Rostam alikimbia nchi, Seth, Rugemalila et al walikaa Gerezani; matajiri hawa wamejifunza nini kuhusu mfumo mbovu wa siasa Tanzania?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Huwa natafakari Sana kuhusu thamani ya Watu wasio waadilifu, upanda ghafla na kushuka ghafla. Safari ya utajiri wa Rugemalila na Seth unifanya nijiulize haya yote twajilimbikizia ya Kazi Gani kama ayawezi kutumika kutulinda?

Rostam afadhali yeye alikimbia nchi, akakamatwa ndugu yake na rundo la silaa ikabidi arejee kuja kukabidhi channel ten na miradi yake Mingine. Kwa umafia akaamua kujifanya mjinga mara paap akapewa Dili la Taifa gas Tena Kwa kukabidhiwa na aliyemkimbiza nchi. For this regime he is safe and he can recovery loss ambazo zilijitokeza. Ila Bado apaswi kuuamini huu mfumo usipomtesa yeye utawatesa ndugu yake.

Kuna kuwa tajiri ukaishi kama tajiri na Kuna kuwa tajiri ukaishi kama digidigi, na hii utokea afrika pekee ambapo tajiri ni mwanasiasa aliyepo madarakani, miobaki ni watumwa kwake regardless ya amount ya fedha uliyonayo.

Usipokuwa mwanasiasa na ukapishana na mwanasiasa kimapenzi, kiuchumi, kiitikadi na kisera wewe utakuwa maskini kama maskini wengine. Utakuwa na fedha ila utazila Kwa shida.

Tujiulize safari ya utajiri wa Seth na Rugemalila Ndo ikawa mwisho 2015? Safari ya familia ya akina Mo na wengine ndo itegemee mwanasiasa pamoja na kusota kwao kote kutafuta fedha na Mali? Kwamba Sasa ni matajiri ila wanaogopa kutoka ndani kuingia uwanjani kuuongeza utajiri wao Kwa sababu ya mwanasiasa? Kwamba wanakula Kwa mawazo?

Kwanini awakuona ubovu wa mfumo wakatumia fedha zao kuzalisha mfumo ambao utawapa uhakika wa kusimamia utajiri wao mbele ya jamii na mbele ya mahakama? Kwamba waseme utajiri wangu Mimi nimeupata Kwa shida na nitaulinda daima!

Kwanini matajiri wetu wanaochipukia wanashindwa kujilinda na maadui? Lazima wafungamane na wanasiasa? For what? Bado wanaamini awamu ya Tano ikirudi watabaki salama?

Nawakumbusha muda ni Sasa, ufe mfumo mbovu uzalishwe mfumo madhubuti unaoheshimu haki ya Kuishi, kumiliki Mali, kuwakilishwa kwenye vyombo vya maamuzi na kulinda utu au ubaki mfumo uliopo unaowafanya wawaze nani kesho atatawala?

Walikuwa na fedha azikuwasaidia, angalau tungekuwa na katiba imara, taasisi imara na sheria madhubutu wasingeishia kuzeeka Kwa fedhea wanayopata Sasa.

Tafakuru ya kiuchusiasa(ecopolitics
 
Mara muite escrow zile fedha za rugemalila,Leo mnakiri ni zake halali
 
Nimekuelewa kidogo
Kwa siasa za nchi maskini au nchi zilizo corrupt hata uweke Katiba ya aina gani Hakuna atakaeifuata
Katibu sio kama haipo ila inakanyagwa na mtu yeyote mnaempa madaraka

Mbona wanaapa kwa Misahafu na Bible lakini bado wanauwa na kudhulumu?
Katiba itaheshimiwa Vipi kama vitabu tunavyoviamini hawaviheshimu?

Ruge aligawa hela kama unagawa karanga kwa washikaji je umewahi kusikia Musk au Dangote au Gates au au au au wakigawa hela mpaka kwa Maaskofu na mawaziri?
Hujiulizi kwa nini?
Kwa sababu sio za njia za halali bali ni corrupt officials wanawafikisha hapo sasa akitokea anaetaka hela zao kwa nguvu na wakakataa ndio matokeo yao hayo na kwa kuwa wote wapo kwenye system na wanajuana, kuwafunga inakuwa rahisi maana wanajua wamezipata vipi

Katiba haina faida kama mtoto wako anarudi nyumbani toka shule akiwa na kalamu ambayo hujamnunulia wewe na wala huhoji

Hapo unazalisha taifa la majizi na wanakulia malezi hayo

Sasa yale majizi yamerudi na yamerudi kwa kasi na Hakuna cha constitutional rights wala nini bali ukipata kipande cha mkate kilichoanguka wewe kipanguse ule tu
 
Huwa natafakari Sana kuhusu thamani ya Watu wasio waadilifu, upanda ghafla na kushuka ghafla. Safari ya utajiri wa Rugemalila na Seth unifanya nijiulize haya yote twajilimbikizia ya Kazi Gani kama ayawezi kutumika kutulinda?

Rostam afadhali yeye alikimbia nchi, akakamatwa ndugu yake na rundo la silaa ikabidi arejee kuja kukabidhi channel ten na miradi yake Mingine. Kwa umafia akaamua kujifanya mjinga mara paap akapewa Dili la Taifa gas Tena Kwa kukabidhiwa na aliyemkimbiza nchi. For this regime he is safe and he can recovery loss ambazo zilijitokeza. Ila Bado apaswi kuuamini huu mfumo usipomtesa yeye utawatesa ndugu yake.

Kuna kuwa tajiri ukaishi kama tajiri na Kuna kuwa tajiri ukaishi kama digidigi, na hii utokea afrika pekee ambapo tajiri ni mwanasiasa aliyepo madarakani, miobaki ni watumwa kwake regardless ya amount ya fedha uliyonayo.

Usipokuwa mwanasiasa na ukapishana na mwanasiasa kimapenzi, kiuchumi, kiitikadi na kisera wewe utakuwa maskini kama maskini wengine. Utakuwa na fedha ila utazila Kwa shida.

Tujiulize safari ya utajiri wa Seth na Rugemalila Ndo ikawa mwisho 2015? Safari ya familia ya akina Mo na wengine ndo itegemee mwanasiasa pamoja na kusota kwao kote kutafuta fedha na Mali? Kwamba Sasa ni matajiri ila wanaogopa kutoka ndani kuingia uwanjani kuuongeza utajiri wao Kwa sababu ya mwanasiasa? Kwamba wanakula Kwa mawazo?

Kwanini awakuona ubovu wa mfumo wakatumia fedha zao kuzalisha mfumo ambao utawapa uhakika wa kusimamia utajiri wao mbele ya jamii na mbele ya mahakama? Kwamba waseme utajiri wangu Mimi nimeupata Kwa shida na nitaulinda daima!

Kwanini matajiri wetu wanaochipukia wanashindwa kujilinda na maadui? Lazima wafungamane na wanasiasa? For what? Bado wanaamini awamu ya Tano ikirudi watabaki salama?

Nawakumbusha muda ni Sasa, ufe mfumo mbovu uzalishwe mfumo madhubuti unaoheshimu haki ya Kuishi, kumiliki Mali, kuwakilishwa kwenye vyombo vya maamuzi na kulinda utu au ubaki mfumo uliopo unaowafanya wawaze nani kesho atatawala?

Walikuwa na fedha azikuwasaidia, angalau tungekuwa na katiba imara, taasisi imara na sheria madhubutu wasingeishia kuzeeka Kwa fedhea wanayopata Sasa.

Tafakuru ya kiuchusiasa(ecopolitics
TAKUKURU ipo ajili ya masikini
 
Kwa hiyo hapa Rostam alikimbilia Nchi gani? 👇

Screenshot_20220518-115902.png
 
Sasahivi watajisahaulisha tena kwa kuwa ni wakati wao.

Nataka kuamini kuwa wamejifunz hivyo wawashauli vizuri marafiki zao( watawala) waweke mizani sawa.
 
Nimekuelewa kidogo
Kwa siasa za nchi maskini au nchi zilizo corrupt hata uweke Katiba ya aina gani Hakuna atakaeifuata
Katibu sio kama haipo ila inakanyagwa na mtu yeyote mnaempa madaraka
Kama unakubali kuna mapungufu lakini bado unapinga katiba bora baso wewe hauko tayari kwa mabadiliko.

Mfano mzuri tu kuna wakurugenzi wa vitengo hawako tayari kuungana na wadhalimu. Mfano Ndugai asingeungan na Samia kukopa kukopa bila mpangilio. Au CAG Assad asingeficha makosa ya serikali, au Jaji Mkuu na wengine kama akina Jaji Mtungi wasingekuwa wana boronga kama wangekuwa na uhuru kikatiba. Ila wanalazimika.kufata matakwa ya mabosi wao.

Haya yanaweza kupungua kama sio kuisha kama hizi taasisi zingekuwa independent kikatiba.

Swala lingine kama kesu ya Mbowe isingetumia pesa nyingi na resources za serikali mabilioni kwa mambo ya mtu binafsi. Ingepigwa stop na mahakama ndani ya mwezi mmoja tu ya kuanza.

Chunga sana
 
Back
Top Bottom