia wazi? (Maadili nil "0") halafu kavaa viatu vya winter Hyatt Kilimanjaro (formerly Kempinski) Dar? (umwanjo-mwanjo wa hali ya juu). Maana hiyo picha hapo nnapajuwa fika.

Sasa mtu kama huyo anakuwa kiongozi hicho chama kinakuwaje?
 
Nami natuma pongezi zangu!. Kwa vile sina chama, ila kwa mambo kama haya, nikiamua kujiunga Chadema, nitajiungia Tawi la California!.

Ha ha nimecheka sana, cha msingi ni kubaki kuwa muaminifu kwa chama baada ya kukosa kile utakachokifuata Calfonia.
 
Back
Top Bottom